Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Sasa unachokataa ni nini? Umesoma ile hukumu kweli au unabisha tu,moja ya sababu kubwa ni

-Kujumuishwa Family Businesses kwenye wosia ili Mjane ajimilikishe peke yake,ktk Family Businesses kuna ndugu zake Mwendazake wamewekeza mitaji yao humo,na Family Businesses ni nyingi kuliko alichokuwa anamiliki Marehemu as a person.

-Kujumuishwa mali ya Mke mkubwa wa Marehemu Bi Mercy Mengi,na hapa walirefer hukumu iliyotolewa wakati wanadivorce jinsi mgawo ulivyokuwa.Sasa pia iliyokuwa halali ya Mke Mkubwa na yenyewe iliwekwa kwa huu wosia.

Ulitaka katika mazingira hayo Jack ashinde kweli hii kesi.
Kupata muafaka hapa ni ngumu kwani wahusika wana uelewa tofauti.Kuna wanaoongea porojo za vijiweni,kuna wanaoongea kwakuwa wanfikiri wanajua lakini hawajui,Kuna wanaotumia logic tu na kuna wanaoijua sheria aidha kwa kuisoma ,uzoefu au kwa kuwa ni wanasheria.Na mtanzania hata Kama hajui atang'ang'anaa ili aonekane anajua.Ni kupoteza muda kubishana nao.
 
Sasa unachokataa ni nini? Umesoma ile hukumu kweli au unabisha tu,moja ya sababu kubwa ni

-Kujumuishwa Family Businesses kwenye wosia ili Mjane ajimilikishe peke yake,ktk Family Businesses kuna ndugu zake Mwendazake wamewekeza mitaji yao humo,na Family Businesses ni nyingi kuliko alichokuwa anamiliki Marehemu as a person.

-Kujumuishwa mali ya Mke mkubwa wa Marehemu Bi Mercy Mengi,na hapa walirefer hukumu iliyotolewa wakati wanadivorce jinsi mgawo ulivyokuwa.Sasa pia iliyokuwa halali ya Mke Mkubwa na yenyewe iliwekwa kwa huu wosia.

Ulitaka katika mazingira hayo Jack ashinde kweli hii kesi.
Wanaharakati, wajane wenzake aliowalisha chakula, hawatakuelewa.
Jack ni mdangaji na msanii, ni manipulators kiwango cha uprof.
Alianza mapema kuiteka jamii kisaikolojia, kwa kujiandikia zile twits za happy Valentine's, I love u my Jackline...

She planned this whole thing. Bahati mbaya kwake na nzuri kwa familia, ni kwamba, ni beauty with no Brains.

Hata marehemu hakuwa mjinga, alimpitisha mule mule alikokuwa mdangaji anataka. Aliamini mali yote ni ya Marehemu na inaonekana marehemu hakuwa anamwambia ukweli.
Alijua familia imesisima. Mapacha watasoma, wataishi, watalelewa.

Player's been played! Danga kadangiwa

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mie kingereza sikijui ila mbona naona report ya 2017 imejumuishwa kwenye report ya 2016 au waliacha wazi nafasi ya kujaza kwa hiyo 2017 naomba kueleweshwa tafadhali
Uyu Jacky anataka kutuona Wote machizi kwa kufoji foji utopolo.

Kaanzia Kwenye sahihi ya mzee, kafoji imebuma.

Kaamia kweye medical report, nayo imebuma.

Jacky Ni takataka
 
Duuuhh, ngoma bado mbichi hii.

K Lyn alikosea kutojimilikisha vya kueleweka kabla ya Mengi kuondoka

Barua imeandikwa mwaka 2016, halafu inaelezea mambo ya mwaka 2017 na 2019. K Lyn hili limekaaje?
Hapo ndio sijaelewa hata mimi! Hii barua ni ya refference ila sielewi kwanini matukio ya mbele yaelezwe kwenye tarehe ya nyuma!
 
Hili linatakiwa kuwa funzo kwa kina dada, tafuteni vyenu sio kutegemea vya kupewa na huyu dada amekosa busara ni utovu wa nidhamu kuweka rekodi za kiafya za mtu hadharani, kama ana jambo aende mahakamani tu. Akate rufaa
Kapagawa huyo 😂😂😂 anatafta pa kushika ila sikuwahi waza K lyn ni kichwa maji namna hii! Huenda hata wale akina Nancy nao ni hewa tu sema hawajapitishwa kwenye njia za miba bado
 
Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.

Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili. Pia Jackline ameweka rekodi za afya za mume wake katika jitihada za kuthibitishia walimwengu kwamba mume wake alikuwa timamu wakati anaandika wosia.

Jana Mahakama iliwateua watoto wakubwa wa Reginald Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi na kutengua wosia unaodaiwa uliandikwa na Reginald Mengi kwa kukosa sifa za kisheria.

Pia, Soma=> Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

View attachment 1791810
Hao waliomuona si madaktari wa afya ya akili. By the way kuwa na matatizo ya moyo hakukufanyi usiwe na matatizo ya afya ya akili. Dada alichemka.
 
Hawa familia ya Mengi wamemstahi tu huyu binti ila ilibidi wamfungulie kesi ya kuhusika na kifo cha mzee. Kuna vitu aliongea kuhusu watoto kushauri kuwa trip ya Zenj haitoshi wanataka kwenda Dubai ambako ndiko kifo kilipomkutia Mengi. Ile tu ni tosha kuonyesha kuwa kuna mashaka kuwa kuna vitu vilipangwa. Na mbaya akasingizia watoto (wadogo sana) ndio walioshauri (yeye kajitoa kimtindo kuadaa watu)

Pia mazingira ya kifo yana utata sana, sijui kwa nini familia haijamshitaki kwenye hili. Kuna mazingira ya kifo cha mzee hayako sawa na mwendelezo wake ni huu wa kufoji vitu ili apate mali. Inaonekana amepanga haya mambo ila waliomshauri ni akili ndogo.

Ndugu wamfungulie kesi ya mauaji akose mwana na maji ya moto
Mi mwnyw nnamashaka na kifo Cha mzee.

Huenda Kuna staging imefanyika
 
Huyu dada anahitaji ushauri wa kina maana asipokuwa makini anaweza kujitengenezea kesi nyingine ya ku- disclose medical records ya mtu in public. Legal matters angezielekeza mahakamani, sometimes seeking Public sympathy kwa mtindo huu ni so cheap
Amenidhihirishia kumbe ni mweupe sana, hii level of thinking ni ya form 4 dropout kama Gigy mane! With all that exposure i cant stand this kind of crap ese!!!
 
Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.

Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili. Pia Jackline ameweka rekodi za afya za mume wake katika jitihada za kuthibitishia walimwengu kwamba mume wake alikuwa timamu wakati anaandika wosia.

Jana Mahakama iliwateua watoto wakubwa wa Reginald Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi na kutengua wosia unaodaiwa uliandikwa na Reginald Mengi kwa kukosa sifa za kisheria.

Pia, Soma=> Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

View attachment 1791810
Apeleke mahakamani hizo nyaraka
 
Hii ni roho mbaya alioionesha, Nina imani made Mengi alishawatengenezea mapacha zake future bila kumuacha Jack, ila tunachokiona ni roho mbaya inayodhirishwa.
Kwamba tamaa tu za kiherehere zile? We ushapewa mzigo una Billion kadhaa benki sasa maisha yatakushindaje! Hivi muwekewe mzigo kama 30B kwenye account zenu wewe na wanao kuna shida ya kugombania mali kweli hapo?
 
Lazma ajikombeleze! Sema mi nashindwa kuelewa hivi ukae na Zimba asikuwekee hata Billion 1 kwenye account yako zikusaidie na umemzalia watoto?
Marehemu alimchukulia kama mdangaji tu, ndiyo maana alikuwa anamridhisha na IPhone, Gucci, safari na miipichapicha.
Akili za Jack ndiyo zilizomsababishia yote. Angenunua pochi tu na miwani na mawigi, kisha mwisho wa siku zingeisha angeanzisha mtiti. Ooh wanakula mali za marehem mume wangu mie nateseka na watoto.
Usishangae hana hata kiwanja wala uchochoro unaoitwa site.

Nasikia kishaanza kujipendekeza, anawapenda wamachame, she's a manipulator!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Shule muhimu sana...hizi form four hizi ni ungese mtupu....ona kichwani huyu demu alivyo empty set...utatoaje private medical report public???[emoji848][emoji848] Is she ok upstairs?[emoji2962][emoji2962]

Bora mtoto wangu asiwe tajiri lakini awe msomi, nimejifunza hapa[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hahahahah mie nilikuwa namuheshimu huyu maraya keri ila kwa vituko anavyovionesha tofauti yake na faiza ni kuacha matako wazi tu
 
Marehemu alimchukulia kama mdangaji tu, ndiyo maana alikuwa anamridhisha na IPhone, Gucci, safari na miipichapicha.
Akili za Jack ndiyo zilizomsababishia yote. Angenunua pochi tu na miwani na mawigi, kisha mwisho wa siku zingeisha angeanzisha mtiti. Ooh wanakula mali za marehem mume wangu mie nateseka na watoto.
Usishangae hana hata kiwanja wala uchochoro unaoitwa site.

Nasikia kishaanza kujipendekeza, anawapenda wamachame, she's a manipulator!

Everyday is Saturday............................... 😎
Kwa huu muhtasari sina shaka nikilinganisha na level ya vituko vyake 🤣🤣🤣 ni hamisa aliyezubaa zubaa kidogo!

Demu anawaza mawigi na fashions bila hata kujiwekea akiba kummmk dah! Biashara alioona afungue ni kuuza stuli million 3 usawa huu na coffe table million 4 😅😅😅
 
Back
Top Bottom