Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi: Nimezuiwa kuingia kwenye kaburi la mume wangu. Nimechoka na sitakubali

Mkuu unatumia nguvu nyingi sana muda utaongea tuombe uhai... familia ya Mengi hawana grounds za kushinda hii case na hakuna sehemu wamesema wosia umeghushiwa bali wanapinga wao kupewa walicho pewa!

Mengi alishagawa mali kabla hajafa hakuna wa kubadilisha na hakuna atakaye mkomoa mwenzie kwenye hili na hatoshinda case!
Wewe ndio hujui nini unaongea,ipp mrudi hana share ameikuta inaendeshwa na baba,mama watoto,ipp sio mabibo beer au infotech

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20200224_165558.jpg
 
Huyu ashauriwe vizuri. Sisi wachaga tuna sheria zetu mbali kabisa na za serikali. Unaweza Shunda MAHAKAMA zote hata ya dunia but enforcements ikawa impossible. Narudia impossible hata ukisema unauza mali utashindwa. Kwa mvamizi wa ndoa concubine wakati mke halali akiwa bado hai huwa hapati haki zote kama anavyojiliza Liza. Anapata only derivative rights. Ulidharau wana familia including Kaka yake Mengi ukadhani ataishi milele. Poor lady utapoteza muda maisha move on. U got more than ya life had given.
 
Wana ugomvi wa mali na Mengi kazikwa eneo la mali ya mtu ambayo jack hahusiki hivyo kabla ya kwenda pale angeomba ruhusa.

Kumbuka jack keshatoa tangazo la kuzuia ndugu wa Mengi kugusa mali yoyote ya Mengi bila ruhusa yake na kwamba kesi ipo mahakamani(kuna uzi humu ulianzishwa kuhusu hii mada)
Swali la msingi, kwanini wanamzuia kufika katika kaburi la Mumewe na Baba wa watoto wake?

Sababu ni ipi? Amekosa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda ni ukuta mrudi anapoteza mechi mapema sana,tulieni muone mwisho wake wa utapeli

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kwani Wosia unasemaje kuhusu kampuni za Mengi? Kwani si kuna muda wa kutekeleza wosia? Kwanini walikumbilia mahakamani? Wewe unafikiri hawajui kama kuna muda itafika lazima watekeleze matakwa ya mwenyekiti kwa kiasi fulani? Lakini acha tusubiri muda utwambie si wameenda mahakamani!

Lakini nazidi kukumbusha kuwa hakuna mshindi kwenye hili na wala familia haitoshinda mahakamani!

Hapa wote wanaweza shinda kwa kukaa na kuongea na si kupambana!
 
Ni mpuuzi sana! Sio wewe tu unaemchukia,asilimia kubwa wamemchukia sana na wanasympathy na watoto wa Mengi,hili peke yake la kuchukiwa na Jamii litamgharimu sana yeye na mbaya zaidi atapelekea chuki kubwa na kwa watoto wake! Waliomdanganya kwa sasa wako pembeni kimya,ni yeye anakabiliana na pressure za Familia na kwenye mitamdao pia! Btw ni nani alimdanganya akatweet ile msg,kama anapitia zile comments nadhani anajuta kwanini alitweet!

Wengi wanao wachukia watu wanakuwa hawana sababu na wakiwa na sababu basi huwa si za msingi au ni za uongo kabisa na hawajui ukweli hivyo si shangai!

Mnaweza kumshinda huyu binti nje ya mahakama lakini itakuwa ngumu kumshinda ndani ya mahakama
 
Angekuwa ni wa kushinda asingetapatapa mitandaoni kubwabwaja! Mambo yatakuwa yanamwendea halijojo ndio maana unamuona anabwatuka huku! Uwe na uhakika wa kushinda kesi uanze kulalamika huku hupati ruhusa ya kutembelea kaburi?

Lakini alicho kiongea kwenye mitandao sio kilicho kwenye mahakama
 
Nimejikuta picha inanirudisha kipindi cha uzinduzi wa Kitabu cha Mengi(I can, I must, I will) watoto wake wakubwa walikuwepo kweli? niliona wale mapacha tu nani alipaswa kuwa na jukumu ya kutengeneza mazingira kina Regina kuwepo? je hawakutaka kuwa sehemu ya uzinduzi wa kitabu cha Mshua? uzinduzi ulikuwa wa hadhi ya kimataifa...kuna michezomichezo ambayo inahitaji akili kuelewa.
 
Huyu ashauriwe vizuri. Sisi wachaga tuna sheria zetu mbali kabisa na za serikali. Unaweza Shunda MAHAKAMA zote hata ya dunia but enforcements ikawa impossible. Narudia impossible hata ukisema unauza mali utashindwa. Kwa mvamizi wa ndoa concubine wakati mke halali akiwa bado hai huwa hapati haki zote kama anavyojiliza Liza. Anapata only derivative rights. Ulidharau wana familia including Kaka yake Mengi ukadhani ataishi milele. Poor lady utapoteza muda maisha move on. U got more than ya life had given.

Wachagga amuwezi kuwa na sheria zinazo zidi mamlaka ya mahakama na kama mgekuwa mna sheria zenu ambazo mnaziamini kabisa kulikuwa hakuna sababu ya ninyi kukimbilia mahakama za kiraia.....
 
Hawezi kuchukua Mali ambayo hakuichuma kirahisi rahisi namna hiyo.eti kisa wosia. Tena wosia wenyewe"fake"
Wengi wanao wachukia watu wanakuwa hawana sababu na wakiwa na sababu basi huwa si za msingi au ni za uongo kabisa na hawajui ukweli hivyo si shangai!

Mnaweza kumshinda huyu binti nje ya mahakama lakini itakuwa ngumu kumshinda ndani ya mahakama
 
Hana kitu alijisaha sana dada yenu!!..yeye siyo hata share holder wa IPP!!!..yeye anapigania Mali ya Reginald ambayo kwenye share za kampuni alikua kabakiza kidogo nyingi alikua kampa mkewe na watoto!!!...hicho kidogo ndio kinatakiwa kigawanywe pia!!!..
Una uhakika mkuu
Nachojua IPP ni kampuni mwanzilishi
Mengi ana makampuni mengine mengi tu ambayo hawa watoto wakubwa nadhani hawamo..ikiwemo investment kwny madini ya tanzanite nk

ila yote kwa yote sijui sana pia
 
kwa mila zetu wachaga, mtoto wa kike hana urithi, na mwenye boma(mrithi wa mali za baba) ni mtoto wa mwisho. hapo hao mapacha wa jack kwa mila za kichagga ndio wenye boma, wataombaje ruhusa kuingia kwenye boma lao? jack yuko sahihi kulalamika
 
Back
Top Bottom