King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hivi hadi Nancy summary naye huenda kwa waganga?Ndio mganga wake ndio mganga wangu uwa tunapishana vilingeni na kyln ,dada yake na Nancy Sumari
Hivi hadi Nancy summary naye huenda kwa waganga?
Jack aridhike na mali alizopewa na familia ya mengi inatosha ,watoto mapacha ni ndugu wa kina regina hawawzei kuwatupa damu yao......Wanawake wajifunze ,wakipata madanga yenye mpunga wajitahidi kuunda mali zake upya na si kudandia miradi ya danga ya zamani...mtu ameanza kufight miaka ya 94 wewe from nowhere 2020 unataka kumiliki viwanda na media house?
Jk anaboa sana. Me mwenyewe nilikia naenda vitani hivyoo[emoji23][emoji23]Hatari sana hata kipindi kile mange alivotaka kumwaga Siri Kikwete aliingilia kati, kwanini askae chini wamalize haya mambo. Hao sukuma gang watamtapeli hivo vitu akiachiwa mwenyewe aisee
Za kwake klyn zimeishia kwenye tea party anataka amalize na zilizobaki
Biashara zote alizofunguliwa na Mzee Mengi zimekufa nyingine kauza hela kaendeshea case Nyingine Kaonga wanaume na wanawake zake hellen kiwia na Nancy sumari anao s.sagana nao
Utakuwa umeoa au umeolewa kwenye familia kama ya Mengi basi huna hata haya .Huyu Mjane atendewe Haki.
Nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!
Huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!
Anafanyiwa figisu na faulo kibao ili tu asipate haki zake.
lkn naamini vyovyote vile itakavyo kuwa lazima Haki zake zitapatikana
Siku hizi jack hapost insta cjui hela zimeisha, hana cha kupost hahaa.. miss pablo Mimi. Unique Flower carihaJk anaboa sana. Me mwenyewe nilikia naenda vitani hivyoo[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hahaha nashangaaga pia imekuaje. Anasikilizia upepoSiku hizi jack hapost insta cjui hela zimeisha, hana cha kupost hahaa.. miss pablo Mimi. Unique Flower cariha
Haaahaaahaaaa!!Kama jaki ni dada yako mwambie akazane kudanga huko dubai mpaka mbususu iwe nyekundu nduuu... huku wamachame tumejipanga barabara. Halaf kuwa na adabu. Uliona wapi malaya akaheshimika. Jiangalie wewe
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Siku hizi jack hapost insta cjui hela zimeisha, hana cha kupost hahaa.. miss pablo Mimi. Unique Flower cariha
Alikuwa anafundisha interior designing huko insta heheheeSiku hizi jack hapost insta cjui hela zimeisha, hana cha kupost hahaa.. miss pablo Mimi. Unique Flower cariha
Sio ndugu marehemu alikua Ana watoto wake kabla ya kukutana na uyu bintionly in Africa ndugu wa mume kugombea mali za marehemu na kumdhulumu mke wa marehemu haijalishi kachuma au laah ana haki kisheria na anawatoto wanao mtegemea haki yake apewe mnataka aende kudanga? ili magazeti ya mchafue marehemu? kwani hao ndugu si watafute mali zao?
wote sisi ni wazazi na wasio na watoto pia mtakua nao utajisikiaje binti yako anafanyiwa hayo na ndugu wa mume. not fair jacqueline apate haki zake anazo stahiki kama mke wa mtu aliye heshimika barani Africa
We akili zako haziko sawa jaribu kuvaa uhusika wewe ndo uwe mtoto au mwanafamilia wa mzee mengi jinsi mlivyopambana kuweka Mambo sawa from the bottom alafu aje mtu wakati jua linazama achukue Mali jitahidi tu....just be kindHaki zake na watoto zipo ktk wosia wa Marehemu Mume wake.
kuna wosia halali wa marehemu ambao ndio unampa uhalali wa haki hizo.
Mjane huyo ana haki.
nitasimama naye mpaka mwisho.
Aisee hata watoto wako wawe wapumbavu vipi wanabaki kua watoto wako so u need to take care of them huwezi kuwaacha sometimes kwenye upumbavu wao unaweza ukawa chanzo maybe ulikua busy Sana kutafuta pesa hukuwalea ipasavyo kwaio kwa namna moja yule mzee yupo responsible so hakutakiwa kuandika wosia akawatenga .Mimi niseme tu kuwa yule Mzee Mengi alikuwa na sababu ni kwanini aliamua kumrithisha Jack na sio watoto wake wakubwa.
Maisha ktk familia zetu yana siri nyingi sana. Huenda watoto wake wakubwa HAWAKUMPA AMANI KABISA. Na huenda FARAJA NA FURAHA yake ilibaki kwa Jack na haijalishi penzi la Jack lilikuwa halisi au fake.
Cha msingi ktk miaka ya uzee wake ndiye pekee alionyesha kumpa tabasamu, na kwa kuzingatia tayari anafaida ya kupata watoto na jack.
WANAUME WENZANGU HUMU TUSISHANGAE NI KWANINI MZEE Reginald aliamua Kumrithisha Jack na mapacha wake. Sometime unawasoma vijana wako unagundua hayakutambui na yanasubiri uondoke yaendee kivyao.
I gues Mr Mengi wrote with sound mind
Babu sheria ni msumeno.We akili zako haziko sawa jaribu kuvaa uhusika wewe ndo uwe mtoto au mwanafamilia wa mzee mengi jinsi mlivyopambana kuweka Mambo sawa from the bottom alafu aje mtu wakati jua linazama achukue Mali jitahidi tu....just be kind
Jacky amekua ni kama mwiba kwa familia ya mengi, ivi Abdiel na Regina wanashindwa hata kuajiri professional hitman kutoka Marekani, ammalize Jacky kwa mazingira itakayoonekana amekufa kifo cha kawaida, maana at the end, Nahis kwa tamaa alizonazo jack anaeza hata kudhuru watoto wakubwa wa Mengi FRESHMAN
K Lyn amefungua kesi ya kudai child support, anasema Abdiel na Mengi mdogo hawawatunzi watoto mbali na jitihada zake za kuwataka wafanye hivyo muda mrefu ...Hata Mimi najiuliza hili swali, na anavyopenda kujiuza kwa wazungu wangempata asubuhi kweupe kwa kupitia pandakizi amewachafua, amewatukanisha kwenye mitandao wametulia wanamchekea mnyarwanda
Tatizo wale wakina Abdiel wastaarab na wazungu sana angekuta familia zetu hizi sasa ameshasaulika long time
Kama sheria msumeno kachukue mali ya mtu aliyotolea jasho lake uone cha moto! Watu hadi huwa wanaokota makopo kwa sababu kama hizi unazotoa!Babu sheria ni msumeno.
kazi ya msumeno unaijua.