Huyu Dada (Jack) akili hana, hv kwa akili za kawaida kabisa a nafikiri anaweza kuwafukuza watoto katika mali za wazee wao hali wao ndo wamekuwa wakurugenzi miaka nenda miaka rudi na mafanikio ya haya makampuni yanaonekana?
Na kwa akili zake zilivyo anakwenda kuanzisha duka la Funirture ambazo ni ghali hata mtu wa kipato cha Kati hawezi kuzimudu Sasa sijui target yake ilikuwa hakina nani? ndio mtu aone akili za huyu Dada...
Hata aibu haoni jamani... Wewe hata hizo Funirture zimekushinda mambo ya IPP utayaweza wapi hali mambo ya biashara huyawezi, Shule huna, uzoefu huna, hiyo miaka 9 na Mzee ulikuwa ni mtu wa kula raha na Mzee Badala ya kujifunza kutoka kwake jinsi ya run biashara kwa faida na aina ya biashara na nk...
Leo hii unataka kuwatoa wazoefu, wasomi, walio fanya hizo kazi na kuleta maendeleo, kukufanya wewe kwenda Dubai km una kwenda Kaliakoo.. Badala ya kukaa Karibu nao ili watoto wako waje wafaidike kwa kupewa ujuzi, elimu ili baadaye waendeleze mali za Mengi.. Wewe ndo unataka kuwafukuza akili gani hizi?
Wewe Dada km unapita hapa hakika mchawi wako ni huyu anayekupa ushauri wa kijinga na huku akiwa pembeni anakucheka... Kaa chini, kula matapishi yako nenda kwa Familia ya Mengi muongee muyamalize.
Hatakuwa na hela km ulizokuwa nazo kabla ya Mzee hajafariki lkn hutalala njaa na utakuwa na Amani moyoni wewe na wanao...