Haki yake ipi tena, watoto watasomaSilipwi chochote wala sinahaja ya kulipwa, hanijui simjui ila naguswa sana jinsi anavyo taabika kupigania haki yake, mimi ni mtetezi wa Haki ya mtu yeyote yule mwenye haki.
Haki zake na watoto zipo ktk wosia wa Marehemu Mume wake.Haki yake ipi tena, watoto watasoma
Wosio si tatizo, tatizo shahidi alikuwa ni nani wakati ukiandikwa?Haki zake na watoto zipo ktk wosia wa Marehemu Mume wake.
kuna wosia halali wa marehemu ambao ndio unampa uhalali wa haki hizo.
Mjane huyo ana haki.
nitasimama naye mpaka mwisho.
Sawa simama naye, kwani kule mahakamani walipotoa hukumu haukuwepo kusimama naye.Haki zake na watoto zipo ktk wosia wa Marehemu Mume wake.
kuna wosia halali wa marehemu ambao ndio unampa uhalali wa haki hizo.
Mjane huyo ana haki.
nitasimama naye mpaka mwisho.
sikuwepo.Sawa simama naye, kwani kule mahakamani walipotoa hukumu haukuwepo kusimama naye.
Mshiki hukumu ya rufaa imetoka?mana jana kuna mtu kaniambia bosslady kaangukia puaWadangaji kazini.... nasemaje? Kwa mara ingine tutawanyoosha wadangaji mahakamani.
Waambieni baba zao wafanye kazi kwa bidii wawaachie mali zao siyo kuganda mali za baba za wengine... ur pussy is not ur capital...
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sijafatilia. Ngoja niulize ndugu mwenzetu[emoji23]Mshiki hukumu ya rufaa imetoka?mana jana kuna mtu kaniambia bosslady kaangukia pua
Angalia huyu nayee[emoji23][emoji23] yaan umekaa hapa unajitungiaga tu story zako na hisia zako. Kwenye msiba wa ruge ni wewe ulikua unamsindikiza mengi siyo? Kenge maji kweliMimi niseme tu kuwa yule Mzee Mengi alikuwa na sababu ni kwanini aliamua kumrithisha Jack na sio watoto wake wakubwa.
Maisha ktk familia zetu yana siri nyingi sana. Huenda watoto wake wakubwa HAWAKUMPA AMANI KABISA. Na huenda FARAJA NA FURAHA yake ilibaki kwa Jack na haijalishi penzi la Jack lilikuwa halisi au fake.
Cha msingi ktk miaka ya uzee wake ndiye pekee alionyesha kumpa tabasamu, na kwa kuzingatia tayari anafaida ya kupata watoto na jack.
WANAUME WENZANGU HUMU TUSISHANGAE NI KWANINI MZEE Reginald aliamua Kumrithisha Jack na mapacha wake. Sometime unawasoma vijana wako unagundua hayakutambui na yanasubiri uondoke yaendee kivyao.
I gues Mr Mengi wrote with sound mind
Miss Pablo shida nini kwanii! Ni mawazo huru. Hadi unanitukana kweliAngalia huyu nayee[emoji23][emoji23] yaan umekaa hapa unajitungiaga tu story zako na hisia zako. Kwenye msiba wa ruge ni wewe ulikua unamsindikiza mengi siyo? Kes nge maji kweli
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Angalia huyu nayee[emoji23][emoji23] yaan umekaa hapa unajitungiaga tu story zako na hisia zako. Kwenye msiba wa ruge ni wewe ulikua unamsindikiza mengi siyo? Kenge maji kweli
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mimi niseme tu kuwa yule Mzee Mengi alikuwa na sababu ni kwanini aliamua kumrithisha Jack na sio watoto wake wakubwa.
Maisha ktk familia zetu yana siri nyingi sana. Huenda watoto wake wakubwa HAWAKUMPA AMANI KABISA. Na huenda FARAJA NA FURAHA yake ilibaki kwa Jack na haijalishi penzi la Jack lilikuwa halisi au fake.
Cha msingi ktk miaka ya uzee wake ndiye pekee alionyesha kumpa tabasamu, na kwa kuzingatia tayari anafaida ya kupata watoto na jack.
WANAUME WENZANGU HUMU TUSISHANGAE NI KWANINI MZEE Reginald aliamua Kumrithisha Jack na mapacha wake. Sometime unawasoma vijana wako unagundua hayakutambui na yanasubiri uondoke yaendee kivyao.
I gues Mr Mengi wrote with sound mind
Nikuongezee?Miss Pablo shida nini kwanii! Ni mawazo huru. Hadi unanitukana kweli
Sina hakika juu ya hili kwakua sijafatilia hakika.Mleta habari ameleta habari ya siku nyingi kyln alishindwa siku nyingi na mjini kakimbia anadangia majuuu siku hizi Simuoni hata kwenye harusi za watu wa mjini
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan anachekesha. Na huko dubai sijui atapata danga la maana maana mishipa ya kipanda uso imeshaanza kuchomozaMbona alianza kumsindikiza Mzee Mengi msibani baada ya mama mercy kufa na Mauchawi Ya Klyn? Halafu kama alimsindikiza msibani ndio apewe urithi wote kuna watu mnachekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina uhakika kwa 200%Sina hakika juu ya hili kwakua sijafatilia hakika.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan anachekesha. Na huko dubai sijui atapata danga la maana maana mishipa ya kipanda uso imeshaanza kuchomoza
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app