If that was the case then, why mzee Mengi alimpa ukurugenzu binti yake Regina wa East African Television? Kwanini yule kijana wake alimpa kua director of finance wa makampuni yake? Again, ni kwanini wosia ulisajiriwa kwa mwana sheria baada ya KIFO chake? Halafu na wewe unaamini kabisa mzee Mengi aandike wosia halafu mwana sheria wake atokee kabila moja na Jack? Mkuu unless na wewe uwe mfaidika wa hicho anacho kidai Jack nje ya hapo akili ya kawaida INAKATAA labda tu tuwe sio watu tunao fikiria vizuri