Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Cooked
 
Na wewe umeamii hiyo barua kama kweli ni kutoka kwa daktari? May be yes huyo ni doctor kweli may be no huyo bwana sio doctor; angalia tarehe ilioandikwa barua and inazungumzia matukio ya tarehe zipi; sister ame cook again kama alivyo cook ule wosia.
 
Sasa anajiweka wazi kwamba lengo lake ilikuwa ni mali za marehemu,akarithi kwa baba yake.
 
This bitch is trippin
 
Mwanzo mwisho anasakamwa Jacqueline, lakini huyo mme si alimtongoza kama wanawake wengine wanavyotongozwa? Pia hakuna anayejua sababu ya huyo rip wao kwanini aliandika wosia huo, asitukanwe sana huyo mdada wengine ni wivu tu unatusumbua .
 
Aliweka malimbwata akajitongozesha hadi kupata mimba huyo mzee hakutaka.
Nani aonee wivu dhambi kama hiyoo .
Mimi kiufupi sionei wivu namsikitokia nakumuombea ache hiyo tabia yakunyemelea kisicho kuwa cha kwao
 
Mwanzo mwisho anasakamwa Jacqueline, lakini huyo mme si alimtongoza kama wanawake wengine wanavyotongozwa? Pia hakuna anayejua sababu ya huyo rip wao kwanini aliandika wosia huo, asitukanwe sana huyo mdada wengine ni wivu tu unatusumbua .
#396
Hatuwezi kuonea wivu matahira kyln ni tahira na hajui pakuzeekea kaenda kuforce kwa mengi wamachame woi bora angeng'ang'ania kwa mtu wetu sai angetulizwa stress kama Ray C mwanawani akula vipozeo sio viama kama huyu .
Kwa maana kyln saizi amejitoa ufahamu anavuta tu bangi na kujifukiza kutwa mara 90 ili ashinde kesi na hatoshinda ataondoka hata watoto hana .
Akili ni mali ila kwa klyn hana akili anaugali .
Mtu zuzu enzi za hawara wake alikuwa anakula bata that is rubbish hakuwa na akili ya kufanya vitu vya maana .
Ila kunausemi usemao hata uwe na njama kwa maana sio halali unakuwa mbumbumbu tu hadi unang'olewa sehemu usika upo na billionea unafungua mgahawa kama mama ntilie kwanini shishi hakupata huu mchongo .??
Kapata tahira wasanii kuna matahira wengi akiwemo Wema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…