Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Haki yake ipi tena, watoto watasomaSilipwi chochote wala sinahaja ya kulipwa, hanijui simjui ila naguswa sana jinsi anavyo taabika kupigania haki yake, mimi ni mtetezi wa Haki ya mtu yeyote yule mwenye haki.