Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Haki zake na watoto zipo ktk wosia wa Marehemu Mume wake.
kuna wosia halali wa marehemu ambao ndio unampa uhalali wa haki hizo.
Mjane huyo ana haki.
nitasimama naye mpaka mwisho.
Wosio si tatizo, tatizo shahidi alikuwa ni nani wakati ukiandikwa?

Mpaka mahakama wameamua kuisikiliza hiyo kesi jua kuna walakini kwenye huo wosia, so awe mvumilivu.
 
Wadangaji kazini.... nasemaje? Kwa mara ingine tutawanyoosha wadangaji mahakamani.

Waambieni baba zao wafanye kazi kwa bidii wawaachie mali zao siyo kuganda mali za baba za wengine... ur pussy is not ur capital...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mshiki hukumu ya rufaa imetoka?mana jana kuna mtu kaniambia bosslady kaangukia pua
 
Mimi niseme tu kuwa yule Mzee Mengi alikuwa na sababu ni kwanini aliamua kumrithisha Jack na sio watoto wake wakubwa.

Maisha ktk familia zetu yana siri nyingi sana. Huenda watoto wake wakubwa HAWAKUMPA AMANI KABISA. Na huenda FARAJA NA FURAHA yake ilibaki kwa Jack na haijalishi penzi la Jack lilikuwa halisi au fake.

Cha msingi ktk miaka ya uzee wake ndiye pekee alionyesha kumpa tabasamu, na kwa kuzingatia tayari anafaida ya kupata watoto na jack.

WANAUME WENZANGU HUMU TUSISHANGAE NI KWANINI MZEE Reginald aliamua Kumrithisha Jack na mapacha wake. Sometime unawasoma vijana wako unagundua hayakutambui na yanasubiri uondoke yaendee kivyao.

I gues Mr Mengi wrote with sound mind
 
Angalia huyu nayee[emoji23][emoji23] yaan umekaa hapa unajitungiaga tu story zako na hisia zako. Kwenye msiba wa ruge ni wewe ulikua unamsindikiza mengi siyo? Kenge maji kweli

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kama hakuwa mjanja kuchota Mali na kuzificha anakojua wakati Mmewe yuko hai naona kama ameshachelewa!
Mahakama zenyewe ambazo zingetenda haki ziko wapi?
 
Angalia huyu nayee[emoji23][emoji23] yaan umekaa hapa unajitungiaga tu story zako na hisia zako. Kwenye msiba wa ruge ni wewe ulikua unamsindikiza mengi siyo? Kenge maji kweli

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app

Mbona alianza kumsindikiza Mzee Mengi msibani baada ya mama mercy kufa na Mauchawi Ya Klyn? Halafu kama alimsindikiza msibani ndio apewe urithi wote kuna watu mnachekesha🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi niseme tu kuwa yule Mzee Mengi alikuwa na sababu ni kwanini aliamua kumrithisha Jack na sio watoto wake wakubwa.

Maisha ktk familia zetu yana siri nyingi sana. Huenda watoto wake wakubwa HAWAKUMPA AMANI KABISA. Na huenda FARAJA NA FURAHA yake ilibaki kwa Jack na haijalishi penzi la Jack lilikuwa halisi au fake.

Cha msingi ktk miaka ya uzee wake ndiye pekee alionyesha kumpa tabasamu, na kwa kuzingatia tayari anafaida ya kupata watoto na jack.

WANAUME WENZANGU HUMU TUSISHANGAE NI KWANINI MZEE Reginald aliamua Kumrithisha Jack na mapacha wake. Sometime unawasoma vijana wako unagundua hayakutambui na yanasubiri uondoke yaendee kivyao.

I gues Mr Mengi wrote with sound mind

Hacha kutunga tunga story Mzee Mengi alikua hachukui hela IPP bila watoto wakubwa kusign , sasa kama angekua Hana uhusiano nao mzuri kwa nini Aliwapa nguvu kubwa Mzee alikua ana akili yake , hachana na hiyo will ya kutengeneza huyo kyln alikua hapewi na hawezi kuomba hela ya matumizi kutoka IPP na mumewe akiwa hai walikua wanagawana PESA anayopewa mume wake kutoka bonite

Sijui kwa nini kyln hakusoma mchezo akaanza kujipanga Mzee akiwa hai
 
Mbona alianza kumsindikiza Mzee Mengi msibani baada ya mama mercy kufa na Mauchawi Ya Klyn? Halafu kama alimsindikiza msibani ndio apewe urithi wote kuna watu mnachekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan anachekesha. Na huko dubai sijui atapata danga la maana maana mishipa ya kipanda uso imeshaanza kuchomoza

Back
Top Bottom