Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
Tatizo wewe husemi umewakosea nini ?Wao sio wajinga kukuzuia. Jack mdangaji hodari. Kwani ukienda kwenye kaburi ndo atafufuka ?
Naona maombi yangu yameanza kujibu. Jack nilikucheki last week ukanipotezea issue yangu ...
Naomba Moto uzidi kuchochewa hadi uchanganyikiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajitambui huyu mama wawili tatizo lake ni kibri na kujiona na vitamgharimu kiuhalisia kabisa ni tapeli hivii mwanamke kabisaa mwenye huruma unaanzaje kukubali kurithishwa Mali zote peke yako?hivi hata aibu ana soni hayaa?alishindwa kumuambia marehemu kua unakosea ?au ndo ili iweje ?shenzy taipu.simsapoti kwa namna yoyote ileNi mpuuzi sana! Sio wewe tu unaemchukia,asilimia kubwa wamemchukia sana na wanasympathy na watoto wa Mengi,hili peke yake la kuchukiwa na Jamii litamgharimu sana yeye na mbaya zaidi atapelekea chuki kubwa na kwa watoto wake! Waliomdanganya kwa sasa wako pembeni kimya,ni yeye anakabiliana na pressure za Familia na kwenye mitamdao pia! Btw ni nani alimdanganya akatweet ile msg,kama anapitia zile comments nadhani anajuta kwanini alitweet!
Mmmh Da Jaq anajibishana huko insta balaa..
Full kuchambana na waswahili wa mbagala
Sent using Jamii Forums mobile app
amelalamikia kuona kaburi, sio mali, mali zake alizoachiwa na mengi ziko mikononi mwake! ndugu wa mengi ndio wamemfungulia kesi kutaka kumpokonya mali zake!
Siku hizi anajua mpk kiswahili [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
unajua maana ya kampuni wewe? mwenyekiti anaweza kuwa yoyote yule, mwenye share nyingi ndio mmiliki, maamuzi yote ya kampuni yanafanywa na board of directors, sio maamuzi ya mtu mmoja, mapacha wa jack ndio wamiliki wa IPP, chini ya usimamizi wa mama yao, hao mapacha wanasubiriwa wafikishe miaka 18 wapewe kampuni yao. regina ni mwajiriwa wa ipp mwisho wa mwezi analipwa mshahara kama wafanyakazi wengineHujui kama Regina ndio Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP? Yeye aendelee kuuza furniture huko
unajua urithi unavyoandikwa kweli? urithi umeandikwa mbele ya mashahidi ambao ni wanasheria ofisini kwao na haruhusiwi ndugu, mke, watoto kuuona zaidi ya mwanasheria wako, huyo jack hata yeye alikuwa hajui kilichoandikwa maana hakuwepo, waliokuwepo ni wanasheria wa mengi tu. ukimlaumu unamuoneaHajitambui huyu mama wawili tatizo lake ni kibri na kujiona na vitamgharimu kiuhalisia kabisa ni tapeli hivii mwanamke kabisaa mwenye huruma unaanzaje kukubali kurithishwa Mali zote peke yako?hivi hata aibu ana soni hayaa?alishindwa kumuambia marehemu kua unakosea ?au ndo ili iweje ?shenzy taipu.simsapoti kwa namna yoyote ile
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]ama kweli mtu yoyote mwenye rohk mbaya Mungu anamuondoshea haya ktk uso wake! Kwanza anaanzaje kutwit ujinga ule!anatgemea apate positive feedback?!! Daaamnn!!!jinga yule Dada na wanaojifnya kumshabikia hayajawakut
Sent using Jamii Forums mobile app
unajua maana ya kampuni wewe? mwenyekiti anaweza kuwa yoyote yule, mwenye share nyingi ndio mmiliki, maamuzi yote ya kampuni yanafanywa na board of directors, sio maamuzi ya mtu mmoja, mapacha wa jack ndio wamiliki wa IPP, chini ya usimamizi wa mama yao, hao mapacha wanasubiriwa wafikishe miaka 18 wapewe kampuni yao. regina ni mwajiriwa wa ipp mwisho wa mwezi analipwa mshahara kama wafanyakazi wengine
unajua urithi unavyoandikwa kweli? urithi umeandikwa mbele ya mashahidi ambao ni wanasheria ofisini kwao na haruhusiwi ndugu, mke, watoto kuuona zaidi ya mwanasheria wako, huyo jack hata yeye alikuwa hajui kilichoandikwa maana hakuwepo, waliokuwepo ni wanasheria wa mengi tu. ukimlaumu unamuonea
Kwani tweeter amelalamikia nini zaidi ya kuona kaburi!
Hajalalamikia mali, amelalamikia kuona kaburi tu, mali alishapewa na mume wake mengi!
Hata hao wakubwa sio yatima maana wanaweza kujisimamia mambo yao....jina unaloweza kuwaita ni wakiwa..maana kama kuna changamoto walikiwa wakikutana nazo wanaenda kwa mshua au kwa bimdashi kwa sasa hawana mtu wa kumwambia hivo wanabako kusema mama/baba angekuwepo angenipa ushauri mzuri...hilo ndo wanakosa toka kwa wazaz..ila sio yatimaWatoto yatima ni wale wakubwa wawili ambao hawana baba ala mama kwa sasa. Watoto wa K-Lynn sio yatima maana K-Lynn yu hai. Au wewe unamuona ni mfu?
Anshangaa makaburi ya familia kufungwa dah!
IPP ni mali ya familia,watoto wake ni directors ndio mana regina ni boss wa ipp kwasasa.labda nikujuze mahakama imempa regina nafasi ya mengi ipp,mrundi hana chake kabisa mapacha wao wanashae zao ila watapewa mpka wafike umri wa kujitegemea.kwa mila zetu wachaga, mtoto wa kike hana urithi, na mwenye boma(mrithi wa mali za baba) ni mtoto wa mwisho. hapo hao mapacha wa jack kwa mila za kichagga ndio wenye boma, wataombaje ruhusa kuingia kwenye boma lao? jack yuko sahihi kulalamika
Baelezee wajue kua pale sio kwa mrundi waoLile boma sio la kwao ni la kaka yake Mengi so mwenye boma ni mtoto wa mwisho wa kakayake Mengi