kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Umri wake mdogo akafanye kazi atapata hela aachane na hela zababa ake mume wake.... nyaraka za kitabibu sometimes nizakubumba jambo lipite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaweza kuwa iliombwa mara mbili 2016 naDate chini ya Address pembeni ya to whom it may concern, naomba kueleweshwa kidogo, tarehe iliyoandikwa mwaka 2016, sasa report ilirudishwa kwa madaktari ili iandikwe na ADDENDUM??
Hilo linawezekana??
Everyday is Saturday............................... 😎
Inaweza kuwa ripoti ya kwanza iliombwa/kuchukuliwa 2016 na ya pili 2019 na mtoaji kuamua kutobadili ama andika entirely report mpya bali kupiga hiyo nyongezaDate chini ya Address pembeni ya to whom it may concern, naomba kueleweshwa kidogo, tarehe iliyoandikwa mwaka 2016, sasa report ilirudishwa kwa madaktari ili iandikwe na ADDENDUM??
Hilo linawezekana??
Everyday is Saturday............................... 😎
Usishangae Elimu yake tu, shangaa hata washauri wake. Hiyo Barua imeandikwa 2016 ila inaelezea habari za 2019Shule muhimu sana...hizi form four hizi ni ungese mtupu....ona kichwani huyu demu alivyo empty set...utatoaje private medical report public???[emoji848][emoji848] Is she ok upstairs?[emoji2962][emoji2962]
Bora mtoto wangu asiwe tajiri lakini awe msomi, nimejifunza hapa[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Huu wosia ulivujishwa kabla hajazikwa Mengi maana yake haukuwa kwa wakiliAnaenufaika na wosia hatakiwi kuujua wosia au kuhifadhi wosia. Unaweza kuhifadhi mahakamani, kwa wakili au RITA. Sasa sijui huu ulikuwa umehifadhiwa wapi au na nani.
Huyo dada aache utapeli. Atadhalilika bure.Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.
Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili. Pia Jackline ameweka rekodi za afya za mume wake katika jitihada za kuthibitishia walimwengu kwamba mume wake alikuwa timamu wakati anaandika wosia.
Jana Mahakama iliwateua watoto wakubwa wa Reginald Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi na kutengua wosia unaodaiwa uliandikwa na Reginald Mengi kwa kukosa sifa za kisheria.
Pia, Soma=> Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua
View attachment 1791810
Kabisa kabisa mkuu kisheria huyu mdada kakosea vingi sana.Jackline hii kesi hawezi kushinda hata aende court of appeal. R.Mengi hakuwa makini kwenye kuandaa na kuhifadhi wosia wake.
Kama haya ni kweli (hata ukiacha hilo la kuwa na akili timamu):
1. Kujumuisha mali alizochuma pamoja na mtaliki wake katika wosia.
2. Kutohusisha ndugu katika wosia (ndugu hata mmoja tu anatakiwa ajue kuwa umeandika wosia). Hata sasa hivi ukitaka kuandika wosia kupitia RITA, ndugu ni sharti mojawapo.
3. Kuwanyima urithi baadhi ya watoto wake bila kutoa sababu za msingi na zinazokubalika kisheria.
4. Saini yake kwenye wosia kutofautiana na nyaraka nyingine.
5. Wosia wenyewe kuhifadhiwa na mojawapo ya wenye haki ya kurithi.
Hayo matano, kama yapo hivyo kweli, hakuna namna anaweza kushinda hiyo kesi. Atulie tu, ili apate mgao wake pamoja na wenzake. Akiwavuruga atakosa vyote!
Mjinga sanaPersonal medical records are supposed to be confidential and not for public consumption! Huyu mwanamke hana adabu, amemvunjia heshima marehemu mumewe; sasa Kila mtu anajua kuwa mzee alikuwa na urinary infection!! Itakusaidia nini to wash your dirty linen in public?
Oyaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Houllup...... Houllap....... Did u say something... I mean why do i have to hear u mention me.....?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie simba na yangaHoullup...... Houllap....... Did u say something... I mean why do i have to hear u mention me.....?!
Yaan capacity ya kureason vitu kwa upana hana[emoji22]Kweli kabisa mkuu,bora mtoto wetu apate PHD yake pale havard but asiwe na mshiko wa maana
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Kwaiyo mbususu ya Jack ilikua chafu au
Hivi lile jumba la Moshi kule sio lake tena?Yaan capacity ya kureason vitu kwa upana hana[emoji22]
Anazidi kujichochea moto looh
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app