Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Miss Pablo nina shaka na wewe kwa jinsi unavyohemka na Matusi kwa mtu asiyekutukana. Itakuwa wewe ni kati ya wanafamilia ya Reginald.

Hebu Muheshimuni huyo Dada ni Mama yenu pia. Hivyo tu yaani!
Mzee alikua ana Jenga kiwanda ambacho walemavu ndio wangekua wafanyakazi hapo!!..Sasa watoto wake ndio jukumu lao kutimiza Ndoto ya Mzee!!...Huyu Dada amekuja kuharibu na kuchelewasha mambo mengi sana!!
 
Aisee kama ndio hivi basi inafikirisha kweli. Na kama yeye Jack na mwanasheria wake walighushi hakika atakuwa kiumbe cha ajabu sana. So far nitaendelea kutokuhukumu upande wowote maana sina uhakika ni yupi yupo sahihi
 
Business partner wangu alitaka kuuziwa moja kati ya vitalu vya dhahabu mwaka jana Geita na kiongozi wa serikali kutoka sukuma gang tulivyofatilia tukagundua ni Mali za late Dr Mengi tukaachana navyo huyu mwanamke anatumiwa na hao baadhi ya sukuma gang ili waendeleze issue zao za kitapeli

Kuna watu wanajua Mali zikiwa mikononi mwa huyu mbulula wata Nunua kwa bei Ya kutupwa na wao watanufaika
 
Nimeandika kujibu comments zinazomuita mdanganyaji.
 
Mngeongea tu nje ya mahakama mgawane sawa kuliko kuparurana mahakamani, ningekuwa mimi ndio judge ningehakikisha pande zote mbili hampati lolote. Very selfish people!!
 
Hivi Sukuma gang ndio wakina nani?
 
Miss Pablo nina shaka na wewe kwa jinsi unavyohemka na Matusi kwa mtu asiyekutukana. Itakuwa wewe ni kati ya wanafamilia ya Reginald.

Hebu Muheshimuni huyo Dada ni Mama yenu pia. Hivyo tu yaani!
Kama jaki ni dada yako mwambie akazane kudanga huko dubai mpaka mbususu iwe nyekundu nduuu... huku wamachame tumejipanga barabara. Halaf kuwa na adabu. Uliona wapi malaya akaheshimika. Jiangalie wewe

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Huyu kapagawa huyu. Hawa ni wale watu hawajapata exposure vyena ya dunia ya kujua walimwengu na mambo yao mabaya. Huwa wanaamini watu wote ni wema. Hawaijui michezo michafu thats why unaona anaongea hv. Muda utampa nafasi zaidi ya kuwajua walimwengu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mzee alikua ana Jenga kiwanda ambacho walemavu ndio wangekua wafanyakazi hapo!!..Sasa watoto wake ndio jukumu lao kutimiza Ndoto ya Mzee!!...Huyu Dada amekuja kuharibu na kuchelewasha mambo mengi sana!!
Anajulia wapi haya. Lile genge la wajane limetawanyika vibaya mno. Ila bashote alikua anawapenda wajane jamani[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Aisee kama ndio hivi basi inafikirisha kweli. Na kama yeye Jack na mwanasheria wake walighushi hakika atakuwa kiumbe cha ajabu sana. So far nitaendelea kutokuhukumu upande wowote maana sina uhakika ni yupi yupo sahihi
Mkuu. Dubia unavyoiona sivyo ilivyo. Huyo jaki muone tu kwenye insta na akiongea kwa unyenyekevu. Acha kbs.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hili ndo lengo lake toka awali. Alitaka auze kila kitu akimbie. Muha akawauze wasomi vile kirahisi? Asubutuu. Na migodi ameolewa ameikuta. She is very dumb

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…