Zidani
JF-Expert Member
- Apr 5, 2021
- 970
- 3,941
Binti mpuuzi Sana huyu nilidhani Akili zimo kumbe kichwani zero tu. Inasikitisha sana.K lyin kashindwa kula na kipofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binti mpuuzi Sana huyu nilidhani Akili zimo kumbe kichwani zero tu. Inasikitisha sana.K lyin kashindwa kula na kipofu
Is this authentic !!!??? Seems as if the original report has been compromised here.Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.
Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili. Pia Jackline ameweka rekodi za afya za mume wake katika jitihada za kuthibitishia walimwengu kwamba mume wake alikuwa timamu wakati anaandika wosia.
Jana Mahakama iliwateua watoto wakubwa wa Reginald Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi na kutengua wosia unaodaiwa uliandikwa na Reginald Mengi kwa kukosa sifa za kisheria.
Pia, Soma=> Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondoView attachment 1791810
She's extreemely stupid, naive and imbecile.Binti mpuuzi Sana huyu nilidhani Akili zimo kumbe kichwani zero tu. Inasikitisha sana.
Mm nafikiri Dr wake hapa Tanzania ndie alipaswa kuprove, na kasema mzee akua sawa. Kesi ishaishaBaada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.
Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili. Pia Jackline ameweka rekodi za afya za mume wake katika jitihada za kuthibitishia walimwengu kwamba mume wake alikuwa timamu wakati anaandika wosia.
Jana Mahakama iliwateua watoto wakubwa wa Reginald Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi na kutengua wosia unaodaiwa uliandikwa na Reginald Mengi kwa kukosa sifa za kisheria.
Pia, Soma=> Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua
View attachment 1791810
Kagundua KIUNO siyo mtaji, inaumaah😂Kwahiyo anataka apate mabilioni yote pekee kwasababu ya K?
Hujui maana ya addendum? Hiyo report imeongelea mgonjwa alipofikishwa kwa matibabu 2016 na kisha 2019Duuuhh, ngoma bado mbichi hii.
K Lyn alikosea kutojimilijisha vya kueleweka kabla ya Mengi kuondoka
Barua imeandikwa mwaka 2016, halafu inaelezea mambo ya mwaka 2017 na 2019. K Lyn hili limekaaje?
Why tarehe ya kuandikwa iwe 2016 , ndani ya barua kabla hata ya addendum kuna reference za 2017 whyHujui maana ya addendum? Hiyo report imeongelea mgonjwa alipofikishwa kwa matibabu 2016 na kisha 2019
Sina namna inabidi niungane nawe kuhoji..nimefikiria maelezo tokea kila engo ila nimekwama.Why tarehe ya kuandikwa iwe 2016 , ndani ya barua kabla hata ya addendum kuna reference za 2017 why
Date chini ya Address pembeni ya to whom it may concern, naomba kueleweshwa kidogo, tarehe iliyoandikwa mwaka 2016, sasa report ilirudishwa kwa madaktari ili iandikwe na ADDENDUM??Hujui maana ya addendum? Hiyo report imeongelea mgonjwa alipofikishwa kwa matibabu 2016 na kisha 2019
Watoto kuteuliwa kuwa wasimamizi wa mirathi ina maana wanakosa haki ya mgaoBaada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.
Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili. Pia Jackline ameweka rekodi za afya za mume wake katika jitihada za kuthibitishia walimwengu kwamba mume wake alikuwa timamu wakati anaandika wosia.
Jana Mahakama iliwateua watoto wakubwa wa Reginald Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi na kutengua wosia unaodaiwa uliandikwa na Reginald Mengi kwa kukosa sifa za kisheria.
Pia, Soma=> Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua
View attachment 1791810
Mambo ya delila nduguJackline hii kesi hawezi kushinda hata aende court of appeal. R.Mengi hakuwa makini kwenye kuandaa na kuhifadhi wosia wake.
Kama haya ni kweli (hata ukiacha hilo la akili tamamu):
1. Kujumuisha mali alizochuma pamoja na mtaliki wake katika wosia.
2. Kutohusisha ndugu katika wosia (ndugu hata mmoja tu anatakiwa ajue kuwa umeandika wosia). Hata sasa hivi ukitaka kuandika wosia kupitia RITA, ndugu ni sharti mojawapo.
3. Kuwanyima urithi baadhi ya watoto wake bila kutoa sababu za msingi na zinazokubalika kisheria.
4. Saini yake kwenye wosia kutofautiana na nyaraka nyingine.
5. Wosia wenyewe kuhifadhiwa na mojawapo ya wenye haki ya kurithi.
Hayo matano, kama hapo hivyo kweli, hakuna namna anaweza kushinda hiyo kesi. Atulie tu, ili apate mgao wake pamoja na wenzake. Akiwavuruga atakosa vyote!
Wosia unatakiwa kuhifadhiwa na nini ili usiwe batili kisheria?Jackline hii kesi hawezi kushinda hata aende court of appeal. R.Mengi hakuwa makini kwenye kuandaa na kuhifadhi wosia wake.