tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Wewe ndio hujui nini unaongea,ipp mrudi hana share ameikuta inaendeshwa na baba,mama watoto,ipp sio mabibo beer au infotechMkuu unatumia nguvu nyingi sana muda utaongea tuombe uhai... familia ya Mengi hawana grounds za kushinda hii case na hakuna sehemu wamesema wosia umeghushiwa bali wanapinga wao kupewa walicho pewa!
Mengi alishagawa mali kabla hajafa hakuna wa kubadilisha na hakuna atakaye mkomoa mwenzie kwenye hili na hatoshinda case!
Sent using Jamii Forums mobile app