Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Uyu Dada awe mpole tu alishafanya mistake mwanzo kabla mzee àjafa now akubali matokeo.
 
Hahaaahaa!!!wewe uyooo!!
 
Safiiiiiii[emoji106][emoji106][emoji106]
Na liwe fundisho
 
Apeleke mahakamani hizo nyaraka sa huko Twitter ndio watatoa hukumu?

Aache dhulma hakuna cha bure duniani yeye atulie apewe buku yake kama alivyotaka kuwapa watoto wa marehemu.
Ndo manaake
 
Atoe wapi ? Anauza magari na furniture ndio anapata hela ya kuwapa wanasheria , hela zote Alizokua anapewa aliishia kupanda ndege na mashosti na kununua pochi za milioni 50 per pair za kutosha na viatu na jewelleries
[emoji848][emoji848]
 
Dada akubali yaishe tuu maana akikomaa sana watu watajua kumbe alikuwa na nia ovu na mzee asepe ili avune mali.
Dah haya mambo kwa sie malofa hamna kabisa ila wenye nazo wekeni mambo sawa kabisa kabla ya kwenda mbele za haki.
 
Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.
Hata hii document inaweza kuwa imefojiwa...Kama wameweza yote hayo hii pia wanaweza kucheza nayo...haswa hapo chini ilipowekwa 'addendum'...huo ni mchezo..hakuna report ya hospital yenye addendum..hii si document ya kisheria...report za hospital.haziandikwi hivi...na hata hizo prescription..wamecheza..hazina muda maalum wa utumiaji wa dawa zilizoandikwa..hata Kama ni za Maisha...unaandika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…