Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Na yeye mbona alikuwa hajafikiria watoto wa mumewe? Inamaana Mali zote atafute mengi na mkewe mkubwa afu bi mdogo ndo aje achukue Mali na familia yake, eti hata wasimamizi wawe ndugu wa klyn, kwahiyo marehemu yeye hakuwa na mtu hata mmoja wa upande wake?
 
kwa hiyo ndio maana wamebatilisha Wosia wa marehemu?!
hiyo sio haki, maana wosia aliutoa marehemu na yeye alikuwa anajua fika kwa nini aliamua kufanya hivyo, kwa sababu tayari walishapata share yao.
Mahakama lazima iangalie huyu mjane anavyo nyanyasika kisa eti hakuchuma mali na marehemu.
kila siku tunalalamika kuwa wajane wanyanyaswa na ndugu wa marehemu, sasa hebu tazameni Jackline Mengi anavyo taabishwa na kuyumbishwa.
huu ni unyanyasaji
Mahakama imtendee Haki huyu mjane.
 
Kuna watu wanataka kuingiza siasa kila sehemu eti mjane anadhulumiwa hivyo asaidiwe, mambo mengine yanaamuliwa kisheria lakini pia kama alivyo mjane na watoto wana haki ya kurithi mali ya baba yao yaani hao watoto wa marehemu hata kama wangekuwa wanamiliki share ya 90% kwenye kampuni ya familia bado hiyo 10% ya baba yao akifa lazima wapate urithi vinginevyo mtoa wosia atoe sababu za kisheria kwanini hataki watoto wake wamrithi sheria imeainisha ni makosa gani watoto wa marehemu wakimkosea mzazi wao anaweza akasema kuwa ndio sababu cha watoto wake kutomrithi.
 
Ktk Mjane Jac naye mjane, kachangia nini kwenye utajiri wa Mengi?

Anataka haki basi atulie kwani mahakama itampa haki kama ana stahili.
 
ukiua kwa upanga? haya ni matokeo ya maisha aliyoishi na hao watoto wa marehemu pindi marehemu akiwa hai,

Yani apande ndulele avune mpunga? pia nafikiri kama ulifuatilia kesi vizuri, kuna viashiria dhahiri kabisa ambavyo vilionesha mjane aliandika wosia mwenyewe, sema watoto wa marehemu waliplay fair......

Pia watoto wa marehemu, wakiamua kumfungulia mashtaka ya kutoa taarifa za mgonjwa, bila ridhaa ya ukoo, pili kufoji wosia sidhani kama atatoka salama

sasa ajiandae mapema, akishindwa hii kesi itakuwa the worst kwake.
 
Huyo mjane hakutafuta chochote kile katika maisha ya marehemu na usifananishe mke aliyetoka from zero to 100 na mumewe kisha akafariki na ndugu wakachukua mali.
Kuna wajane kweli wametapeliwa, kutengwa, kunyanyaswa na kunyanganywa mali na si mke wala watoto wanapata kitu HAO NDO WA KUPIGIA KELELE MITANDAONI WAPATE HAKI ZAO STAHIKI HUYO WAKO ACHA AKAPAMBANE NA MAHAKAMA.
 
Ulikuwa halali, ndio ukataliwe na mahakama kuu mkuu? Kwanza sheria gani inaruhusu mnufaika wa wosia kuhifadhi wosia?
 
Ila Mengi naweza sema hakufikiria vyema kabisa. Kama kweli alidhamiria kumuachia Jacky na wanae wadogo mali angewamilikisha kisheria kabla hajafa.

Huwezi kuniambia na akili zake zote za biashara alishindwa ku-foresee hizi drama. Amemtakia matatizo tu huyu binti.
 

Jack anamiliki appartment makongo juu. Kuna mtu namjua anaishi kwenye hizo nyumba za jack. Nahisi alijengewa ki siri siri. Maana mpaka leo kodi anapokea jack
 
Bora mzee Mengi vile alivyofanya kuliko angethubutu kumuandikisha kabisa watu kama wale ni hatari angeweza hata kumkimbia au hata kumdedisha mapema.
 
waache kabisa kumtisha Mjane wa Marehemu.
kila mpenda Haki yuko pamoja na mjane
 
Yeye si nasikia kajipa uenyekiti wa chama cha wajane?? Pili kwenye hiyo familia yeye alikuja na mali gani labda??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…