Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Mahakama kuu ilikuwa sahihi; nashauri K Lyn ashirikiane na familia ili mirathi igawiwe kwa mujibu wa sheria; atanufaika pasi na shaka. Hakuna haja ya kuendeleza mgogoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali angeenda peke yake, sasa alimpeleka mzee wa watu Dubai a baby sit watoto yeye akiwa na Mwarabu wake.Jaman nyege zinatesa nyie hasa ukishakua 40s pengine dada watu alikua anashindwa kunyanduliwa hapa kutokana na umaarufu wake ikabid atafute safar ili iwe rahis..mie namsifu yule dada ooh! Kwanza hata hiyo nahis alifanyakaz sana kuitegesha..maana hadi mshidodo uje usimame hlf apate hizo nguvu za kuzungusha kiuno mchezo??
Hiyo haki si ameshapewa,anataka ipp anaijua ameikuta ipo hapo hakuwahi hata kuchangia 100,arithi kwa baba yake hukoMarehemu hakuwa mjinga.
alikuwa na akili timamu alipo kuwa anaandika wosia wake.
hakuna ubishi kuwa Marehemu na mjane waliishi maisha ya furaha na upendo hadi umauti unamkuta .
hivyo wosia huo ulithibitisha upendo wa Marehemu kwa Familia yake na Mjane.
ni kosa kubwa sana kuubatilisha na kuudhihaki Wosia wa Marehemu Mengi haswa tukizingatia kuwa Marehemu alikuwa ni mtu aliye heshimika ktk jamii ndani na nje ya nchi.
Si karithi kwenu au nawe mjanesilipwi chochote wala sinahaja ya kulipwa, hanijui simjui ila naguswa sana jinsi anavyo taabika kupigania haki yake, mimi ni mtetezi wa Haki ya mtu yeyote yule mwenye haki.
Kunywa ciroc gin,bili nalipa mimi yani umempiga na kitu kizito kichwanihahaha yani huyu Zandrano ndio mwenyewe kaja kujitetea hapa, ukitaka kujua ni Jacky just go and watch interview ya jacky na millard Ayo then uje usome hizo reply za zandrano and thank me later[emoji16], maneno like mume wangu , marehemu mume wangu, mume wangu, mjane, watoto wake etc yamejirudia in the same way but acts as a third part person is talking[emoji23].
Jacky zandrano relax, ni kweli ulikua mke pia and you have children, lazima utapata haki yako tu ya kile unachostahili, too bad that you will never get everything you wanted , wacha kujichoresha cas you sound like golddigger now, the picture you arw showing us is telling us a lot of stories like watu mwishoe tuanze kuhisi you did something to him like maybe u killed him ili upate what you wanted na imeturn tofauti so unechanganyikiwa, cas you push too hard watu waamini wosia ambao haumake any sense, why do you want everything? ulimpenda Mengi au ulipenda mali zake? because for me now naona ulipenda mali zake and you wanted all of them badly, at least omba hata 50% basi umake sense.
Wosia umekaa kimaandazi sana, yani ukiusoma badala ukupe relaxation unakupa maswali yasiyo na majibu, wosia kwa maoni yangu ulikua wa kughushi, cas hata mahakama ilijiridhisha signature haikua ya Mengi, taarifa ya kuugua na kufariki kwake ni comfusion tupu, how tjings handles ni taflani, how you realesed wosia ni vichekesho, how you push it ni mshangao, ukiunganisha dots unapata majibu kuwa Jacky killed the man, jacky is gold digger, jacky kuna watu wanamdanganya , jacky etc
Just chill ili watu wasikuwazie vibaya please, you can do better than this, ridhika with what you are about to get, patana na familia ili uzidi kupata opportunities, do your things , do business whatever or hata hama hamia Kenya ili concentrate , bobgo bakisha som few things like people says you have appartments well and good cas utakua unaingiza pesa bado, hama kajijenge ili uepuke aibu ndogondogo na kubwa.
Thats all Jacky zandrano [emoji4]
Kamlazimisha aandike wosia wakati Mzee Mengi anaumwa,kana tamaa Sana hakahuyu mjane anahaki zaidi kulingana na wosia aliopewa na Marehemu Mume wake.
Wosia wa Marwhemu Mume wake ulibatilishwa kimakosa, lazima wosia wa marehemu ufuatwe kama ulivyo bila kubatilisha chochote.
Wosia wa Marehemu ulikuwa halali na aliutoa akiwa na akili timamu na alimaanisha alicho kiandika.
Mjane na watoto wake wanayo haki ya kurithi kulingana na wosia wa Marehemu.
Lakini pia unafahamu kwamba kuna mjane mwingine pia aliyekuwa Mke halali wa Mengi kabla ya huyu Jacqueline?Huyu Mjane atendewe Haki.
Nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!
Huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!
