tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Baelezee tena ni mwenyekiti kwa uamuzi wa mahakama,yeye asubirie posho tu kila mwezi za hao mapachaHujui kama Regina ndio Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP? Yeye aendelee kuuza furniture huko
Huyo ni mrundi mwenzakeUnamiliki kampuni kwa kuwa na 25% wakati wenzio wana 75%? Au hujui hata kwamba kinachogombewa ni 25% ya Mzee Mengi tu!
kwa mila zetu wachaga, mtoto wa kike hana urithi, na mwenye boma(mrithi wa mali za baba) ni mtoto wa mwisho. hapo hao mapacha wa jack kwa mila za kichagga ndio wenye boma, wataombaje ruhusa kuingia kwenye boma lao? jack yuko sahihi kulalamika
unajua urithi unavyoandikwa kweli? urithi umeandikwa mbele ya mashahidi ambao ni wanasheria ofisini kwao na haruhusiwi ndugu, mke, watoto kuuona zaidi ya mwanasheria wako, huyo jack hata yeye alikuwa hajui kilichoandikwa maana hakuwepo, waliokuwepo ni wanasheria wa mengi tu. ukimlaumu unamuonea
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji16]Hana picha ya hilo kaburi au si afungue hata YouTube kwa Millard ayo aangalie amalize hayo mambo yake?
So that I become rich. Ukiona anachelewa kufa unatengeneza mchongo wa yeye kuuawa katika namna inayofanana na kifo cha kawaida ili kuondosha mashaka kwa mamlaka.Hii sredi imenikumbusha novel ya JHC
"Do me a favor ,drop dead"
Jacq kimoyomoyo Yuko na mzee ashafanya makaratee ya fake will
Anasema "do me a favor ,drop dead, do me a favor drop dead ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana jacky , hao ni viumbe hatari sana tumia akili na maarifa.Unafikiria watu wanavyo waita wapalestina wanakosea watamtoa roho yeye atulie tu afanye mpango ailewane na hio familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyewahi kuwa Mwanamuziki Nchini na ambaye ni mke wa Marehemu Regnald Mengi, Jacqueline Mengi maarufu kama K-Lyinn amedai kuzuiwa kuingia kwenye kaburi la mumewe, Reginald Mengi
Bila kusema ni nani anaowazungumzia, kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter ameandika “Nimenyamaza kwa mengi sana tu. Mmefikia hatua ya kunizuia mimi na wanangu kuingia kwenye kaburi la mume wangu.”
Ameendela na kuandika “Tunafukuzwa eti mpaka tuombe ruhusa ya kuingia kwenye kaburi la mume na Baba wa watoto wangu. Nimechoka, sitakubali kuendelea kuona wanangu wakisononeka na sitakaa kimya.”
Reginald Mengi ambaye alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za IPP alifariki dunia Mei 2, 2019 na kuacha mke (Jacqueline Mengi) na watoto wanne ambao ni Regina, Abdiel, Jayde na Ryan. Watoto hao amezaa na Mercy Mengi pamoja Jackline Mengi
View attachment 1365926
BAADHI YA MAONI YA WADAU:
View attachment 1365927
View attachment 1365928
View attachment 1365929
View attachment 1365930
View attachment 1365931
View attachment 1365932
Na kaburi lenyewe liko lock down kwa baba mdogo[emoji2222]Nimezuiwa kuingia kaburini kwa mume wake. Kwani alitaka kuingia kutafuta nini? Kwanza anaingiaje kaburini?
Na wamemlia ela kweliUnajua huyu anahela lakini akili hana. Wanasheria watamlia hela and she might never win....she never laid her plans well now upande mwingine watacheza na loophole alizoacha.
Hajui Kula na kipofu she was too greedy and she might loose it all.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyalandu kumbe alikuwa ana watoto kabla ya kumuoa Miss Tanzania Bi Faraja Kotta?Aliyewahi kuwa Mwanamuziki Nchini na ambaye ni mke wa Marehemu Regnald Mengi, Jacqueline Mengi maarufu kama K-Lyinn amedai kuzuiwa kuingia kwenye kaburi la mumewe, Reginald Mengi
Bila kusema ni nani anaowazungumzia, kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter ameandika “Nimenyamaza kwa mengi sana tu. Mmefikia hatua ya kunizuia mimi na wanangu kuingia kwenye kaburi la mume wangu.”
Ameendela na kuandika “Tunafukuzwa eti mpaka tuombe ruhusa ya kuingia kwenye kaburi la mume na Baba wa watoto wangu. Nimechoka, sitakubali kuendelea kuona wanangu wakisononeka na sitakaa kimya.”
Reginald Mengi ambaye alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za IPP alifariki dunia Mei 2, 2019 na kuacha mke (Jacqueline Mengi) na watoto wanne ambao ni Regina, Abdiel, Jayde na Ryan. Watoto hao amezaa na Mercy Mengi pamoja Jackline Mengi
View attachment 1365926
BAADHI YA MAONI YA WADAU:
View attachment 1365927
View attachment 1365928
View attachment 1365929
View attachment 1365930
View attachment 1365931
View attachment 1365932