Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Kupata muafaka hapa ni ngumu kwani wahusika wana uelewa tofauti.Kuna wanaoongea porojo za vijiweni,kuna wanaoongea kwakuwa wanfikiri wanajua lakini hawajui,Kuna wanaotumia logic tu na kuna wanaoijua sheria aidha kwa kuisoma ,uzoefu au kwa kuwa ni wanasheria.Na mtanzania hata Kama hajui atang'ang'anaa ili aonekane anajua.Ni kupoteza muda kubishana nao.
 
Wanaharakati, wajane wenzake aliowalisha chakula, hawatakuelewa.
Jack ni mdangaji na msanii, ni manipulators kiwango cha uprof.
Alianza mapema kuiteka jamii kisaikolojia, kwa kujiandikia zile twits za happy Valentine's, I love u my Jackline...

She planned this whole thing. Bahati mbaya kwake na nzuri kwa familia, ni kwamba, ni beauty with no Brains.

Hata marehemu hakuwa mjinga, alimpitisha mule mule alikokuwa mdangaji anataka. Aliamini mali yote ni ya Marehemu na inaonekana marehemu hakuwa anamwambia ukweli.
Alijua familia imesisima. Mapacha watasoma, wataishi, watalelewa.

Player's been played! Danga kadangiwa

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mie kingereza sikijui ila mbona naona report ya 2017 imejumuishwa kwenye report ya 2016 au waliacha wazi nafasi ya kujaza kwa hiyo 2017 naomba kueleweshwa tafadhali
Uyu Jacky anataka kutuona Wote machizi kwa kufoji foji utopolo.

Kaanzia Kwenye sahihi ya mzee, kafoji imebuma.

Kaamia kweye medical report, nayo imebuma.

Jacky Ni takataka
 
Duuuhh, ngoma bado mbichi hii.

K Lyn alikosea kutojimilikisha vya kueleweka kabla ya Mengi kuondoka

Barua imeandikwa mwaka 2016, halafu inaelezea mambo ya mwaka 2017 na 2019. K Lyn hili limekaaje?
Hapo ndio sijaelewa hata mimi! Hii barua ni ya refference ila sielewi kwanini matukio ya mbele yaelezwe kwenye tarehe ya nyuma!
 
Hili linatakiwa kuwa funzo kwa kina dada, tafuteni vyenu sio kutegemea vya kupewa na huyu dada amekosa busara ni utovu wa nidhamu kuweka rekodi za kiafya za mtu hadharani, kama ana jambo aende mahakamani tu. Akate rufaa
Kapagawa huyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anatafta pa kushika ila sikuwahi waza K lyn ni kichwa maji namna hii! Huenda hata wale akina Nancy nao ni hewa tu sema hawajapitishwa kwenye njia za miba bado
 
Hao waliomuona si madaktari wa afya ya akili. By the way kuwa na matatizo ya moyo hakukufanyi usiwe na matatizo ya afya ya akili. Dada alichemka.
 
Mi mwnyw nnamashaka na kifo Cha mzee.

Huenda Kuna staging imefanyika
 
Huyu dada anahitaji ushauri wa kina maana asipokuwa makini anaweza kujitengenezea kesi nyingine ya ku- disclose medical records ya mtu in public. Legal matters angezielekeza mahakamani, sometimes seeking Public sympathy kwa mtindo huu ni so cheap
Amenidhihirishia kumbe ni mweupe sana, hii level of thinking ni ya form 4 dropout kama Gigy mane! With all that exposure i cant stand this kind of crap ese!!!
 
Apeleke mahakamani hizo nyaraka
 
Hii ni roho mbaya alioionesha, Nina imani made Mengi alishawatengenezea mapacha zake future bila kumuacha Jack, ila tunachokiona ni roho mbaya inayodhirishwa.
Kwamba tamaa tu za kiherehere zile? We ushapewa mzigo una Billion kadhaa benki sasa maisha yatakushindaje! Hivi muwekewe mzigo kama 30B kwenye account zenu wewe na wanao kuna shida ya kugombania mali kweli hapo?
 
Lazma ajikombeleze! Sema mi nashindwa kuelewa hivi ukae na Zimba asikuwekee hata Billion 1 kwenye account yako zikusaidie na umemzalia watoto?
Marehemu alimchukulia kama mdangaji tu, ndiyo maana alikuwa anamridhisha na IPhone, Gucci, safari na miipichapicha.
Akili za Jack ndiyo zilizomsababishia yote. Angenunua pochi tu na miwani na mawigi, kisha mwisho wa siku zingeisha angeanzisha mtiti. Ooh wanakula mali za marehem mume wangu mie nateseka na watoto.
Usishangae hana hata kiwanja wala uchochoro unaoitwa site.

Nasikia kishaanza kujipendekeza, anawapenda wamachame, she's a manipulator!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hahahahah mie nilikuwa namuheshimu huyu maraya keri ila kwa vituko anavyovionesha tofauti yake na faiza ni kuacha matako wazi tu
 
Kwa huu muhtasari sina shaka nikilinganisha na level ya vituko vyake 🀣🀣🀣 ni hamisa aliyezubaa zubaa kidogo!

Demu anawaza mawigi na fashions bila hata kujiwekea akiba kummmk dah! Biashara alioona afungue ni kuuza stuli million 3 usawa huu na coffe table million 4 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…