ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Mafuta atamjazia naniAtapewa gari 1
Nyingine zote zilizo chini ya IPP zinarudi.
Watoto watalipiwa ada IST hadi wamalize
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafuta atamjazia naniAtapewa gari 1
Nyingine zote zilizo chini ya IPP zinarudi.
Watoto watalipiwa ada IST hadi wamalize
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unakataa nini? Unaongelea dubai? Kwamba ndo walianza sex? Ama viagra ameitima siku moja?Sidhani kama viagra zilikuwa zatumika dubai wakati ukisoma ripoti Dubai aliugua akawekewa pace
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei zake zilikua juu sana tena sana ndo maana imekufa....yani alikua anadeal na Matajiri tuu sio wa keko fenicha tupaa kuleee!!10 mils kwa furniture, huyo mteja anakula na kulala hapo hapo dukani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jacky hayuko sawa ki akili wallah.
Yaan ni fedheha na aibu. Lazima tuwape mabinti zetu Elimu hasa jinsi ya kujitegemea. Tuwaaminishe kwamba they can do it pia[emoji23][emoji23][emoji23] kutoka kuwa Slay Queen with Class to Slay Queen with Child Support. Jamani tusomeshe watoto wa kike,ili wasije tia aibu mbele ya Safari kwa vioja kama vya huyu Mrundi/Muha.
Rita alikua hajatulia alikua anapenda viben10 hataariii.....mzee akammwaga!!!naskia mpk mzee wa yooo...yooo!!katembea naeYeaaaaah afu Rita na jacky si walikua marafiki hawa, na walifuatan ktk kumtumia na kumdangia mzee, yey hakumuona mwenzie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aende dubai kwa cash ipi sasa[emoji23][emoji23] child support yenyewe anadunduliza tuNa bora iwe hivyo,huyu Dada Mjane Jambazi kazingua sana,sote tunawatetea Watoto wa Mzee Mengi si kwamba tuna maslahi binafsi,bali tunaangalia uhuni slay queen alitaka kuufanya,Thank God Mahakama pia imethibitisha kile tulikipinga tangu mwanzo.
Unajua uko kwenye akili yangu? Yaan kabisa siamini kama kuna wema ndani yao. Nachoamini mama yao amepandikiza jambo tayari jui ya watoto wao.Mi kamwe nisingekubali ukaribu ma hivo vitoto vidogo maana vinaweza kukudhuru na visifungwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee usinambie dea? Hadi mpinzani wa Sadala? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahRita alikua hajatulia alikua anapenda viben10 hataariii.....mzee akammwaga!!!naskia mpk mzee wa yooo...yooo!!katembea nae
Mi hata kuwakaribisha siwezi kila mtu aishie anapoishi. Mama yao atawalisha SUMU kali mnoUnajua uko kwenye akili yangu? Yaan kabisa siamini kama kuna wema ndani yao. Nachoamini mama yao amepandikiza jambo tayari jui ya watoto wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa matajiri wenyewe Bongo hii, mweeehBei zake zilikua juu sana tena sana ndo maana imekufa....yani alikua anadeal na Matajiri tuu sio wa keko fenicha tupaa kuleee!!
Hakukataa shule kweli huyu, unajua wadada wazuri, uzuri unawahadaaa sana[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Yoo kiba [emoji817] hapaRita alikua hajatulia alikua anapenda viben10 hataariii.....mzee akammwaga!!!naskia mpk mzee wa yooo...yooo!!katembea nae
K hailipi kiviile labda ulale makaburini[emoji16][emoji16]Huyu alikimbia shule akawekeza kule chini [emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]K hailipi kiviile labda ulale makaburini[emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Jack ana matatizo sana. Mambo ya mali yanazidi kuonesha ni binadamu wa namna gani! Hata watoto wake mwenyewe wakiwa wakubwa hawatokuja kumuelewa mama yao.Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.
Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili. Pia Jackline ameweka rekodi za afya za mume wake katika jitihada za kuthibitishia walimwengu kwamba mume wake alikuwa timamu wakati anaandika wosia.
Jana Mahakama iliwateua watoto wakubwa wa Reginald Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi na kutengua wosia unaodaiwa uliandikwa na Reginald Mengi kwa kukosa sifa za kisheria.
Pia, Soma=> Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua
View attachment 1791810
Hoping kina regina wataplay smartMi hata kuwakaribisha siwezi kila mtu aishie anapoishi. Mama yao atawalisha SUMU kali mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Barua imeandikwa 2016 mgonjwa kawa reviewed 2017 kama sio maajabu nini au uelewa wangu mdogo?Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.
Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili. Pia Jackline ameweka rekodi za afya za mume wake katika jitihada za kuthibitishia walimwengu kwamba mume wake alikuwa timamu wakati anaandika wosia.
Jana Mahakama iliwateua watoto wakubwa wa Reginald Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi na kutengua wosia unaodaiwa uliandikwa na Reginald Mengi kwa kukosa sifa za kisheria.
Pia, Soma=> Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua
View attachment 1791810
Mpeee bia mbili huyu mimi ntalipaaa ugh (sauti ya mlevi)Daima kelele za mlevi hazimzuii baamedi kutoa huduma.
Ngoja tuone.
Ishi bila dhulma hutodhulumiwa.
Convert gharama ya hizo dompo mbili kwenda kwenye M-pesaMpeee bia mbili huyu mimi ntalipaaa ugh (sauti ya mlevi)