Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Hii ni kweli kabisa...Jacky ni mzuri sana sana live!

Mara ya kwanza nilimuona 2007 alikuja shuleni kwetu kutoa toa vizawadi na ushauri wa mimba blah blah demu mkali kinyoko wote tuliappreciate[emoji119][emoji119][emoji119]

Mara ya pili tukakumbana Kempinski Zanzibar kiwengwa kaja na huyu Mengi asee siku hiyo tulikula bata na hawa watu mpaka basi ( Mzee Mengi ana roho nzuri sana na ana maneno matamu kama asali[emoji39][emoji39] na gharama zote alilipa yeye)

Sasa basi toka kafiwa tunakutana viwanja daily siku za weekend, still now bado ni mzuri sana ila ulabuu sasa wewee[emoji482][emoji482][emoji482]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hahaaahaa!!!wewe uyooo!!
 
Apeleke mahakamani hizo nyaraka sa huko Twitter ndio watatoa hukumu?

Aache dhulma hakuna cha bure duniani yeye atulie apewe buku yake kama alivyotaka kuwapa watoto wa marehemu.
Ndo manaake
 
Atoe wapi ? Anauza magari na furniture ndio anapata hela ya kuwapa wanasheria , hela zote Alizokua anapewa aliishia kupanda ndege na mashosti na kununua pochi za milioni 50 per pair za kutosha na viatu na jewelleries
[emoji848][emoji848]
 
Ukisoma ile hukumu yenye page 72 utapata majibu yote,Upande wa walalamikaji ulikuwa na mashahidi watatu (watoto wa Mzee Mengi na Baba yao mdogo),upande wa Jack walikuwa pia mashahidi watatu (walioshuhudia Mzee akisign ile LAST WILL).

Bado Mahakama ikaenda mbali zaidi ikawaita mashahidi zaidi ambao walikuwa Jack mwenyewe na Doctor wa Mzee Mengi. Sasa sielewi huu upuuzi anaokuja nao mitandaoni unatoka wapi wakati Mahakama ilimwita kutoa ushahidi na mpaka Doctor pia alitoa ushahidi.

Ukisoma ile hukumu ndiyo utaelewa Judge Mlyambina hakukurupuka kutoa ile hukumu,iko well detailed na kwa ushahdi uliopelekwa mbele ya Mahakama sioni akishinda popote hata akate rufaa Mbinguni.
Dada akubali yaishe tuu maana akikomaa sana watu watajua kumbe alikuwa na nia ovu na mzee asepe ili avune mali.
Dah haya mambo kwa sie malofa hamna kabisa ila wenye nazo wekeni mambo sawa kabisa kabla ya kwenda mbele za haki.
 
Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.
Hata hii document inaweza kuwa imefojiwa...Kama wameweza yote hayo hii pia wanaweza kucheza nayo...haswa hapo chini ilipowekwa 'addendum'...huo ni mchezo..hakuna report ya hospital yenye addendum..hii si document ya kisheria...report za hospital.haziandikwi hivi...na hata hizo prescription..wamecheza..hazina muda maalum wa utumiaji wa dawa zilizoandikwa..hata Kama ni za Maisha...unaandika....
 
Back
Top Bottom