ukiua kwa upanga? haya ni matokeo ya maisha aliyoishi na hao watoto wa marehemu pindi marehemu akiwa hai,
Yani apande ndulele avune mpunga? pia nafikiri kama ulifuatilia kesi vizuri, kuna viashiria dhahiri kabisa ambavyo vilionesha mjane aliandika wosia mwenyewe, sema watoto wa marehemu waliplay fair......
Pia watoto wa marehemu, wakiamua kumfungulia mashtaka ya kutoa taarifa za mgonjwa, bila ridhaa ya ukoo, pili kufoji wosia sidhani kama atatoka salama
sasa ajiandae mapema, akishindwa hii kesi itakuwa the worst kwake.