Chizi Jambazi
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,769
- 1,379
Mali itamtoa roho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kweli bwana, hivi hawa watoto wa mengi wana shida gani jamani? yule wa kike no ndoa no mtoto, wa kiume na hivyo hivyo, wats wrong with them?Mengi alikuwa na craving ya watoto. Imagine unazaa wanao watatu, mmoja anafariki, waliobaki wanafika 40s hata mjukuu hawakupi. Lazima uzae vitoto vingine vya kukufariji kwenye old age.
Point of correction, hao ndugu hawajawahi kumuomba suluhu yoyote huyo dada tena hawatakagi hata stori nae wanakutana mahakamani tu, ni jamaa na marafiki wa pembeni wa mengi ndo wanamwambia jack akae na ndugu wa mengi wayamalize. Pili, kama hao ndugu imekula kwao iweje huyo jack ambae haijala kwake na anauhakika wa kushinda ndo anahangaika kubwabwaja mitandaoni kutafuta huruma za wananchi lakini hao ambao imekula kwao wako calm?Hakuna cha kupenda ndugu hapa, mume akifa ndio ndugu mnaanza kujifanya mna uchungu sana. Hapo hadi sahivi imeshakula kwao, hadi wanaanza kuweweseka eti wanamuomba wayasuluhishe , hahaahaha...ndugu ni mapepo
Sent using Jamii Forums mobile app
ameshindwa kutengeneza hiyo empire for 9 years when mengi was alive anampaka kila anachotaka kwa gharama yoyote aje atengeneze empire leo, puliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizHata Mahakama ikigawa mali upya huyu jackie na wanawe wanaishia kuwa ma bilionea. Na believe it or not palipo uhai, by the time mapacha wake wanafika umri sawa na watoto wakubwa wa mengi huyu jackie atakuwa amejenga business empire kubwa kuliko mali yote aliyoiacha mengi!!!
Huyu dem ni strategist na ana akili ya biashara kuliko wale watoto wakubwa wa mengi. Kwa kifupi zikiibuka business empire mbili tofauti, ya huyu itakuwa zaidi kuliko ya familia ya mke wa kwanza!!!
uuuuwi zari ndo angekuwa mke wa mengi aisee sitaki kupata picha, angeteneza empire ya kufa mtuAlipaswa kuji engage kwenye private business mapema, ame declare alikuwa anamlea mzee. Mapemaaaa wangeweza kujenga public awareness jack kucontrorl biashara zake binafsi. Aidha ziwe za watoto tu. Kwa sasa amechelewa, ataishi maisha magumu sana. Hata zari amemshinda.
Watu wamezaliwa tumbo moja na bado wanauwana kisa Mali. Mzazi anamtoa mwanae kafara kisa Mali.. ndugu yako anaweza kuwa aduhi yako mkubwaHuyu si akae kimya aache mahakama ifanye kazi yake, yaani anajifanya ana uchungu na Mengi kuliko ndugu zake waliozaliwa tumbo moja, ukoo mmoja wanamjua nje ndani.
Huku naona kama anatafuta huruma na kuwapa faida wambeya.
Infocom Technologies ni Biashara binafsi ya Abdiel na EATV ni kampuni binafsi ya Rodney Mutie
Huwezi kujenga business empire kwa 9 years wakati muda huo huo unazaa na kulea watoto.ameshindwa kutengeneza hiyo empire for 9 years when mengi was alive anampaka kila anachotaka kwa gharama yoyote aje atengeneze empire leo, puliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiz
Hizo probability tu ,ila NDUGU YAKO NI NDUGU YAKO na MWANAO NI MWANAO TU.Watu wamezaliwa tumbo moja na bado wanauwana kisa Mali. Mzazi anamtoa mwanae kafara kisa Mali.. ndugu yako anaweza kuwa aduhi yako mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo kwa kuwa alipewa za mama yao, za baba yao haziwahusu?hao watoto wakubwa wameshapewa chao 50%, kutoka kwa mama yao, hiyo 50% nyingine ya mengi ni ya watoto wa jack, hao watoto wakubwa waache roho mbaya kutaka kudhulumu mali za wadogo zao mapacha.
huo ndiyo ukweli mchungunaona upande wa pili wanakimbiza mwizi kimya kimya mwisho wa siku mwizi anaanza kupiga kelele kuomba msaada
hata hizp morocahao sijui what what zipo tu ! magodown yapo itv pale yanashangaa shangaa!Dear..Mimi mwenyewe nimesoma nikaona nikae kimya tu.
Alishindwa kutumia hela ya Mzee kuwa Bilionea wakati akiwa hai hiyo sasa hivi anaanzia wapi?
Halafu huyo Demu hana kismart cha utafutaji..
Sent using Jamii Forums mobile app
ahhahahahahahhahhahaa urithi wa kisenzi sana huuu!kwahiyo kwa kuwa alipewa za mama yao, za baba yao haziwahusu?
hahahahahhahahahhaa u r so funnyHuwezi kujenga business empire kwa 9 years wakati muda huo huo unazaa na kulea watoto.
Umenichekesha sana mkuu🤣🤣🤣🤣Ni muda wa "Return on investment" lazima apambane.