othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Isijekuea jaji kakatiwa mpunga wa kutosha na hao watoto wa bi mkubwa ili kumla kichwa k Lyn.
Huwezi jua lolote linawezekana chini ya jua.
Huwezi jua lolote linawezekana chini ya jua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh!!!! Sijui itakuaje dada bossladyMbna tangu mda tyuuh, lile sio lake
Booster zimefanya kazi ndugu yangu. Viagra zimetumika. Na ndo zilimmalizia zaidi.Kuna uwezekano yule Mzee alikua anasengenywa na kunyimwa tendo.... mzee hakuwa na lakufanya sababu yuko dhaifu.
Sidhani hata alikua akimtia yule dada
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila sijui watu wengine mna matatizo gani. Mpunga gani na kila kitu kiko wazi? Na adhulumiwe kwa kumiliki kipi?Isijekuea jaji kakatiwa mpunga wa kutosha na hao watoto wa bi mkubwa ili kumla kichwa k Lyn.
Huwezi jua lolote linawezekana chini ya jua.
Yeye kabla ya kuolewa alikua na Mali gani km sio hatimiliki ya Kinyimbo chake tu.Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.
Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili. Pia Jackline ameweka rekodi za afya za mume wake katika jitihada za kuthibitishia walimwengu kwamba mume wake alikuwa timamu wakati anaandika wosia.
Jana Mahakama iliwateua watoto wakubwa wa Reginald Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi na kutengua wosia unaodaiwa uliandikwa na Reginald Mengi kwa kukosa sifa za kisheria.
Pia, Soma=> Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua
View attachment 1791810
Yes
Yule mzee hakuwa na cash,ni assets za kufa mtu na alikuwa akitaka mtonyo ni lazima malaywer wa familia watie signature, na hiyo cash ijulikane inaenda kufanya kazi gani
Mi nashangaa mnamlaumu Jacky kutokuwa na hela, pale aliambulia bata na kukojolewa uzee basi, ndo maana akawa anaforce hiyo fake will iwe valid ale mema ya nchi[emoji41]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Sign of depression. From rug to rich back to rug! Lazima ulewe sana kukimbia kivuli chako mwenyewe..
Si ndo hapo aseeIla sijui watu wengine mna matatizo gani. Mpunga gani na kila kitu kiko wazi? Na adhulumiwe kwa kumiliki kipi?
Asee[emoji848][emoji41]Booster zimefanya kazi ndugu yangu. Viagra zimetumika. Na ndo zilimmalizia zaidi.
Huyo demu alikuwa anamiliki nini kwa machache?...si kila kitu kakikutaIsijekuea jaji kakatiwa mpunga wa kutosha na hao watoto wa bi mkubwa ili kumla kichwa k Lyn.
Huwezi jua lolote linawezekana chini ya jua.
Housegirls wana siri nzito sana ....Kuna watu walipewa umbea wa kilichokuwa kinaendelea mle ndani...ni hatari tupuKuna uwezekano yule Mzee alikua anasengenywa na kunyimwa tendo.... mzee hakuwa na lakufanya sababu yuko dhaifu.
Sidhani hata alikua akimtia yule dada
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikute babu alikua anamtapel Dada wa watu kagonga uku akimuahid Mali kumbe anajua alivyo andika will hata akifa Dada hapati kituJackline hii kesi hawezi kushinda hata aende court of appeal. R.Mengi hakuwa makini kwenye kuandaa na kuhifadhi wosia wake.
Kama haya ni kweli (hata ukiacha hilo la kuwa/kutokuwa na akili timamu):
1. Kujumuisha mali alizochuma pamoja na mtaliki wake katika wosia.
2. Kutohusisha ndugu katika wosia (ndugu hata mmoja tu anatakiwa ajue kuwa umeandika wosia). Hata sasa hivi ukitaka kuandika wosia kupitia RITA, ndugu ni sharti mojawapo.
3. Kuwanyima urithi baadhi ya watoto wake bila kutoa sababu za msingi na zinazokubalika kisheria.
4. Saini yake kwenye wosia kutofautiana na nyaraka nyingine.
5. Wosia wenyewe kuhifadhiwa na mojawapo ya wenye haki ya kurithi.
Hayo matano, kama yapo hivyo kweli, hakuna namna anaweza kushinda hiyo kesi. Atulie tu, ili apate mgao wake pamoja na wenzake. Akiwavuruga atakosa vyote!
Isijekuea jaji kakatiwa mpunga wa kutosha na hao watoto wa bi mkubwa ili kumla kichwa k Lyn.
Huwezi jua lolote linawezekana chini ya jua.
Makalio sanaa
Yeye aliachiwa ile ya kinondoni, ataishi tyuuh kwa kupewa buku buku za kula, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh!!!! Sijui itakuaje dada bosslady
Bata la Dubai itakuaje?Yeye aliachiwa ile ya kinondoni, ataishi tyuuh kwa kupewa buku buku za kula, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imeisha hiyoooooh [emoji23][emoji23][emoji23]Bata la Dubai itakuaje?
Anaishi kwa child support. Yaan ni kama ile anasubiria salary monthly. Kama vile msosi wa kengeleImeisha hiyoooooh [emoji23][emoji23][emoji23]