Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Aisee hiyo sababu eti watoto hawakuridhika ilikuwa ya kijinga.
 
Ameshachelewa!
 
Pole sana Jack, bora ubaki kimya ufanye yako, kubishana huku kwenye internet/instagram kunaongeza tatizo...usifikiri hawa majobless wa instagram watakuonea huruma, the more unavyotafuta sympath ndio kwaaanzaaaaa wanaongeza speed, kama ni evidence peleka mama mahakamani, do things in a systematic way..follow the protocal lol...again pole
 
Shule itakupatia mahitaji yaliyo kwenye mzunguko wa taaluma yako.....
NIDHAMU inakupa mafanikio.......

Huyu binti amekosa nidhamu ya kila kitu kwenye maisha yake.....
 

Mh. Ndugai mwenyewe ana cheti cha Mirembe na Bunge analiendesha. K-Lyn asishangae Mengi kuzindua kutabuu tunazo case studies hadi kweny mhimili wa dola [emoji23][emoji23]
 
Kwa urembo wa yule dada na sauti yake ukiwa kifuani hata kama una akili timamu unakuwa hauko timamu kwenye kuandika unakuwa na ulevi wa mbususu unatiririka tu baada ya kuambia bby andika kwanza kisha tuendelee. Mahakama wametenda haki
 

Na hizi fursa zitaendelea kuwapata wanawake vilaza. Sababu hakuna mwanaume mwenye mahela ambaye anaweza ku date mwanamke mwenye akili .. sababu lazima atamuona mwanamke huyo mwizi mapema sana.. wanawake vilaza wanapendwa sana na wanaume
 
Ni umri gani unatakiwa kuandika wosia na pia ni maradhi yapi siyo rafiki kuandika wosia wajuzi naomba jibu. Swali la nyongeza mzee Mwinyi kwa umri wake akiandika wosia hivi sasa na umauti ukamfika wosia wake unaweza julikana mahakamani maana alisahau kuwa yupo wapi. Ushauri wa huyu dada wa Kinyarwada aache wizi maana anataka kuiba ndio sie wenye baiskeli tuanze kuanza wosia kbs nana atachukua pampu na kengele.
 
Katika hukumu za kiislamu ssheriaya kiislamu inaruhusu wosia kupuuzwa pia endapo utakeuka taratibu na kuwaminya haki watu wengine wanaostahiki kumrithi marehemu.

marehemu mengi alitakiwa aammilikise vitu baadhi mkewe wakati bado yupo hai.

kwa nini hakummilikisha ?

wosia wa mengi upuuzwe unawanyima hakia warithi wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…