Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Kwanza alipaswa kujua mali za Mke mkubwa ni zipi akaziweka pembeni,kuna Family businesses pia aziweke pembeni,kinachobaki sasa ndiyo angejigaiwa hiyo 50%. Tatizo ni kuwa Mzee Mengi alikuwa smart,Family Businesses ni nyingi zaidi kuliko alichokuwa anamiliki Mzee Mengi binafsi,ukiondoa na Mali za Mke Mkubwa kama Real Estates kinachobakia ni kidogo,but kwa sababu ya elimu ndogo yeye akaorodhesha kila kitu hadi mali za Bi mkubwa kwenye wosia,na hapo ndipo alipopuyanga.

Pia kumbuka hata hilo hekalu la Kinondoni liko chini ya IPP na siyo jina la Mzee Mengi. Umeona wachagga walivyo smart? Mimi naamini Mzee Mengi kama kweli alisign hiyo “LAST WILL” alifanya makusudi kumridhisha Slay queen huku akijua kabisa mbele ya safari ataangukia pua.
Kuna uwezekano mkubwa Mzee alifanya vile kwa makusudi maana alilazimishwa hivyo akaona bora afanye hivyo maana Mahakama itapindua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshauri Jaqline atulie tu,akiendelea kudemka wasimamizi wa mirathi watampa BUKU tu ila akitulia wanaweza wakamfikiria,,,,Ila na yeye wakati anaishi na mengi sidhani kama aliachwa hivi hivi bila kufunguliwa biashara na kupewa mtonyo separate.
Yule keshamaliza hela zote vinginevyo usingemuona Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poor Jacky, na pengine that was the only business she had !
Hahaha maisha ya kushindana na mashost! Angeamua kutanuka kiakili kidogo akaongea na financial advisor mzuri angempa akili hata ya kununua hati fungani tu zikawa zinamuingizia hela akiwa amekaa tu!

Au hata fixed deposits tu wakati anajenga ma apartments ya kupangisha! Kwa Meli kama Mengi asingeshindwa kujenga apartments hata za 10B tu kwenye prime area hela zikawa zinaingia katika account ya kodi ya bi.dada!
 
Na hizi fursa zitaendelea kuwapata wanawake vilaza. Sababu hakuna mwanaume mwenye mahela ambaye anaweza ku date mwanamke mwenye akili .. sababu lazima atamuona mwanamke huyo mwizi mapema sana.. wanawake vilaza wanapendwa sana na wanaume
Maskini wee tobaaaah!! Mwsho wake ndo km huu mgogoro usioishaa na marehemu kudhalilishwa km hivi. Mweeeeeh
 
Kuna uwezekano mkubwa Mzee alifanya vile kwa makusudi maana alilazimishwa hivyo akaona bora afanye hivyo maana Mahakama itapindua

Sent using Jamii Forums mobile app

Wengi wetu hatujamuelewa kabisa Mzee Mengi,but he was smart na ndiyo maana Family Businesses zikawa nyingi kuliko Business zake yeye binafsi. Jack alijiona mjanja sana kumsainisha ile Will na Mzee kept quite akijua tu ana watoto Smart na Wanasheria wa Familia waliobobea. Yule Mama Tenga amebobea katika sheria za Mirathi nadhani kwa Tanzania ni one of the Best ktk eneo hilo. Hakuna angle Jack na Wanasheria wake wangeweza kutoboa.
 
Back
Top Bottom