Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Is this authentic !!!??? Seems as if the original report has been compromised here.
 
Hili danga huenda kwa akili hii, ndiyo alimletea huyo marehemu stroke, mtu gani haelewi, hajui kukaa kimya?!
Kwanini hakupeleka hizo doc kwa jaji?

Hivi na ile SAINI ni ya kweli au kufoji!
Zile twiti za 'I love u my Jackline'??
She's so FAKE, my head is spinning!
Mwarabu je??

Nyambafu kabisa! Kwani kuugua akili ni jambo baya?? Mbona wapo wengi?? Tena angeanzisha support groups NGO, angepiga hela kupitia mwanya huo, kuliko kujidhalilisha mitandaoni.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Jack hana washauri, au ni aina ya watu hawapokei ushauri, hana akili, hana adabu au tatizo lake ni nini mwenzetu?

Alikosea kutokutafuta suluhu na upande wa mumewe tangu mumewe akiwa hai, akakosea kwenye wosia, akakosea tena kuutoa wosia mitandaoni.

Aliwezaje kuwaamini watu waliomdanganya kuwa hii kesi atashinda, yeye alishindwa kabisa kuchekecha akili yake na kugundua kuwa kesi itakuwa ngumu sana kwa upande wake? kwanza aliwezaje kutaka wenzake wasipewe kitu. Amefanya makosa mengi na bado anaendeleza makosa.

Napo hapa tutaambiwa tumtetee mwanamke mwenzetu, Wicked world!
 
Mm nafikiri Dr wake hapa Tanzania ndie alipaswa kuprove, na kasema mzee akua sawa. Kesi ishaisha
 
Kwahiyo anataka apate mabilioni yote pekee kwasababu ya K?
Kagundua KIUNO siyo mtaji, inaumaah😂
Mdangaji kadangiwa, player's bn played!

She's angry, bitter kwa marehemu, anagundua sasa, YOTE ya I LOVE U MY JACKLINE, ilikuwa ubatili mtupu na kujilisha upepo.

She's been the idiot all along.
Beauty with no brains.
Angeolewa tu na kina Hashim Lundenga

Everyday is Saturday................................😎
 
Hujui maana ya addendum? Hiyo report imeongelea mgonjwa alipofikishwa kwa matibabu 2016 na kisha 2019
Date chini ya Address pembeni ya to whom it may concern, naomba kueleweshwa kidogo, tarehe iliyoandikwa mwaka 2016, sasa report ilirudishwa kwa madaktari ili iandikwe na ADDENDUM??
Hilo linawezekana??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Watoto kuteuliwa kuwa wasimamizi wa mirathi ina maana wanakosa haki ya mgao
 
Mambo ya delila ndugu
 
Wosia unatakiwa kuhifadhiwa na nini ili usiwe batili kisheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…