Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Alibugi sana, kwa Umri wake alitakiwa kutafuta Mmama ,sio kukimbizana namtu ambaye Umri wake bado unaongozwa na mwili .


Huyo Mzee Pamoja na changamoto zakiafya alizokua nazo , Nje ya Huyu dada Asingekufa mapema.
Hata kama angekuwa anagonga hapa na pale na kuondoka sio mbaya. Hata kama ni kuzaa angeweza kuwatunza watoto bila kuoa. Hata mimi naona binti kachangia sana kumwondoa duniani mapema.

Nilisikia mahojiano yake anasema walikuwa wanasafiri mpaka USA kwa ajili tu ya kumwangalia Rihana. Japo bibi anadai mzee ndiye aliyekuwa anashauri waende lakini mimi siamini. Hapo ni bibi alikuwa anang'ang'aniza
 
Mara moja moja uwe unafuatilia angalau documentaries za "investigation discovery" au "my little dirty secret" au "forensic files" Naamini utatoka kwenye hilo giza linalokuzingira...

Giza gan ebu tutoleen uchawi wenu huko , Jacky c alikua mke wake na Kazaa nae , sasa hapo cha ajabu nini kama akimuandika? Ingekua kaandikwa madam ritha ingekua ajabu sasa kaandikwa jacky mke wa marehemu , acheni wivu uko


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hahahahahha dada yako kaachwa uchi,kama hakufata maslahi hapo ya nini kudhalilishana kwenye social media?? si asepe tuu...??? kama anadai ana watoto kaachiwa mbona hataki kukubali the fact kwamba Mengi hakua na watoto wakwake peke yake?? kwamba Mengi alikua na watoto wengine besides wa kwake??
adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Jack ana strategic plan kuhusu biashara? Unaota mkuu.Jack hatawesa kuwa bilionea..kwasabbu deep inside anajua sio mkweli..hkunaga..hela inataka usafi wa rohomkuu...huyo ataishia level hizo hizo...kwa ubilionea nakataa! Hana akili hizo..umekaa na mume 9yrs unakuja kufanya biashara za furniture?? Khaa
mtu wangu unaniangusha

ni kipi hasa kinachofanya uidharau biashara ya furniture?

hebu Google kampuni ipo Sweden inaitwa IKEA ambayo mmiliki wa hyo kampuni ni mmoja wa mabilionea duniani.!

au ulivyoskia anauza furniture ukapiga picha wale wanaouza barabarani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbwewe,
Wewe mwenyew umerudi palepale...huyo bilione yuko huko sweden...Jack aliwah hojiwa kwanini kampuno yake inasuasua akasema kutoboa ni ishu .alienda kwenye maonesho dubai alishindwa kideliver coz wenzake wote wana office pale dubai..so akawa ameenda tu mradi!

Kuna mambo kutusua Africa itachukua muda...kama hayo ya fenicha mkuu..mbona mpak leo mnakalia furnitur toka China? Si mngempa tenda basi?hatuna finishing nzuri...! Utaniambia kama ataweza tusua kupitia furniture!
 
Wewe mwenyew umerudi palepale...huyo bilione yuko huko sweden...Jack aliwah hojiwa kwanini kampuno yake inasuasua akasema kutoboa ni ishu .alienda kwenye maonesho dubai alishindwa kideliver coz wenzake wote wana office pale dubai..so akawa ameenda tu mradi...!