Anafanyiwa figisu na faulo kibao ili tu asipate haki zake.
lkn naamini vyovyote vile itakavyo kuwa lazima Haki zake zitapatikana
Mke halali aliyekuwa anatambulika kisheria hadi marehemu anaaga dunia alikuwa ni Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi tu, ambaye alipewa wosia na Marehemu Mume wake.Lakini pia unafahamu kwamba kuna mjane mwingine pia aliyekuwa Mke halali wa Mengi kabla ya huyu Jacqueline?
Kati ya Jacqueline na Mke wa Kwanza ni nani aliyeshiriki kikamilifu kusaidia kuchuma mali za marehemu?????
Basi atulizane apokee anachostahiliSasa angefanyaje na njaa ilimzid? Unafikiri kuna mwanamke anapenda shida? Tumeumbiwa pesa sisi siyo njaa..utakapozikuta unatulizana
Kama alipewa wosia mbona Mahakama ilitupilia mbali wosia huo?Mke halali aliyekuwa anatambulika kisheria hadi marehemu anaaga dunia alikuwa ni Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi tu, ambaye alipewa wosia na Marehemu Mume wake.
Na wosia tangu lini ukakaa na mrithi?Kama alipewa wosia mbona Mahakama ilitupilia mbali wosia huo?
Je, Mke wa kwanza alipewa talaka na marehemu kipindi akiwa hai?
Kama hakupewa talaka kwanini sheria ya ndoa isimtambue kama Mke halali???
Klyn aliulizwa ushahidi wa talaka akasema hana. Mahakama ikamwambia hatuendagi kwa hearsay. Aliulizwa kama hata amewahi iona.Kama alipewa wosia mbona Mahakama ilitupilia mbali wosia huo?
Je, Mke wa kwanza alipewa talaka na marehemu kipindi akiwa hai?
Kama hakupewa talaka kwanini sheria ya ndoa isimtambue kama Mke halali???
Huyu binti ana tamaa ya pesa na aliishi na marehemu sababu ya pesa zake na siyo mapenzi ya dhati.Klyn aliulizwa ushahidi wa talaka akasema hana. Mahakama ikamwambia hatuendagi kwa hearsay. Aliulizwa kama hata amewahi iona.
Imelala yoooh..
Regina maeew, mkape ya mdwe[emoji28][emoji28]
Ametendewa haki anataka apewe Mali zaidi ya haki yake halafu wenye haki Yao ambao ni watoto wa marehemu wanyimwe Mali walizozitumikia miaka yao yote kutoka kwa wazazi wao.Huyu Mjane atendewe Haki.
Nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!
Huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!
Anafanyiwa figisu na faulo kibao ili tu asipate haki zake.
lkn naamini vyovyote vile itakavyo kuwa lazima Haki zake zitapatikana
Mjane mdhulumaji, wosia kaufoji...kwa hiyo ndio maana wamebatilisha Wosia wa marehemu?!
hiyo sio haki, maana wosia aliutoa marehemu na yeye alikuwa anajua fika kwa nini aliamua kufanya hivyo, kwa sababu tayari walishapata share yao.
Mahakama lazima iangalie huyu mjane anavyo nyanyasika kisa eti hakuchuma mali na marehemu.
kila siku tunalalamika kuwa wajane wanyanyaswa na ndugu wa marehemu, sasa hebu tazameni Jackline Mengi anavyo taabishwa na kuyumbishwa.
huu ni unyanyasaji
Mahakama imtendee Haki huyu mjane.
Mshakama kuu ilibatilisha wosia means alipresent a forged will right? Kazi anayo..Salaam Wakuu,
Ile kesi iliyofunguliwa na Mjane wa Marehemu Ragnard Mengi, Jackline Mengi dhidi ya Mtoto wa Mengi na wenzake watano inataraji kuanza kusikilizwa katika mahakama ya rufaa mwishoni mwa mwezi huu.
Kesi hiyo ambayo ni marejeo namba 332/1/2021 iko mbele ya jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Jacob Mwambegele.
Katika kesi ya marejeo Jackline Mengi anapinga maamuzi ya Mahakama Kuu yaliyobatilisha wosia wa Regnard Mengi. Pia, Jackline anapinga uteuzi wa Benjamini Mengi na mwenzie kama wasimamizi wa mirathi ya marehemu Regnard Mengi.
PIA, SOMA: Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua
View attachment 1933053
Halafu wenzake wamemkaushia kesi zingine ila anayatafuta. Asije kuwapush wakaenda zifungua. Walimstahi sana ila bado. Sasa aendeleeHuyu binti ana tamaa ya pesa na aliishi na marehemu sababu ya pesa zake na siyo mapenzi ya dhati.
Yani simwoni Instagram kabisa, kwa ule usia hachomoki Bora ange reconcile bana, wapalestina ukijifanya jeuri watakuomyeshea jeuri zaidi. Klyin somehow ni stupid sijui shule ndogo ndio shidaHana hela za kwenda tea party [emoji1787]
Hana hela za ku mingle hotel za five star
Or she is waiting for perfect time kuja kiwakomesha once she wins