Wewe unaweza kuthibitisha uliandikwa na Mengi, msaidie huyo mdangaji kwa kupeleka ushahidi mahakamani
Wewe una ushahidi wa kwamba Mengi kaandika ule wosia? upeleke mahakamani haraka!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Shauri yako mdogo wangu.
Mali za Mengi ni za 'kabila' zima. Utatukanwa mpaka akili zikukae sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaweza kuthibitisha uliandikwa na Mengi, msaidie huyo mdangaji kwa kupeleka ushahidi mahakamani
Nimesoma kuwa Sophy Byanaku ana Bachelor ya Sociology na Masters ya Public Health. Nasreen ana Bachelor ya International RelationsMarafiki zake hakuna hata mmoja anamiliki cheti pale...unadhani atashauriwa nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama mtu anadanga ulitaka tusemeje kwa mfano...Mkuu kwani mimi na wewe kwanini tusijadiliane bila kuwatukana watu wengine? Tusi wakimbize watu kwenye mjadala kwa kutumia lugha zisizo za mijadala
Raynavero[emoji12] wanawake si mnaweza jamani?Jack awe na huruma haijalishi karithishwa au hajarithishwa km kweli anaamini kuna kufa na siku ya mwisho ipo basi aache tamaa aogope Mungu jamani Mali za mengi ni nyingi mnooo!anajipa mtihani tu was kiulimwengu na kwa Mungu!!aache tamaa za kutaka kuweka historia ya kua billionea was kwanza mwanamke bongo (na hichi ndo kinachomfurukuta )mpk anakua na tamaa hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati hao wote FARAJA kota ndie mwenye afadhali kasoma pia ndie first wife wa nyalandu ata least yeye na nyalandu hawajapishana sana umriAtleast Faraja Kotta amesoma nafahamu ni mwanasheria.
Nancy kuna wakati alitaka kusoma masters UD akatoswa alikuja kipindi kile na vyeti vya Kilimanjaro Institute College (jokes) ila kuna wakati nikofield UDSM alitoswa kusoma pale...the rest sijui!
Shoga kidawa yeye ndo anajua kudanga tu maana hata Muziki ulimkataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ashabaniwa mahala ndio maana unaona anapiga keleleKuna sehemu nimelisema hili mwanzoni mwa huu uzi.. watu wakanipinga... k lyn ana mafasi kubwa sana kushinda hii case
Mazigazi,
nyie watu mna vichwa vigumu, jack afanye maridhiano ya nini wakati share yake na watoto wake amepewa na mengi mwenyewe kwenye wosia? hao akina regina ndio wampigie magoti jack awaonee huruma awape hata vishare kidogo kutoka kwenye fungu la mapacha wake! akina regina ndio waombe maridhiano sio jack
Mazigazi,
nyie watu mna vichwa vigumu, jack afanye maridhiano ya nini wakati share yake na watoto wake amepewa na mengi mwenyewe kwenye wosia? hao akina regina ndio wampigie magoti jack awaonee huruma awape hata vishare kidogo kutoka kwenye fungu la mapacha wake! akina regina ndio waombe maridhiano sio jack
Hajalalamikia mali, amelalamikia kuona kaburi tu, mali alishapewa na mume wake mengi!Sasa mbona analalamika Tweeter kama anajuamini,si akae kimya asubiri “kupigiwa magoti”! Ukiona yowe lote hilo ujue hali si shwari upande wake!
Amelalamikia kuona kaburi, sio mali, mali zake alizoachiwa na mengi ziko mikononi mwake! ndugu wa mengi ndio wamemfungulia kesi kutaka kumpokonya mali zake!