Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.

Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili. Pia Jackline ameweka rekodi za afya za mume wake katika jitihada za kuthibitishia walimwengu kwamba mume wake alikuwa timamu wakati anaandika wosia.

Jana Mahakama iliwateua watoto wakubwa wa Reginald Mengi kuwa wasimamizi wa mirathi na kutengua wosia unaodaiwa uliandikwa na Reginald Mengi kwa kukosa sifa za kisheria.

Pia, Soma=> Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

View attachment 1791810
Yeye kabla ya kuolewa alikua na Mali gani km sio hatimiliki ya Kinyimbo chake tu.
 
Yes

Yule mzee hakuwa na cash,ni assets za kufa mtu na alikuwa akitaka mtonyo ni lazima malaywer wa familia watie signature, na hiyo cash ijulikane inaenda kufanya kazi gani

Mi nashangaa mnamlaumu Jacky kutokuwa na hela, pale aliambulia bata na kukojolewa uzee basi, ndo maana akawa anaforce hiyo fake will iwe valid ale mema ya nchi[emoji41]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Ha ha ha kaambulia mafao ya kukojolewa Uzee. Nimecheka kwa nguvu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna uwezekano yule Mzee alikua anasengenywa na kunyimwa tendo.... mzee hakuwa na lakufanya sababu yuko dhaifu.
Sidhani hata alikua akimtia yule dada

Sent using Jamii Forums mobile app
Housegirls wana siri nzito sana ....Kuna watu walipewa umbea wa kilichokuwa kinaendelea mle ndani...ni hatari tupu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Jackline hii kesi hawezi kushinda hata aende court of appeal. R.Mengi hakuwa makini kwenye kuandaa na kuhifadhi wosia wake.

Kama haya ni kweli (hata ukiacha hilo la kuwa/kutokuwa na akili timamu):
1. Kujumuisha mali alizochuma pamoja na mtaliki wake katika wosia.
2. Kutohusisha ndugu katika wosia (ndugu hata mmoja tu anatakiwa ajue kuwa umeandika wosia). Hata sasa hivi ukitaka kuandika wosia kupitia RITA, ndugu ni sharti mojawapo.
3. Kuwanyima urithi baadhi ya watoto wake bila kutoa sababu za msingi na zinazokubalika kisheria.
4. Saini yake kwenye wosia kutofautiana na nyaraka nyingine.
5. Wosia wenyewe kuhifadhiwa na mojawapo ya wenye haki ya kurithi.

Hayo matano, kama yapo hivyo kweli, hakuna namna anaweza kushinda hiyo kesi. Atulie tu, ili apate mgao wake pamoja na wenzake. Akiwavuruga atakosa vyote!
Usikute babu alikua anamtapel Dada wa watu kagonga uku akimuahid Mali kumbe anajua alivyo andika will hata akifa Dada hapati kitu
 
Isijekuea jaji kakatiwa mpunga wa kutosha na hao watoto wa bi mkubwa ili kumla kichwa k Lyn.

Huwezi jua lolote linawezekana chini ya jua.

Unajua maana ya High Profile Case? Hakuna Judge anaeweza kuharibu reputation yake kwa kesi za namna ile, kwa maamuzi ya hii kesi sitoshangaa Judge Mlyambina akaja kupanda kuwa Judge wa Mahakama ya Rufani.
 
Back
Top Bottom