tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Wewe ndio hujui nini unaongea,ipp mrudi hana share ameikuta inaendeshwa na baba,mama watoto,ipp sio mabibo beer au infotechMkuu unatumia nguvu nyingi sana muda utaongea tuombe uhai... familia ya Mengi hawana grounds za kushinda hii case na hakuna sehemu wamesema wosia umeghushiwa bali wanapinga wao kupewa walicho pewa!
Mengi alishagawa mali kabla hajafa hakuna wa kubadilisha na hakuna atakaye mkomoa mwenzie kwenye hili na hatoshinda case!
Kazi wanayo kubwa sana na hii case itachukua miaka na miaka kuisha kampuni zote zitakuwa na hali mbaya sana! Wanayo kazi sana
Kuna jamaa kasema eti hadi kaburi la mzee anataka kurithi.🤣Alafu unataka kumiliki Mali zote sio rahisi familia yake kukuelewa
Inapoelekea mbele huko mahakamani picha za miss kama alikuwa si mwaminifu kwa hayati zitatolewa mahakamni kama ushahidi ili akose sifa za kurithiWadau wannadai hata pete imesahaulika kwenye kidole na anaonekana na njemba wake kama kawaida. In short anatia aibu wanawake
Swali la msingi, kwanini wanamzuia kufika katika kaburi la Mumewe na Baba wa watoto wake?
Kwani itv Mali yake ? Yeye Ana hisa tuu.Hapo aachane na kabuli yeye adili na mali zake za uku Dar,Na yeye awakomoe siku wakija Itv awaambie walinzi wasiingie ndani hao ndugu
Swali la msingi, kwanini wanamzuia kufika katika kaburi la Mumewe na Baba wa watoto wake?
Sababu ni ipi? Amekosa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na hisa nawe si sehemu ya uendeshaji wa kampuni
Muda ni ukuta mrudi anapoteza mechi mapema sana,tulieni muone mwisho wake wa utapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mpuuzi sana! Sio wewe tu unaemchukia,asilimia kubwa wamemchukia sana na wanasympathy na watoto wa Mengi,hili peke yake la kuchukiwa na Jamii litamgharimu sana yeye na mbaya zaidi atapelekea chuki kubwa na kwa watoto wake! Waliomdanganya kwa sasa wako pembeni kimya,ni yeye anakabiliana na pressure za Familia na kwenye mitamdao pia! Btw ni nani alimdanganya akatweet ile msg,kama anapitia zile comments nadhani anajuta kwanini alitweet!
Angekuwa ni wa kushinda asingetapatapa mitandaoni kubwabwaja! Mambo yatakuwa yanamwendea halijojo ndio maana unamuona anabwatuka huku! Uwe na uhakika wa kushinda kesi uanze kulalamika huku hupati ruhusa ya kutembelea kaburi?
Mtu kapewa mali kihalali wewe unasema kachukua kwa nguvu!
Mkuu kama una huo ushahidi peleke upande wa mashtaka harakaUlioandikwa na matapeli na kusainishwa mzee Mengi akiwa mgonjwa na kachanganyikiwa?
Huyu ashauriwe vizuri. Sisi wachaga tuna sheria zetu mbali kabisa na za serikali. Unaweza Shunda MAHAKAMA zote hata ya dunia but enforcements ikawa impossible. Narudia impossible hata ukisema unauza mali utashindwa. Kwa mvamizi wa ndoa concubine wakati mke halali akiwa bado hai huwa hapati haki zote kama anavyojiliza Liza. Anapata only derivative rights. Ulidharau wana familia including Kaka yake Mengi ukadhani ataishi milele. Poor lady utapoteza muda maisha move on. U got more than ya life had given.
Wengi wanao wachukia watu wanakuwa hawana sababu na wakiwa na sababu basi huwa si za msingi au ni za uongo kabisa na hawajui ukweli hivyo si shangai!
Mnaweza kumshinda huyu binti nje ya mahakama lakini itakuwa ngumu kumshinda ndani ya mahakama
Una uhakika mkuuHana kitu alijisaha sana dada yenu!!..yeye siyo hata share holder wa IPP!!!..yeye anapigania Mali ya Reginald ambayo kwenye share za kampuni alikua kabakiza kidogo nyingi alikua kampa mkewe na watoto!!!...hicho kidogo ndio kinatakiwa kigawanywe pia!!!..