Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

The only new thing i've learnt is the fact that u are ignorant on the issue...
aliyezaliwa haoni hawezi jua tatizo lake pak apate experience toka kwa wale wanao ona, so is the issue of homosexuality.. accidentally mtu anaweza kuwa homosexual lakini kama hatopata experience za kutumia nyuma hataishi tu kama mtu wa kawaida, na ndio sababu kubwa watu wanapinga gayism kuwekwa public...
Labda nikuulize, ulishawahi kukutana na mashoga ukazungumza nao wakakupa historia zao au hayo unayoona unayajua umeyapata darasani bila kufanya research yoyote??

Maana kumeibuka wimbi la wataalam wanaouchambua ushoga ukiwauliza mmejuaje ooh mimi ni mkufunzi wa chuo kikuu.... hahaha my dear, No research No right to speak.
 
HIZI DINI ZA MASHETANI NDI ZINAHARIBU VIJANA WETU KUWA MASHOGA, WASAGAJI, WAUZA MADAWA, WAVUTA BANGI NK..... ni hatar sana sana tu.. ulaya kuzuri ila ukiwa na mwanao kubaliana na yote hayo...
Ulaya ndio kunafundisha hayo mambo na kule Mara wale wanawake wanaooana kila kukicha waliishi Ulaya au wa Ulaya walienda kule kuwafundisha?
 
Unaijua vizuri ile mila ya watu wa Mara? Acheni kutetea upuuzi
Ni mwanamke anaenda kumuoa mwanamke mwenzake kisha anamtafutia mwanaume wa kuzaa nae na hao watoto wanakua wa yule mwanamke aliyelipa mahari.... unataka kupindisha ukweli kua huyo aliyeoa hua hajipigii mkewe? lol.

Hatutetei ila hiyo ndio fact haya mambo yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo msiwasingizie watu wa magharibi.
 
Hivi ni sikuhizi watu akili zinaruka au nini?! Mbona mchezo huo naona unapamba moto, ndio kusema tunakaribia kuchomwa moto au?! Maskini kizazi cha sasa kimekuwa kigumu sana unakaa zako ukijua una dume lako la mbegu kumbe nae kashaanza kupanguliwa marida siku yingi. Inauma aisee! Unajikuta mtoto wa kiume huna tena
Dunia tu inaenda kasi, majaribu na uchafu waibuka, watu kumsahau Muumba, wengine tukidhani hayo mbona fresh tu bila kusahau yatakayotokea baadaye, ila isikuumize kichwa, zaidi ya kuwa na msimamo wako unaoendana na dola, wewe kula maisha, ya baadaye hutakuwepo, ila yatatisha kwa mwendokasi kama huu..
 
Ulaya ndio kunafundisha hayo mambo na kule Mara wale wanawake wanaooana kila kukicha waliishi Ulaya au wa Ulaya walienda kule kuwafundisha?
Pole hujajua why wanaoana na sio kuwaa akimuoa ndo anamsaga.. muwe mnasikiliza vipindj na kuelewa mila na tamaduni za watu..

Mimi ni mkurya haswaaaa na nina aunty yangu kaoa msichana... hizo ni mila na hazibadiliki .... inatokana na mtu anazeeka au hana familia means ana utajiri kama na siis utajir wetu ni mifugo na mashamba.. yule mwanamke anakuwa mpweke hajawahi olewa au aliolewa na mme akafa. Anaona karibia nguvu zinamuisha anatafuta bint ktk familia ambayo may be ni marafiki na ni masikin anaenda kuoa. Akisha oa sip kuwa kaoa wasagane anakuwa ni kama mama yake mzazi au mlezi.. hapo akifika yule mama hakuwa na watoto kwani wengi wanaooa hivyo ni wagumba anaona mali zitapotea pindi akifa.. bint akifika pale anakuwa huru kutembea na mwanaume yeyote yule ili amzalie. Yeye atazaa atakavyo kwani alipoenda hapo kuna utajir na hup utajir utakuwa faida kwa wanae pindi akifa mmoja wapo kama sip yeye au yule mama.. watoto wakizaliwa majina yao ya ubib watatumia ya ubin ya yule bibi... na bwana hataruhusiwa kujulikana kwani kazi yake kashafanya..
Kumbuka wanaheshimu sana kudai mtoto kwani kila kabila zina sheria zao zilizowekwa na kuongozwa na wazee wa hilp kabila..hivyo ndo maana ya bint kuolewa na mwanamke hawasagani kwa wakurya.. wale watoto watamwita yule bibi kama mama yao anavyomuita mama...

NIMEMALIZA.. hiyo ya wazungu kwa wakurya iko tofauti maana serikali yenyewe inaelewa hilo ingekuwa ni tofaut na unajua nchi yetu hairuhusu ndoa za jinsia moja.. ila wanajua kuwa ile n km mtu kuadopt mtoto tu..
 
Will alimuacha yule baby mother wa kwanza na kumuoa Jada sasa watoto aliyopata na Jada wote wana matatizo. Yule wa kwanza atamuokoa.
kiki tu, hana ushoga wowote, Tyler alitoa nyimbo zinazoonesha yeye ni shoga lakini sio shoga alikua anatafuta mashabiki. Na dogo nae kasema vile kwa ajili ya kiki tu, kapita na madem kibao mpaka mwezi wa 9 huu alikua na demu.
 
Yaani hapa nilikuwa nawaza jinsi watoto wengi wa kiume wa hapa TZ walivyopewa majina ya Jaden, Jayden sababu ya huyo mtoto wa karate kid. Duh, hatari sana.

Ukiwaza ilo hutompa mwisho utaishia kumpa mtoto jina la babu yake🤣🤣

Jaden ‘ Jehovah has heard ‘ jina zuri nikipata mtoto wa kiume nitampa lol

Ukiwaza hivyo wenye watoto wenye jina james inabidi waogope maana kuna james delicious
 
kiki tu, hana ushoga wowote, Tyler alitoa nyimbo zinazoonesha yeye ni shoga lakini sio shoga alikua anatafuta mashabiki. Na dogo nae kasema vile kwa ajili ya kiki tu, kapita na madem kibao mpaka mwezi wa 9 huu alikua na demu.
hahahahaaa

MNAJUA KUJIPA MOYO.
 
Labda nikuulize, ulishawahi kukutana na mashoga ukazungumza nao wakakupa historia zao au hayo unayoona unayajua umeyapata darasani bila kufanya research yoyote??

Maana kumeibuka wimbi la wataalam wanaouchambua ushoga ukiwauliza mmejuaje ooh mimi ni mkufunzi wa chuo kikuu.... hahaha my dear, No research No right to speak.
hahahahahaa

WANAUJUA USHOGA KULIKO HATA MASHOGA WENYEWE.
 
Niko kusubiri ka 3,300 Lindi binamu!
wachana na mimi kabisa!
binamu huko uwe na nidhamu ya hali ya juu maana wale waliopewa agizo la kukusanya hilo zao huwa hawacheki na watu hovyo.... usije rudi huku ukiwa umetenguka kiuno
 
binamu huko uwe na nidhamu ya hali ya juu maana wale waliopewa agizo la kukusanya hilo zao huwa hawacheki na watu hovyo.... usije rudi huku ukiwa umetenguka kiuno
Binamu nna wasiwasi gani mpk nilete fujo!
NIMECHUKUA TU HOTELI,NAKULA TU NA KUNYWA KWA BILI!
 
Back
Top Bottom