Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Ukiona hivyo hakutaka.... Kwanini hakutaka mimi na wewe hatujui. Ila naamini kabisa kuna vipo alivyopewa ambavyo havihusu hii familia nyingine.
 
Ukiona hivyo hakutaka.... Kwanini hakutaka mimi na wewe hatujui. Ila naamini kabisa kuna vipo alivyopewa ambavyo havihusu hii familia nyingine.

Vipo. Jack ana appartments nzuri sana makongo juu ghorofa safi kabisa.. na mpaka leo kodi anapokea jack.. nazani zingekuwa za familia nzima wangeshampora usimamizi wa hizo appartments jack
 
Why Marejeo(Review) ? si anaomba rufani?(appeal) au marejeo siyo review
 
Vipo. Jack ana appartments nzuri sana makongo juu ghorofa safi kabisa.. na mpaka leo kodi anapokea jack.. nazani zingekuwa za familia nzima wangeshampora usimamizi wa hizo appartments jack
Jacky amekua ni kama mwiba kwa familia ya mengi, ivi Abdiel na Regina wanashindwa hata kuajiri professional hitman kutoka Marekani, ammalize Jacky kwa mazingira itakayoonekana amekufa kifo cha kawaida, maana at the end, Nahis kwa tamaa alizonazo jack anaeza hata kudhuru watoto wakubwa wa Mengi FRESHMAN
 
Wosia ambao mdangaji ndie mrithi wa mali aliyoikuta imetengenezwa,akarithi kwa baba yake
 
Share yao wakati anawapa mlikuwepo? Haiingii akilini atoe urithi woooote kwa bi mdogo aache watoto wake wa ujanani bila sababu yoyote ntuyabaliwe angeacha tamaa akakaa vizuri na watoto wa marehemu mumewe
 
Tunatoana roho Yarabii kwa mali alizoacha baba!
 
Wewe unahalalisha wosia kama nani?
 
Haki zipi ambazo hajapewa? Hali? Watoto wake lini wamelala na njaa? Je, hawasomeshwi? Akumbuke tu kuwa life haliwezi kuwa sawa na kipindi Mzee Mopao akiwa hai!

Wakati ule alikuwa untouchable kwa kivuli cha Mangi mkuu😅 kama hakujiongeza alifikiri maisha ni kubadili mapochi na designer clothes Dubai na kwengineko duniani basi apambane na hali yake!

Amedanga kipumbavu wacha aisome namba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…