Anapambana vita asiyoiweza, kama angekubali kula na wenziye haya yasingemkuta.
Tujifunze methali za "Mtaka yote kwa pupa...!"
Kaburi anaenda kulicheki kila siku
Kaburi anaenda kulicheki kila siku
Siyo matajiri tu! Ndoa ione Hivi hivi. Ndoa si ya watu wawili tu, ni ya ukoo mzima ndo maana kuna harusi. Jambo la pili, ni kuwa siku hizi hasa nyie dot com napenda kupuuza upande wa kiumeni! Unapoupuuza omba kwa mungu wewe mwanamke utangulie,
Ana bahati hata kuzika asingezika.
Anataka tumuonee huruma maana kesi ya Mirathi inamuenda kombo
Sent using Jamii Forums mobile app
kesi ya mirathi inaendeleaje?Ana bahati hata kuzika asingezika.
Anataka tumuonee huruma maana kesi ya Mirathi inamuenda kombo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana bahati hata kuzika asingezika.
Anataka tumuonee huruma maana kesi ya Mirathi inamuenda kombo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kujua kama unapendwa na ndugu wa mme subiri akifa ndo utajua.
Sent using Jamii Forums mobile app