Anadhulumiwa alichangia nini yeye na wanawe watoto wakubwa wapewe buku buku quit unfairTwitter msaidieni mama anazulumiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anadhulumiwa alichangia nini yeye na wanawe watoto wakubwa wapewe buku buku quit unfairTwitter msaidieni mama anazulumiwa.
Utatoa hadi k yako kuonyesha uliliwa na yeye hakuna kitu hapo acha jasho la mtu liliwe na watoto wake halisi waliokuwepo ndani yandoa.Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.
Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili. Pia Jackline ameweka rekodi za afya za mume wake katika jitihada za kuthibitishia walimwengu kwamba mume wake alikuwa timamu wakati anaandika wosia.
Jana Mahakama iliwateua watoto wakubwa wa Reginald Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi na kutengua wosia unaodaiwa uliandikwa na Reginald Mengi kwa kukosa sifa za kisheria.
Pia, Soma=> Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua
View attachment 1791810
Sasa unachokataa ni nini? Umesoma ile hukumu kweli au unabisha tu,moja ya sababu kubwa ni
-Kujumuishwa Family Businesses kwenye wosia ili Mjane ajimilikishe peke yake,ktk Family Businesses kuna ndugu zake Mwendazake wamewekeza mitaji yao humo,na Family Businesses ni nyingi kuliko alichokuwa anamiliki Marehemu as a person.
-Kujumuishwa mali ya Mke mkubwa wa Marehemu Bi Mercy Mengi,na hapa walirefer hukumu iliyotolewa wakati wanadivorce jinsi mgawo ulivyokuwa.Sasa pia iliyokuwa halali ya Mke Mkubwa na yenyewe iliwekwa kwa huu wosia.
Ulitaka katika mazingira hayo Jack ashinde kweli hii kesi.
Kama sheria ya Tz inasema hivyo shida ni nini mpaka rufaa yake inafeli na hapo inasemwa marehemu kutowajumuisha watoto kunachangia kupindua rufaa?
Mke mkubwa alishapewa chake tokea akiondoka nyumbani,na hilili liliongelewa na evidence iliwekwa wazi,hata watoto alilazimisha wapewe chao,na ndiyo sababu ya wengine kufunguliwa maredio nk.
Mwanamke wa kichaga aachike aache mali tokea wapi?
Haki haikutendeka,wameamua kwa utashi wao
Very true, its pathetic and wrong..........huyu anafaa kuchuliwa hatau mara moja!Personal medical records are supposed to be confidential and not for public consumption! Huyu mwanamke hana adabu, amemvunjia heshima marehemu mumewe; sasa Kila mtu anajua kuwa mzee alikuwa na urinary infection!! Itakusaidia nini to wash your dirty linen in public?
Mkuu, huwezi sema aligawiwa. Waligawana maana walikua business partners since day one. Hakua iddle useme anafanyiwa hisani. Amechuma pia. Kwahiyo ngoma ilikua 50 kwa 50Mke mkubwa alishapewa chake tokea akiondoka nyumbani,na hilili liliongelewa na evidence iliwekwa wazi,hata watoto alilazimisha wapewe chao,na ndiyo sababu ya wengine kufunguliwa maredio nk.
Mwanamke wa kichaga aachike aache mali tokea wapi?
Hawa familia ya Mengi wamemstahi tu huyu binti ila ilibidi wamfungulie kesi ya kuhusika na kifo cha mzee. Kuna vitu aliongea kuhusu watoto kushauri kuwa trip ya Zenj haitoshi wanataka kwenda Dubai ambako ndiko kifo kilipomkutia Mengi. Ile tu ni tosha kuonyesha kuwa kuna mashaka kuwa kuna vitu vilipangwa. Na mbaya akasingizia watoto (wadogo sana) ndio walioshauri (yeye kajitoa kimtindo kuadaa watu)
Pia mazingira ya kifo yana utata sana, sijui kwa nini familia haijamshitaki kwenye hili. Kuna mazingira ya kifo cha mzee hayako sawa na mwendelezo wake ni huu wa kufoji vitu ili apate mali. Inaonekana amepanga haya mambo ila waliomshauri ni akili ndogo.
Ndugu wamfungulie kesi ya mauaji akose mwana na maji ya moto
Ina maana unataka kusema kwamba K lynin account yake haina hata B1?
Kuna uwezekano yule Mzee alikua anasengenywa na kunyimwa tendo.... mzee hakuwa na lakufanya sababu yuko dhaifu.
Sidhani hata alikua akimtia yule dada
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa anataka nini tena jamani kaahh!!hajielewi huyu demuAna package ya vacation mara mbili kwa mwaka IPp inalipa yeye na watoto
alishazoea kwenda na Mashoti hii package haina mashosti wala house girls wawili ambao uwa anasafiri nao ndio maana sasa hivi hasafiri kasusa hatoweza kula lile bata la Mzee Mengi
We ulijueje hiliAlikua anakuja kuachwa baada ya ile Safari ya Dubai kwa kifupi hawakua sawa na Mzee Mengi yeye kyln alikua na ugomvi wa chini chini
kwa Sababu alikua na will fake Ukichanga na ugomvi kummaliza mzee ni easy , familia imshataki huyu mwanamke amemuua Yule Mzee ili iwe ifundisho kwa wadangaji wote