Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Ni mpuuzi sana! Sio wewe tu unaemchukia,asilimia kubwa wamemchukia sana na wanasympathy na watoto wa Mengi,hili peke yake la kuchukiwa na Jamii litamgharimu sana yeye na mbaya zaidi atapelekea chuki kubwa na kwa watoto wake! Waliomdanganya kwa sasa wako pembeni kimya,ni yeye anakabiliana na pressure za Familia na kwenye mitamdao pia! Btw ni nani alimdanganya akatweet ile msg,kama anapitia zile comments nadhani anajuta kwanini alitweet!
Hajitambui huyu mama wawili tatizo lake ni kibri na kujiona na vitamgharimu kiuhalisia kabisa ni tapeli hivii mwanamke kabisaa mwenye huruma unaanzaje kukubali kurithishwa Mali zote peke yako?hivi hata aibu ana soni hayaa?alishindwa kumuambia marehemu kua unakosea ?au ndo ili iweje ?shenzy taipu.simsapoti kwa namna yoyote ile
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]ama kweli mtu yoyote mwenye rohk mbaya Mungu anamuondoshea haya ktk uso wake! Kwanza anaanzaje kutwit ujinga ule!anatgemea apate positive feedback?!! Daaamnn!!!jinga yule Dada na wanaojifnya kumshabikia hayajawakut

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi anajua mpk kiswahili [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji3][emoji3][emoji3] the struggle is real! Alidhani ni rahisi kiasi hicho! Hivi yule dada yake Tapeli alieifirisi Kampuni ya mikopo yuko wapi? Alimdanganya na huyu afanye hivyo hivyo,matokeo yake moto unamuwakia peke yake!
 
Hujui kama Regina ndio Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP? Yeye aendelee kuuza furniture huko
unajua maana ya kampuni wewe? mwenyekiti anaweza kuwa yoyote yule, mwenye share nyingi ndio mmiliki, maamuzi yote ya kampuni yanafanywa na board of directors, sio maamuzi ya mtu mmoja, mapacha wa jack ndio wamiliki wa IPP, chini ya usimamizi wa mama yao, hao mapacha wanasubiriwa wafikishe miaka 18 wapewe kampuni yao. regina ni mwajiriwa wa ipp mwisho wa mwezi analipwa mshahara kama wafanyakazi wengine
 
Hajitambui huyu mama wawili tatizo lake ni kibri na kujiona na vitamgharimu kiuhalisia kabisa ni tapeli hivii mwanamke kabisaa mwenye huruma unaanzaje kukubali kurithishwa Mali zote peke yako?hivi hata aibu ana soni hayaa?alishindwa kumuambia marehemu kua unakosea ?au ndo ili iweje ?shenzy taipu.simsapoti kwa namna yoyote ile
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]ama kweli mtu yoyote mwenye rohk mbaya Mungu anamuondoshea haya ktk uso wake! Kwanza anaanzaje kutwit ujinga ule!anatgemea apate positive feedback?!! Daaamnn!!!jinga yule Dada na wanaojifnya kumshabikia hayajawakut

Sent using Jamii Forums mobile app
unajua urithi unavyoandikwa kweli? urithi umeandikwa mbele ya mashahidi ambao ni wanasheria ofisini kwao na haruhusiwi ndugu, mke, watoto kuuona zaidi ya mwanasheria wako, huyo jack hata yeye alikuwa hajui kilichoandikwa maana hakuwepo, waliokuwepo ni wanasheria wa mengi tu. ukimlaumu unamuonea
 
unajua maana ya kampuni wewe? mwenyekiti anaweza kuwa yoyote yule, mwenye share nyingi ndio mmiliki, maamuzi yote ya kampuni yanafanywa na board of directors, sio maamuzi ya mtu mmoja, mapacha wa jack ndio wamiliki wa IPP, chini ya usimamizi wa mama yao, hao mapacha wanasubiriwa wafikishe miaka 18 wapewe kampuni yao. regina ni mwajiriwa wa ipp mwisho wa mwezi analipwa mshahara kama wafanyakazi wengine

Unamiliki kampuni kwa kuwa na 25% wakati wenzio wana 75%? Au hujui hata kwamba kinachogombewa ni 25% ya Mzee Mengi tu!
 
unajua urithi unavyoandikwa kweli? urithi umeandikwa mbele ya mashahidi ambao ni wanasheria ofisini kwao na haruhusiwi ndugu, mke, watoto kuuona zaidi ya mwanasheria wako, huyo jack hata yeye alikuwa hajui kilichoandikwa maana hakuwepo, waliokuwepo ni wanasheria wa mengi tu. ukimlaumu unamuonea

Sasa mbona hatii Mguu huko IPP anaishia kulialia kwenye mitandao! Btw like tangazo alilotoa la kitokuruhusu kuguswa mali limefikia wapi? Maana watu wanaendelea na maisha yao chini ya Mwenyekiti Regina hawana hata habari,huku mtu analialia mitandaoni
 
Watoto yatima ni wale wakubwa wawili ambao hawana baba ala mama kwa sasa. Watoto wa K-Lynn sio yatima maana K-Lynn yu hai. Au wewe unamuona ni mfu?
Hata hao wakubwa sio yatima maana wanaweza kujisimamia mambo yao....jina unaloweza kuwaita ni wakiwa..maana kama kuna changamoto walikiwa wakikutana nazo wanaenda kwa mshua au kwa bimdashi kwa sasa hawana mtu wa kumwambia hivo wanabako kusema mama/baba angekuwepo angenipa ushauri mzuri...hilo ndo wanakosa toka kwa wazaz..ila sio yatima
 
kwa mila zetu wachaga, mtoto wa kike hana urithi, na mwenye boma(mrithi wa mali za baba) ni mtoto wa mwisho. hapo hao mapacha wa jack kwa mila za kichagga ndio wenye boma, wataombaje ruhusa kuingia kwenye boma lao? jack yuko sahihi kulalamika
IPP ni mali ya familia,watoto wake ni directors ndio mana regina ni boss wa ipp kwasasa.labda nikujuze mahakama imempa regina nafasi ya mengi ipp,mrundi hana chake kabisa mapacha wao wanashae zao ila watapewa mpka wafike umri wa kujitegemea.
Sasa hivi mrundi anaishi kutegemea posho tu hakuna mamilioni ya kusaza tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom