balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Kupata muafaka hapa ni ngumu kwani wahusika wana uelewa tofauti.Kuna wanaoongea porojo za vijiweni,kuna wanaoongea kwakuwa wanfikiri wanajua lakini hawajui,Kuna wanaotumia logic tu na kuna wanaoijua sheria aidha kwa kuisoma ,uzoefu au kwa kuwa ni wanasheria.Na mtanzania hata Kama hajui atang'ang'anaa ili aonekane anajua.Ni kupoteza muda kubishana nao.Sasa unachokataa ni nini? Umesoma ile hukumu kweli au unabisha tu,moja ya sababu kubwa ni
-Kujumuishwa Family Businesses kwenye wosia ili Mjane ajimilikishe peke yake,ktk Family Businesses kuna ndugu zake Mwendazake wamewekeza mitaji yao humo,na Family Businesses ni nyingi kuliko alichokuwa anamiliki Marehemu as a person.
-Kujumuishwa mali ya Mke mkubwa wa Marehemu Bi Mercy Mengi,na hapa walirefer hukumu iliyotolewa wakati wanadivorce jinsi mgawo ulivyokuwa.Sasa pia iliyokuwa halali ya Mke Mkubwa na yenyewe iliwekwa kwa huu wosia.
Ulitaka katika mazingira hayo Jack ashinde kweli hii kesi.