Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi (K-Lynn) aomba marejeo ya kesi yake ya mirathi dhidi ya Watoto wa Mengi

Yupo huko na Yule mzungu koko wake, kafulia Hana hela kama marehemu Mzee Mengi mzungu mchovu wanalishwa na IPP bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yule mzungu bwana. Anawatafuta tu familia ya marehem. Yaan nyumba ya marehem unaingiza hawara yako. Mimi ningempasua. Nachowapendea akina regina wanafukuza mwizi kimya kimya. Ni yeye tu anapiga mayowe huku nje

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mimi niseme tu kuwa yule Mzee Mengi alikuwa na sababu ni kwanini aliamua kumrithisha Jack na sio watoto wake wakubwa.

Maisha ktk familia zetu yana siri nyingi sana. Huenda watoto wake wakubwa HAWAKUMPA AMANI KABISA. Na huenda FARAJA NA FURAHA yake ilibaki kwa Jack na haijalishi penzi la Jack lilikuwa halisi au fake.

Cha msingi ktk miaka ya uzee wake ndiye pekee alionyesha kumpa tabasamu, na kwa kuzingatia tayari anafaida ya kupata watoto na jack.

WANAUME WENZANGU HUMU TUSISHANGAE NI KWANINI MZEE Reginald aliamua Kumrithisha Jack na mapacha wake. Sometime unawasoma vijana wako unagundua hayakutambui na yanasubiri uondoke yaendee kivyao.

I gues Mr Mengi wrote with sound mind
Umesahau sahihi sio ya Mzee Mengi
 
Huyu Mjane atendewe Haki.

Nashangaa kwa nini taasisi za kutetea haki za wanawake haswa wajane wamekaa kimya?!

Huyu mjane ananyanyaswa na ndugu wa marehemu mchana kweupe!!

Anafanyiwa figisu na faulo kibao ili tu asipate haki zake.

lkn naamini vyovyote vile itakavyo kuwa lazima Haki zake zitapatikana
Wewe ni jack. Hakika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Marehemu hakuwa mjinga.
alikuwa na akili timamu alipo kuwa anaandika wosia wake.
hakuna ubishi kuwa Marehemu na mjane waliishi maisha ya furaha na upendo hadi umauti unamkuta .
hivyo wosia huo ulithibitisha upendo wa Marehemu kwa Familia yake na Mjane.
ni kosa kubwa sana kuubatilisha na kuudhihaki Wosia wa Marehemu Mengi haswa tukizingatia kuwa Marehemu alikuwa ni mtu aliye heshimika ktk jamii ndani na nje ya nchi.
Dada yako kafoji sahihi
 
Mali harithi hawara mengi alikua na mke ambae hakumtaliki ndio mwenye mali sio huyo kibaka
Mimi niseme tu kuwa yule Mzee Mengi alikuwa na sababu ni kwanini aliamua kumrithisha Jack na sio watoto wake wakubwa.

Maisha ktk familia zetu yana siri nyingi sana. Huenda watoto wake wakubwa HAWAKUMPA AMANI KABISA. Na huenda FARAJA NA FURAHA yake ilibaki kwa Jack na haijalishi penzi la Jack lilikuwa halisi au fake.

Cha msingi ktk miaka ya uzee wake ndiye pekee alionyesha kumpa tabasamu, na kwa kuzingatia tayari anafaida ya kupata watoto na jack.

WANAUME WENZANGU HUMU TUSISHANGAE NI KWANINI MZEE Reginald aliamua Kumrithisha Jack na mapacha wake. Sometime unawasoma vijana wako unagundua hayakutambui na yanasubiri uondoke yaendee kivyao.

I gues Mr Mengi wrote with sound mind
 
Walishagawana na kumalizana na Mke wake baada ya mgogoro wa miaka mingi. Fuatilia.
Wakagawa wakamalizana[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hivyo walivyogawana ni vipi landa utuambie ambao huyo kahaba ana uhalali navyo... makahaba tutaendelea kuwnayoosha tu. Wamiliki wa mali wataendelea kuwa wanawake watafutaji. Makahaba wakiona mali kw ambali nyege zinawapanda mkijua ni za madanga yenu kumbe wenzenu walishaumaliza mwendo. Mnakuja shituka kumbe mumeliwa manyoya.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Wakagawa wakamalizana[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hivyo walivyogawana ni vipi landa utuambie ambao huyo kahaba ana uhalali navyo... makahaba tutaendelea kuwnayoosha tu. Wamiliki wa mali wataendelea kuwa wanawake watafutaji. Makahaba wakiona mali kw ambali nyege zinawapanda mkijua ni za madanga yenu kumbe wenzenu walishaumaliza mwendo. Mnakuja shituka kumbe mumeliwa manyoya.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Yani kuna mtu ana Furahia kuona Mtu ambae amefoji usia na sahihi juu kupewa Mali ambazo hata hajui zilikotoka!!
 
Wakagawa wakamalizana[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo hivyo walivyogawana ni vipi landa utuambie ambao huyo kahaba ana uhalali navyo... makahaba tutaendelea kuwnayoosha tu. Wamiliki wa mali wataendelea kuwa wanawake watafutaji. Makahaba wakiona mali kw ambali nyege zinawapanda mkijua ni za madanga yenu kumbe wenzenu walishaumaliza mwendo. Mnakuja shituka kumbe mumeliwa manyoya.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Anyway. Ninachoamini kulazimisha kumiliki Mali isiyo haki yako hasa URITHI huwa inaambatana na anguko na mikosi. Hasa iwapo ilitolewa USIA.

Pia ninavyojuwa Kule kwetu uchagani linapokuja suala la Mali na Mali hizo zionekane zitakwenda nje ya jamii husika nakuambia hata Mlima Kilimanjaro utaitwa ni ziwa ili mradi Mali ibaki.
Naendelea tu kusoma comment za kina Manka na Bwashee
 
Back
Top Bottom