Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Mahakama kuu ilikuwa sahihi; nashauri K Lyn ashirikiane na familia ili mirathi igawiwe kwa mujibu wa sheria; atanufaika pasi na shaka. Hakuna haja ya kuendeleza mgogoro
 
Afadhali angeenda peke yake, sasa alimpeleka mzee wa watu Dubai a baby sit watoto yeye akiwa na Mwarabu wake.
 
Hiyo haki si ameshapewa,anataka ipp anaijua ameikuta ipo hapo hakuwahi hata kuchangia 100,arithi kwa baba yake huko
 
Kunywa ciroc gin,bili nalipa mimi yani umempiga na kitu kizito kichwani
 
Kamlazimisha aandike wosia wakati Mzee Mengi anaumwa,kana tamaa Sana haka
 
Lakini pia unafahamu kwamba kuna mjane mwingine pia aliyekuwa Mke halali wa Mengi kabla ya huyu Jacqueline?

Kati ya Jacqueline na Mke wa Kwanza ni nani aliyeshiriki kikamilifu kusaidia kuchuma mali za marehemu?????
 
Mke halali aliyekuwa anatambulika kisheria hadi marehemu anaaga dunia alikuwa ni Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi tu, ambaye alipewa wosia na Marehemu Mume wake.
 
Mke halali aliyekuwa anatambulika kisheria hadi marehemu anaaga dunia alikuwa ni Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi tu, ambaye alipewa wosia na Marehemu Mume wake.
Kama alipewa wosia mbona Mahakama ilitupilia mbali wosia huo?

Je, Mke wa kwanza alipewa talaka na marehemu kipindi akiwa hai?

Kama hakupewa talaka kwanini sheria ya ndoa isimtambue kama Mke halali???
 
Kama alipewa wosia mbona Mahakama ilitupilia mbali wosia huo?

Je, Mke wa kwanza alipewa talaka na marehemu kipindi akiwa hai?

Kama hakupewa talaka kwanini sheria ya ndoa isimtambue kama Mke halali???
Na wosia tangu lini ukakaa na mrithi?

Huyo wakili shuma aliyesaini mwenyewe nilimwuliza vipi mbona signature yako iko hapo. Alajibu aliitwa akahojiwa siku nzima. Anakuambia yeye hakuuandaa. Yeye aliitwa tu kusaini. Huoni kuna shida hapo?

Jacky move on. Nenda kwa mzungu wako... mzee wa watu umempiga mabooster mpk basi. Katafute akina caliso wakukule kama ni genye. Mxieew.
 
Kama alipewa wosia mbona Mahakama ilitupilia mbali wosia huo?

Je, Mke wa kwanza alipewa talaka na marehemu kipindi akiwa hai?

Kama hakupewa talaka kwanini sheria ya ndoa isimtambue kama Mke halali???
Klyn aliulizwa ushahidi wa talaka akasema hana. Mahakama ikamwambia hatuendagi kwa hearsay. Aliulizwa kama hata amewahi iona.

Imelala yoooh..

Regina maeew, mkape ya mdwe[emoji28][emoji28]
 
Klyn aliulizwa ushahidi wa talaka akasema hana. Mahakama ikamwambia hatuendagi kwa hearsay. Aliulizwa kama hata amewahi iona.

Imelala yoooh..

Regina maeew, mkape ya mdwe[emoji28][emoji28]
Huyu binti ana tamaa ya pesa na aliishi na marehemu sababu ya pesa zake na siyo mapenzi ya dhati.
 
Ametendewa haki anataka apewe Mali zaidi ya haki yake halafu wenye haki Yao ambao ni watoto wa marehemu wanyimwe Mali walizozitumikia miaka yao yote kutoka kwa wazazi wao.
 
Mjane mdhulumaji, wosia kaufoji...
 
Mshakama kuu ilibatilisha wosia means alipresent a forged will right? Kazi anayo..
 
Hana hela za kwenda tea party [emoji1787]

Hana hela za ku mingle hotel za five star

Or she is waiting for perfect time kuja kiwakomesha once she wins
Yani simwoni Instagram kabisa, kwa ule usia hachomoki Bora ange reconcile bana, wapalestina ukijifanya jeuri watakuomyeshea jeuri zaidi. Klyin somehow ni stupid sijui shule ndogo ndio shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…