Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

atoe wapi ? Anauza magari na furniture ndio anapata hela ya kuwapa wanasheria , hela zote Alizokua anapewa aliishia kupanda ndege na mashosti na kununua pochi za milioni 50 per pair za kutosha na viatu na jewelleries
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kwa kweli.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
mzee alikua anagonga nje sana angalau Maua sama kaambulia Rav 4 Mpya na hela Ya kujenga hakalu na biashara kutoka kwa Mzee Mengi baada ya kutumiwa na Yule Mzee kidogo

maua sama anaenda same car na watoto wa Mengi , walichukuliwa wote Toyota pamoja km sufuri
Kwan maua sama alishapita na mzee machache? Nilipitwa wapi na huu ubuyu jaman khaaaah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
mzee alikua anagonga nje sana angalau Maua sama kaambulia Rav 4 Mpya na hela Ya kujenga hakalu na biashara kutoka kwa Mzee Mengi baada ya kutumiwa na Yule Mzee kidogo

maua sama anaenda same car na watoto wa Mengi , walichukuliwa wote Toyota pamoja km sufuri
Huu ubuyu muhimu ulinipitajeeee
 
Hamna daktari anaweza kuandika ripoti ya namna hii.

Hii ni either amefoji au ndiyo imeandikwa baada ya hukumu au wakati kesi ipo mahakamani.
 
mzee alikua anagonga nje sana angalau Maua sama kaambulia Rav 4 Mpya na hela Ya kujenga hakalu na biashara kutoka kwa Mzee Mengi baada ya kutumiwa na Yule Mzee kidogo

maua sama anaenda same car na watoto wa Mengi , walichukuliwa wote Toyota pamoja km sufuri
Duuh na Hali Ile bado alikuwa anakula totoz? Au ilikuwa kabla ya stroke ya 2016?
 
Hayo ni mafamba tu,

Wampige criminal atulie.
 
Mke mkubwa alishapewa chake tokea akiondoka nyumbani,na hilili liliongelewa na evidence iliwekwa wazi,hata watoto alilazimisha wapewe chao,na ndiyo sababu ya wengine kufunguliwa maredio nk.
Mwanamke wa kichaga aachike aache mali tokea wapi?

Hizo radio unazoziongelea zimefunguliwa zamani sana hata Mutie hajafa kyln yupo kigoma anauza Mawese huko kigoma kwao hajulikani hata kama angekuja kuvuluga familia ya watu yenye upendo

sio kwamba radio zilifunguliwa ili watoto wakubwa wapewe chao , kwanza umezaliwa mwaka gani ? Husikute nabishana na mtoto wa 2000
 
Kuna mtu kamuambia jacky sintokubali uvuruge mali za mengi akajiona umeona sasa hajakosea
 
Hahahahah mie nilikuwa namuheshimu huyu maraya keri ila kwa vituko anavyovionesha tofauti yake na faiza ni kuacha matako wazi tu
Huyu changu muulize Kinje ana historia yake,demu alitambaa na Muitaliano baada tu ya kuvishwa Pete ya uchumba,kavishwa Pete jmosi,

jpili katoroka ndo mara Mozambique mara South akiwa na malaya mwenzie Wema au model mmoja simkumbuki vizuri
Muitaliano kala mbususu Mpaka chooni, kufika Huko nae akamtoroka live.
Huku Kinje analia hana hamu, huyo KLyny karudi baada ya miaka mi3,hapo kadanga sana ndio akaanza kuimba imba
 
Ni expert katika udangaji basi😅😅😅
 
Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.

Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili. Pia Jackline ameweka rekodi za afya za mume wake katika jitihada za kuthibitishia walimwengu kwamba mume wake alikuwa timamu wakati anaandika wosia.

Jana Mahakama iliwateua watoto wakubwa wa Reginald Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi na kutengua wosia unaodaiwa uliandikwa na Reginald Mengi kwa kukosa sifa za kisheria.

Pia, Soma=> Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

View attachment 1791810
Please please my daughter, stop washing your dirty linens on the agora. At the end of all this, you are the loser since you are the mother of the twins who still needs privacy and protection. Money comes and goes but humanity will always stare at you. Sit down with all parties to this conflict and iron out your differences if it is not for your sake, well let it be for the sake of those toddlers of yours.
 
Back
Top Bottom