Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

😂😂😂😂Dee naomba uwe rafiki angu.
Diana Spencer

Nlikua sijawah sikia sauti ya K-lyn Ile alivotembelewa na wajane ndo nikaconcetrate kusikia naona Kama anaongea unprofessional kiwiz wizi tu
Mungu anisamehe
 
Wewe una ushahidi wa kwamba Mengi kaandika ule wosia? upeleke mahakamani haraka!

Naona una zunguka zunguka tuu wewe ndio umesema wosia ni fake kama una kwenda mahakamani wewe ndio unapaswa kuthibitisha kuwa wosia ni fake
 
Wewe unaweza kuthibitisha uliandikwa na Mengi, msaidie huyo mdangaji kwa kupeleka ushahidi mahakamani

Mkuu kwani mimi na wewe kwanini tusijadiliane bila kuwatukana watu wengine? Tusi wakimbize watu kwenye mjadala kwa kutumia lugha zisizo za mijadala
 
Jac hawezi shinda sabab mali niza

kabila.....kwahiyo anashindana na

Kabila kushinda ni uongo.
 
Jack awe na huruma haijalishi karithishwa au hajarithishwa km kweli anaamini kuna kufa na siku ya mwisho ipo basi aache tamaa aogope Mungu jamani Mali za mengi ni nyingi mnooo!anajipa mtihani tu was kiulimwengu na kwa Mungu!!aache tamaa za kutaka kuweka historia ya kua billionea was kwanza mwanamke bongo (na hichi ndo kinachomfurukuta )mpk anakua na tamaa hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Raynavero[emoji12] wanawake si mnaweza jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyamizi, Huyo sista angetulia asingenyimwa hata shilingi 10 tatizo anataka kuforce kingi inavyoonekana

Kuna mdau hapa kachangia kuna dada sijui anaishi London dingi yake alikuwa.mmoja wa wakurugenzinwa mwanzo wa IPP lakini huyo alishafariki muda sana na huyo mwanae wa london anaoata percentage Fulani kutoka IPP

Sasa kwa mtu Kama jacq aliezaa na mzee kabisa unadhani hao akina REGINA wangemtupa yaani wawatelekeze wale wadogo zao sio rahisi kihivyo

Jaq atulize boli aombe yaishe wakae mezani wafanye maridhiano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atleast Faraja Kotta amesoma nafahamu ni mwanasheria.
Nancy kuna wakati alitaka kusoma masters UD akatoswa alikuja kipindi kile na vyeti vya Kilimanjaro Institute College (jokes) ila kuna wakati nikofield UDSM alitoswa kusoma pale...the rest sijui!
Shoga kidawa yeye ndo anajua kudanga tu maana hata Muziki ulimkataa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kati hao wote FARAJA kota ndie mwenye afadhali kasoma pia ndie first wife wa nyalandu ata least yeye na nyalandu hawajapishana sana umri

Wengine wote waliobakia wengine wameiba wanaume za watu na wengine wameolewa na baba zao [emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazigazi,
nyie watu mna vichwa vigumu, jack afanye maridhiano ya nini wakati share yake na watoto wake amepewa na mengi mwenyewe kwenye wosia? hao akina regina ndio wampigie magoti jack awaonee huruma awape hata vishare kidogo kutoka kwenye fungu la mapacha wake! akina regina ndio waombe maridhiano sio jack
 
Sasa mbona analalamika Tweeter kama anajuamini,si akae kimya asubiri “kupigiwa magoti”! Ukiona yowe lote hilo ujue hali si shwari upande wake!
 
sasa analialia nini ?

Hajalalamikia mali, amelalamikia kuona kaburi tu, mali alishapewa na mume wake mengi!
 
Back
Top Bottom