Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Ameacha bomu akutumia busara kabisa
 
Hii iwe funzo kwa wanaume kushobokea watusi ...Kuna ndugu yangu alidanganywa na Ngozi , tako na uzuri wa sura kwa watoto wa kitusi ... Hii leo alichofanywa Cha mengi ni kidogo...


Nimeishi Sana na watusi , ogopa Sana Hawa watu .. Huyo K-lyin Ni mfano pekee na anatoa picha ya Jamii Yao ilivyo. Wengi mtasema mbona Kuna makabila hata bongo wako hivyo baadhi ya watu ... Nawaomba muulize watu ambao wamekaa na watusi hatushangai mengi kupigwa "spana" na kutolewa urithi wa kjinga.


Tena kuna mengine mengi yatafumuka ....

Wanaume wakati tukiongozwa na kichwa Cha chini tuwe tunakipa muda kchwa Cha Juu kufikiria kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"I love you crazy" by Mzee Mengi [emoji1787][emoji1787]
Huyu alikosea sana na legacy ya familia mahiri inaweza kupotea kirahisi. Endelea kupumzika kwa amani.
Pitieni kitabu cha Mzee Mengi kwa ambao hamjakisoma.
Ukute alitegewa papuchi na kusubiriwa akimwaga ndio unaambiwa haya sema "I love you crazy "


Basi mzee wetu bila hiyana "I love You Crazy Jacky"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna haja ya dictation hapa
 
Lkn Hawa watoto wakubwa wa mzee nao wanakosea? Kwanini hawazai asee?[emoji849][emoji849][emoji848] ...

Mdingi ndo maana akazaa na mjukuu wake, mitoto inaendeleza anasa mpaka inasahau familia yaaan..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn Hawa watoto wakubwa wa mzee nao wanakosea? Kwanini hawazai asee?[emoji849][emoji849][emoji848] ...

Mdingi ndo maana akazaa na mjukuu wake, mitoto inaendeleza anasa mpaka inasahau familia yaaan..

Sent using Jamii Forums mobile app


Kuzaa hakuusiani na Urithi...kuzaa ni majaaliwa ya Allah wa kiume atazaa tu hata akifika Miaka 109 mwenyezi Mungu akimjaalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…