Kuna mambo kutusua Africa itachukua muda...kama hayo ya fenicha mkuu..mbona mpak leo mnakalia furnitur toka China? Si mngempa tenda basi?hatuna finishing nzuri...! Utaniambia kama ataweza tusua kupitia furniture!
dah! hpa ndipo unapozidi kunichosha!

binafsi naamini biashara yoyote mpaka ikue lazima ipitie changamoto mbalimbali

sasa wewe ulitaka aanze moja moja kwenda sawa na aliowakuta kwenye game wana miaka zaidi ya 60?

binafsi mi naamini hyo biashara ni sahihi kwake na mdogo mdogo atatusua tu!

ila kinanachonishangaza kwenye huu uzi asilimia zqidi ya80% ya waliocomment ni wanawake lakini wote mnaonekana mna chuki kali sana kwa mwanamke mwenzenu au ndio ile kauli "adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake"?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbwewe,

Bro hii ni perception zangu...binafs simuonei wivu..! as na mimi mikono yangu Mungu ameibariki...tumesema hv coz tuna ujua uchungu wa kuzaa..lazima tusimame na wale watoto wakubwa...!
Narudia tena najua sana changamoto kwa biashara..lakini sio km anavyofikiri yy kutusua kupitia furniture!
 
Giza gan ebu tutoleen uchawi wenu huko , Jacky c alikua mke wake na Kazaa nae , sasa hapo cha ajabu nini kama akimuandika? Ingekua kaandikwa madam ritha ingekua ajabu sasa kaandikwa jacky mke wa marehemu , acheni wivu uko


Sent from my iPhone using JamiiForums
Uzuri ni kwamba sikushangai hata kidogo
 
Giza gan ebu tutoleen uchawi wenu huko , Jacky c alikua mke wake na Kazaa nae , sasa hapo cha ajabu nini kama akimuandika? Ingekua kaandikwa madam ritha ingekua ajabu sasa kaandikwa jacky mke wa marehemu , acheni wivu uko


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiki kitu nilikiwazaga hivi Ritha angemzalia Mengi naye angesemwa hivi. Hawa watu wanaongea utasema Jacky hajazaa hajaolewa. Kazi kwelikwelk
 
Wanawake ndio muone umuhimu wa cheti cha ndoa na ndio maana mzee alioa maana anajua kwa wachaga kama hajakuoa ni kizungumkuti.Angekuwa hajaolewa angeisoma namba.
 
Uchungu una upima na nini?

Wakati Mengi kuna watoto wake wamekuwa naye katika mapambano ya kuisimamisha IPP na kampuni nyingine nyingi bega kwa bega,milima na mabonde,machozi ,jasho na damu wameshiriki wote zaidi ya miaka 25.

Hawa nao watasemaje au wewe kwa kipimo chako hawana UCHUNGU?

Ila huyo aliye onenekana wakati wenzake washavuna ndio mwenye uchungu,ila hawa walio liandaa shamba,wakalisafisha,wakalima,wakapalilia kwa miaka zaidi ya 25 kisha wakavuna,wakaweka ghalani inamana hawana uchungi?

TUIACHIE MAHAKAMA IFANYE KAZI YAKE.
Nimependa hii comment uwiiiiiiiiiih,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika haya mahojiano sijaona point ya msingi kutoka kwa huyo bint, yaaan anaegemea kwa watoto, nmeachwa hoi hapo anaposema hata wanagombana kisa Mali utadhan nyumba 1 kana kwamba watagawa katikati kumbe zipo Mali za kutosha tyuuh, eti wanamkamshifu mumewe na hakuna wa kumtetea Ila ni yey yaan aibu naona mieeeeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lol hapan chezea pesa weyeeeeeeeh Damon uwiiiiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
Jack atashinda asubuhiii. Mengi angefariki bila 'will', huyu dada angepata 50% ya mali zote, na watoto wote kugawana iliyobaki. Lakini Mengi ameacha 'will'. Ni mali zake. Anaweza akaachia yeyote. Ndiyo maana ndugu wanaifuata njia finyu sana ya marehemu kutokuwa na akili alipoiandika. Njia nyingine ingekuwa kama mke aliyechuma naye yupo na hakupata kitu. Hapo 'will' ingebutuliwa na mahakama. Lakini hayupo na tunaambiwa alishapata 50% yake! Iwe Jackline alimpenda au hakumpenda mmewe si hoja. Sheria Tanzania na kote ulimwenguni iko kwake. Mengine tufurahie sinema tu.
 
Back
Top Bottom