Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Msiiingize Ikulu kwenye Hili , wote tunajua uhusiano aliokua nao Mh Raisi na Mengi pamoja na Uchaga wake lakini walielewana sana na mH Raisi
sasa wewe mwenyewe unakiri kuwa jiwe na mzee mengi walikuwa wanaelewana sana, na kwa mujibu wa jack ule wosia aliuandika mzee mengi, hivi hapo unafikiri automatic jiwe yupo upande gani kama sio upande wa wosia?.
 
Hamna umasikini mbaya wa mawazo wa kutaka kuhusianisha kila kitu na siasa.We mwenyewe unajiona upo huru kifikra kumbe haupo huru ,siasa zimekufanya uwe mfuasi wa chama mpaka unashindwa kufikiri na kuyaamini mawazo yako.
 
Hayo mambo ya kwenda Dubai jacky alikua nayo toka mwanzo binamu, kumbuka Mengi alionana na jacky kwenye flight wakielekea London , so ndo ujue jacky ni mtu wa aina gani

Na kwa mtu kama Mengi ku fall in love na Jacky that means ameona Jacky ana hadhi ya kuwa na mtu kama yeye , hivyo unavyomponda Sijui hana lolote sio kweli , Hata kama hajasoma, Jacky ana akili , kajifunza kutoka kwa watu waliomzid kila kitu Ndio maana hata leo ukimkalisha jacky na wasomi wa chuo kikuu anawakilisha, she is very smart n intelligent.

Jacky ni mwanamke wa Aina yake , ni kati ya mabinti wachache wenye hadhi ya aina yake , yule tumuache tu hatumuwez

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
sasa wewe mwenyewe unakiri kuwa jiwe na mzee mengi walikuwa wanaelewana sana, na kwa mujibu wa jack ule wosia aliuandika mzee mengi, hivi hapo unafikiri automatic jiwe yupo upande gani kama sio upande wa wosia?.

Umesema Raisi anawachukia wachaga sasa Jack ni mchaga? Husimuingize Raisi kwenye mambo yasiyo muhimu kwake
 
kwani Jack anataka kuwafukuza watoto wa Mengi? Hapana hawafukuzi Ila ni kuwa anataka sehemu ya urithi kwake na kwa wanawe na wale wengine wabaki na sehemu yao na sio kwamba anawafukuza. Jack anahaki zote za kupata sehemu ya Mali maana alikuwa mke halali na amezaa watoto na marehemu, hata asipokuwa mwenyekiti au hata wosia ukitenguliwa lakini lazima awe na sehemu ya Mali muhimu hasa kwa watoto wake maana ni watoto wa marehemu.

Jack mwenyewe alisema kuwa sio kwamba Mali ni kidogo za kugombania bali Mali zipo nyingi za kumtosha kila mtu. Ndugu na watoto wanatakiwa waridhike pia wawafikirie hata hao wadogo zao na huyo mjane kwa kidogo, hata kama alikuwa gold digger inabidi wakubali matokeo maana marehemu alimkubali na ndo tayari keshawazalia damu yao na wadogo zao. Waache tamaa ya kutaka vyote na vingi maana hata waliovitengeneza na walikuwa wakimiliki vyote wamekufa wameviacha
 
Ndio umestuka usingizini? Umeota ndoto gani 😂😂😂😂
 
Mwenye tamaa ni jack??umeusoma wosia fake kweki regina ambaye ameendesha kampuni kwa miaka 25 leo hii apewe buku chaaa tuwe n utu aise?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo hapo jack alipochemka halafu ,by meansa atapata share ila siyo kama alivyotaka yeye 50% ya mama mercy hiyo haina mjadala kesi itahamia kwenye 50% ya baba yao hapo ndo kuna shida na sisi tunao shindaga shindaga viunga vya mahakamani na kutonya sasa jack hatoboi kwenye hii kesi hana valid docuw hata moja ,asubiri kuishi kwa hisani ya mapacha ambao automatically watapata tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna umasikini mbaya wa mawazo wa kutaka kuhusianisha kila kitu na siasa.We mwenyewe unajiona upo huru kifikra kumbe haupo huru ,siasa zimekufanya uwe mfuasi wa chama mpaka unashindwa kufikiri na kuyaamini mawazo yako.
mkuu unachokataa ni nini hapo? Kwamba Magu haingilii mahakama ? Au magufuli hawapendi wachaga?.
 
mkuu unachokataa ni nini hapo? Kwamba Magu haingilii mahakama ? Au magufuli hawapendi wachaga?.
Siasa zishakuharibu kila unachoambiwa na wanasiasa we kwako NDIO,toka nje ya hilo box ili uwe huru KIFKRA kwani bado huna uhuru wa kimawazo.
 
Siasa zishakuharibu kila unachoambiwa na wanasiasa we kwako NDIO,toka nje ya hilo box ili uwe huru KIFKRA kwani bado huna uhuru wa kimawazo.
wewe unaulizwa hiki unajibu kile, jibu swali acha porojo
 
wewe unaulizwa hiki unajibu kile, jibu swali acha porojo
Unafikiria siasa mpaka unasahau upo kwenye thread inayozungumzia kitu tofauti na unachowaza ww,basi kuna uwezekana hata matatizo kwenye familia yenu anaye yasababisha ni MAGUFULI,toka nje ya hilo BOX.
 
unafikir kwa maneno haya umelijibu swali langu?
 
Tatizo ni moja tu "wosio " Neno nimemwachia Jack mali zangu zote... Hili neno zote linahitaji uwe na roho ya kimafia kulikubali watoto wakubwa wa marehemu ambao wanazaliwa Baba hana kitu wanashirikiana na mzee wao mpaka kupata mali zote hizo Leo kirahis kirahisi mtu anakuja na kusema amtakiwi kupata kitu hapa🤔
Narudia inahitaji kuwa mchawi kukubali hili neno zote likubaliwe na mahakama na watoto wakubwa wabaki mikono mitupu Au wapewe 1000
Hata kama Jack atapewa kikubwa let say 75% na 25% wapewe watoto inamake sense kuliko yeye apate pekee yake 100% .Bila aibu Unasimama mahakamani kbs embu tumuogope Mungu Pia na nyinyi wanawake mlikuwepo humu acheni kuwa na roho za tamaa umependwa na mtu mpaka kufikia kufanya uwamuzi wa kijinga kwenye wosia embu jaribu kumshauri kuwa hata kama anakupenda pia ni jukumu lake kuwakumbuka watoto wake wa mke mkubwa kwani nao wanahaki kama nilivyo mimi tena pengine zaid usinipendelee mwenyewe... Jack angelikuwa mungwana nae agelipaswa kumkumbusha mengi hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…