Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Finally, he came out of the closet.... Big up J, much support from me.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nikuulize, ulishawahi kukutana na mashoga ukazungumza nao wakakupa historia zao au hayo unayoona unayajua umeyapata darasani bila kufanya research yoyote??The only new thing i've learnt is the fact that u are ignorant on the issue...
aliyezaliwa haoni hawezi jua tatizo lake pak apate experience toka kwa wale wanao ona, so is the issue of homosexuality.. accidentally mtu anaweza kuwa homosexual lakini kama hatopata experience za kutumia nyuma hataishi tu kama mtu wa kawaida, na ndio sababu kubwa watu wanapinga gayism kuwekwa public...
Ulaya ndio kunafundisha hayo mambo na kule Mara wale wanawake wanaooana kila kukicha waliishi Ulaya au wa Ulaya walienda kule kuwafundisha?HIZI DINI ZA MASHETANI NDI ZINAHARIBU VIJANA WETU KUWA MASHOGA, WASAGAJI, WAUZA MADAWA, WAVUTA BANGI NK..... ni hatar sana sana tu.. ulaya kuzuri ila ukiwa na mwanao kubaliana na yote hayo...
Unaijua vizuri ile mila ya watu wa Mara? Acheni kutetea upuuziUlaya ndio kunafundisha hayo mambo na kule Mara wale wanawake wanaooana kila kukicha waliishi Ulaya au wa Ulaya walienda kule kuwafundisha?
Ni mwanamke anaenda kumuoa mwanamke mwenzake kisha anamtafutia mwanaume wa kuzaa nae na hao watoto wanakua wa yule mwanamke aliyelipa mahari.... unataka kupindisha ukweli kua huyo aliyeoa hua hajipigii mkewe? lol.Unaijua vizuri ile mila ya watu wa Mara? Acheni kutetea upuuzi
Tusubiri akistaafu, kwa sasa ana deals nyingi mno ambazo zinambana...Hivi kwa Ronaldo ni kweli au fix?
Acha tu, lakini sidhani jina lazima lishahabiane na tabia chafu kama hizi, wengine wamebeba majina ya mitume na manabii lakini ndiyo hivyo..Kuiga iga na ukisasa unawasumbua wazazi wao
Dunia tu inaenda kasi, majaribu na uchafu waibuka, watu kumsahau Muumba, wengine tukidhani hayo mbona fresh tu bila kusahau yatakayotokea baadaye, ila isikuumize kichwa, zaidi ya kuwa na msimamo wako unaoendana na dola, wewe kula maisha, ya baadaye hutakuwepo, ila yatatisha kwa mwendokasi kama huu..Hivi ni sikuhizi watu akili zinaruka au nini?! Mbona mchezo huo naona unapamba moto, ndio kusema tunakaribia kuchomwa moto au?! Maskini kizazi cha sasa kimekuwa kigumu sana unakaa zako ukijua una dume lako la mbegu kumbe nae kashaanza kupanguliwa marida siku yingi. Inauma aisee! Unajikuta mtoto wa kiume huna tena
Unapata wapi guts za kusupport ushoga tena upo proud kabisa?Finally, he came out of the closet.... Big up J, much support from me.
Pole hujajua why wanaoana na sio kuwaa akimuoa ndo anamsaga.. muwe mnasikiliza vipindj na kuelewa mila na tamaduni za watu..Ulaya ndio kunafundisha hayo mambo na kule Mara wale wanawake wanaooana kila kukicha waliishi Ulaya au wa Ulaya walienda kule kuwafundisha?
kiki tu, hana ushoga wowote, Tyler alitoa nyimbo zinazoonesha yeye ni shoga lakini sio shoga alikua anatafuta mashabiki. Na dogo nae kasema vile kwa ajili ya kiki tu, kapita na madem kibao mpaka mwezi wa 9 huu alikua na demu.Will alimuacha yule baby mother wa kwanza na kumuoa Jada sasa watoto aliyopata na Jada wote wana matatizo. Yule wa kwanza atamuokoa.
Yaani hapa nilikuwa nawaza jinsi watoto wengi wa kiume wa hapa TZ walivyopewa majina ya Jaden, Jayden sababu ya huyo mtoto wa karate kid. Duh, hatari sana.
hahahahaaakiki tu, hana ushoga wowote, Tyler alitoa nyimbo zinazoonesha yeye ni shoga lakini sio shoga alikua anatafuta mashabiki. Na dogo nae kasema vile kwa ajili ya kiki tu, kapita na madem kibao mpaka mwezi wa 9 huu alikua na demu.
hahahahahaaLabda nikuulize, ulishawahi kukutana na mashoga ukazungumza nao wakakupa historia zao au hayo unayoona unayajua umeyapata darasani bila kufanya research yoyote??
Maana kumeibuka wimbi la wataalam wanaouchambua ushoga ukiwauliza mmejuaje ooh mimi ni mkufunzi wa chuo kikuu.... hahaha my dear, No research No right to speak.
INDEED MY DEAR.Finally, he came out of the closet.... Big up J, much support from me.
Niko kusubiri ka 3,300 Lindi binamu!Asante " Binamu umetoweka sana
binamu huko uwe na nidhamu ya hali ya juu maana wale waliopewa agizo la kukusanya hilo zao huwa hawacheki na watu hovyo.... usije rudi huku ukiwa umetenguka kiunoNiko kusubiri ka 3,300 Lindi binamu!
wachana na mimi kabisa!
Binamu nna wasiwasi gani mpk nilete fujo!binamu huko uwe na nidhamu ya hali ya juu maana wale waliopewa agizo la kukusanya hilo zao huwa hawacheki na watu hovyo.... usije rudi huku ukiwa umetenguka kiuno