Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

10 mils kwa furniture, huyo mteja anakula na kulala hapo hapo dukani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jacky hayuko sawa ki akili wallah.
Bei zake zilikua juu sana tena sana ndo maana imekufa....yani alikua anadeal na Matajiri tuu sio wa keko fenicha tupaa kuleee!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kutoka kuwa Slay Queen with Class to Slay Queen with Child Support. Jamani tusomeshe watoto wa kike,ili wasije tia aibu mbele ya Safari kwa vioja kama vya huyu Mrundi/Muha.
Yaan ni fedheha na aibu. Lazima tuwape mabinti zetu Elimu hasa jinsi ya kujitegemea. Tuwaaminishe kwamba they can do it pia
 
Yeaaaaah afu Rita na jacky si walikua marafiki hawa, na walifuatan ktk kumtumia na kumdangia mzee, yey hakumuona mwenzie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rita alikua hajatulia alikua anapenda viben10 hataariii.....mzee akammwaga!!!naskia mpk mzee wa yooo...yooo!!katembea nae
 
Na bora iwe hivyo,huyu Dada Mjane Jambazi kazingua sana,sote tunawatetea Watoto wa Mzee Mengi si kwamba tuna maslahi binafsi,bali tunaangalia uhuni slay queen alitaka kuufanya,Thank God Mahakama pia imethibitisha kile tulikipinga tangu mwanzo.
Aende dubai kwa cash ipi sasa[emoji23][emoji23] child support yenyewe anadunduliza tu
 
Rita alikua hajatulia alikua anapenda viben10 hataariii.....mzee akammwaga!!!naskia mpk mzee wa yooo...yooo!!katembea nae
Wee usinambie dea? Hadi mpinzani wa Sadala? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Bei zake zilikua juu sana tena sana ndo maana imekufa....yani alikua anadeal na Matajiri tuu sio wa keko fenicha tupaa kuleee!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa matajiri wenyewe Bongo hii, mweeeh
 
Jack ana matatizo sana. Mambo ya mali yanazidi kuonesha ni binadamu wa namna gani! Hata watoto wake mwenyewe wakiwa wakubwa hawatokuja kumuelewa mama yao.
 
If you ain't no punk holla, "We want prenup"
"We want prenup!", yeaah
It's something that you need to have
'Cause when she leave yo' ass she gone leave with half...Kanye West GOLD DIGGER
 
Barua imeandikwa 2016 mgonjwa kawa reviewed 2017 kama sio maajabu nini au uelewa wangu mdogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…