Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Inaudhi na kukera yaani mtu aloolewa miaka mitano tayari anataka umiliki wa mali zilizotafutwa miaka 40 ilopita, kwakweli Jack kakwama yaani hata kwa akili za kawaida watoto wengine wasiandikwe kwenye wosia kwa sababu ipi, je hiyo sababu imetajwa?

Jack I thought you're very smart but for this case you're not smart but terrorist
 
Huyu ni mwizi kama wezi wengine alitunza hizi documents, alikuwa anajua atakuja kuzitumia mambo yakienda kombo..

Shida anataka umiliki wa kila kitu atulie tu maana pale atakula, atavishwa na ataishi maisha mazuri yeye na watoto wake!

Vita hii kuna watu wanampa back up wakijua kuwa akipata nao wamepata
 
K ali-pray party yake vyema kwa mzee Mengi alichofell kutochukua chake mapema au Kama alichukua Basi apunguze taamaa akubalianee Nakilichoamuliwa na mahakama....


Over
Alijiandaa kuchukua kila kitu hapo ndipo alipokosea
 
Tatizo la fursa za madanga wenye pesa zinawakuta limbukeni na wasiojielewa,
Yaan angekua mwanamke smart, saiv angekua ana pambana na mali zake binafsi aliyochuma wakati mzee akiwa hai. Huku mgao kwa wanae twins ukiwa pembeni unapumulia mirija. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama alivyo Rita Paulsen na Benchmark yake na Bss.
 
Ni muda rasmi sasa wa mimi kuifuatilia hii mbususu maana bei itakuwa ipo chini kimtindo..

Perfume ya Chanel na kipichu cha Victoria Secret naweza kupewa mambo.

Kidding.
 
Huyu K lini ni K kwelikweli, anataka avune na asipopandaa? Mzee Mengi kweli awatoe nje watoto wake wa awali kabla hajumpata hyu muuza K lini?
Acha roho mbaya. Saidianeni kina mama..
 
K ali-pray party yake vyema kwa mzee Mengi alichofell kutochukua chake mapema au Kama alichukua Basi apunguze taamaa akubalianee Nakilichoamuliwa na mahakama....


Over
Alichukua.
 
Hii ni somo kubwa kwa wanandoa wote.Kuna mengi ya kujifunza hapa.Mwanamke mwenye uchungu na watoto wako ni mama yao tu. Ikiwa unaishi na mwanamke mwingine na watoto uliowazaa kabla weka mambo vizuri kwa ajili ya kesho yao. Cheki bi mdogo anavyotumia nguvu nyingi kama vile kutaka kuwasagia kunguni watoto wa mzee.

Duniani sasa hivi Mali zinathamani zaidi kuliko utu. ILA WASIMAMIZI WA MIRATHI HAIMAANISHI BI MDOGO HATOPATA MGAO, ILA NAONA WAMEONA ANA MAPICHA PICHA KATIKA UFUATILIAJI.TENDA HAKI, NA HAKI ITAKULINDA LEO NA KESHO.
 
Back
Top Bottom