Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Mengi alikuwa na craving ya watoto. Imagine unazaa wanao watatu, mmoja anafariki, waliobaki wanafika 40s hata mjukuu hawakupi. Lazima uzae vitoto vingine vya kukufariji kwenye old age.
Tena kweli bwana, hivi hawa watoto wa mengi wana shida gani jamani? yule wa kike no ndoa no mtoto, wa kiume na hivyo hivyo, wats wrong with them?
 
Hakuna cha kupenda ndugu hapa, mume akifa ndio ndugu mnaanza kujifanya mna uchungu sana. Hapo hadi sahivi imeshakula kwao, hadi wanaanza kuweweseka eti wanamuomba wayasuluhishe , hahaahaha...ndugu ni mapepo

Sent using Jamii Forums mobile app
Point of correction, hao ndugu hawajawahi kumuomba suluhu yoyote huyo dada tena hawatakagi hata stori nae wanakutana mahakamani tu, ni jamaa na marafiki wa pembeni wa mengi ndo wanamwambia jack akae na ndugu wa mengi wayamalize. Pili, kama hao ndugu imekula kwao iweje huyo jack ambae haijala kwake na anauhakika wa kushinda ndo anahangaika kubwabwaja mitandaoni kutafuta huruma za wananchi lakini hao ambao imekula kwao wako calm?
 
Hata Mahakama ikigawa mali upya huyu jackie na wanawe wanaishia kuwa ma bilionea. Na believe it or not palipo uhai, by the time mapacha wake wanafika umri sawa na watoto wakubwa wa mengi huyu jackie atakuwa amejenga business empire kubwa kuliko mali yote aliyoiacha mengi!!!

Huyu dem ni strategist na ana akili ya biashara kuliko wale watoto wakubwa wa mengi. Kwa kifupi zikiibuka business empire mbili tofauti, ya huyu itakuwa zaidi kuliko ya familia ya mke wa kwanza!!!
ameshindwa kutengeneza hiyo empire for 9 years when mengi was alive anampaka kila anachotaka kwa gharama yoyote aje atengeneze empire leo, puliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiz
 
waandishi wa habari nao wanataka habari..
 
Alipaswa kuji engage kwenye private business mapema, ame declare alikuwa anamlea mzee. Mapemaaaa wangeweza kujenga public awareness jack kucontrorl biashara zake binafsi. Aidha ziwe za watoto tu. Kwa sasa amechelewa, ataishi maisha magumu sana. Hata zari amemshinda.
uuuuwi zari ndo angekuwa mke wa mengi aisee sitaki kupata picha, angeteneza empire ya kufa mtu
 
Huyu si akae kimya aache mahakama ifanye kazi yake, yaani anajifanya ana uchungu na Mengi kuliko ndugu zake waliozaliwa tumbo moja, ukoo mmoja wanamjua nje ndani.

Huku naona kama anatafuta huruma na kuwapa faida wambeya.
Watu wamezaliwa tumbo moja na bado wanauwana kisa Mali. Mzazi anamtoa mwanae kafara kisa Mali.. ndugu yako anaweza kuwa aduhi yako mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Infocom Technologies ni Biashara binafsi ya Abdiel na EATV ni kampuni binafsi ya Rodney Mutie

Kumbe anayo kampuni binafsi. Nimecheki website ya Infocom Technologies. Angetumia strategy kuitangaza ingejulikana sana iendane na hadhi yao maana Mengi jina kubwa na media wanazo!!!
 
ameshindwa kutengeneza hiyo empire for 9 years when mengi was alive anampaka kila anachotaka kwa gharama yoyote aje atengeneze empire leo, puliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiz
Huwezi kujenga business empire kwa 9 years wakati muda huo huo unazaa na kulea watoto.
 
Dear..Mimi mwenyewe nimesoma nikaona nikae kimya tu.
Alishindwa kutumia hela ya Mzee kuwa Bilionea wakati akiwa hai hiyo sasa hivi anaanzia wapi?
Halafu huyo Demu hana kismart cha utafutaji..


Sent using Jamii Forums mobile app
hata hizp morocahao sijui what what zipo tu ! magodown yapo itv pale yanashangaa shangaa!

alianzisha nursey school iko wapi?
leo ndo awe bilionea!
ubilionea hauambukizwi kama corona aseeh!
 
af Director wa movie zake anajifanya mjanja mjanjaaa!
kwamba hataki mumewe adhalilishwe na yeye ndo wa kumtetea!
hicho anachosema kinamdhalilishwa na kifutwe ni kuwa mzee hakuwa timamu alipoandika wasia!

HAHAHAHAHHAHAHAHHAA kwamba paaap wafute kauli, iwe mzee alikuwa timamu!
af paap wosia uwe valid!
We jackieeee wewe, heb tuache kidogo tuko busy na tamko la Aristotee
Raynavero mrsleo Dinazarde
 
Back
Top Bottom