Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

I DON'T KNOW, HONESTLY.

MTOTO WA KIUME ANAONESHA DALILI ZA USHOGA MAPEMA SANA, KUANZIA MIAKA MITATU. YOU CAN CLEARLY SEE IT.

SASA HUMU WATU WANATOKWA MAPOVU TU HOVYO WANAANZA KUSINGIZIA WAZUNGU NA FREEMASON.
Sidhani kwa umri huo...... .....

Wangeuliwa wengi...hakuna mzazi anayekupenda mwanawe awe laanakum....hivyo!
Aibu kwa jamii....
wazazi wanaishi na maumivu.....
 
MTU KAMA SALMA JABIR UTASEMA KAHARIBIWA NA WAZUNGU??

YULE NI MSAGAJI CERTIFIED KABISA.

HE IS A MALE IN A FEMALE BODY.

MWILI WAKE UNAONESHA NI MWANAUME KABISA. NO HIPS, NO BUTTOCKS. NI DUME LILE.
Aah wap...kujiendekeza tu...

Pesa ina taabu zake hasa ukiwa limbukeni!
Alikuwa vizuri tu ..kaolewa huku na kuzaa akazaa....ana mtoto mkubwa tu...
Kabadilika alivyoanza kuishika pesa!

Na akija kwao anakuja na udhu wake!
 
Kisa hataki udada....halafu ni mzuri balaa
kha...!
Urembo tu ule yeye na rita wake...

Uzuri hana ..sema pesa na urembo vinacheza pale...zile bleach..na make up!
Na umri umekwenda pale ...si mdogo yule ujuwe...ufupi na utanashati vinaficha mengi!
 
Alimuanza baba yke lkn mara kwa mara alipokuwa mdogo alikuwa akimnyonya romance. Bila woga
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mitihani katika maisha hayeshi ukiangalia tatizo nin kumbe majina. Kuna watoto walibadili majina baada ya kuitwa majina mabaya na wazee wao.
Isiwe taabu dada, mie nina suggest majina haya kwa watoto wa kiume kuepusha haya majanga ya "kisasa"...
  • Jemedari
  • Njemba
  • Kidume
  • Mbegu
  • Juma
  • Ibrahim
  • Mohammed
  • Jacob
  • Issa
  • Isaac
  • Isaya
  • Abraham
  • Jiwe
  • Mgumu
  • Hatishikiki
  • Bonda
  • Akili
  • Maarifa
  • Bwana
  • Ndomba
  • Simba
  • Chui
  • Fisi
  • Nyati
  • Jua
  • Hasira------
  • Mkwawa
  • Mirambo
  • Majebele
  • Chonjo
  • Shaka Zulu
  • Black Mamba
  • Cha urithi
  • Kokoto
  • ..
  • ..
Endeleeni, hizo ni suggestions tu...wengine endeleeni...---------------------------------
 
Isiwe taabu dada, mie nina suggest majina haya kwa watoto wa kiume kuepeusha haya majanga ya "kisasa"...
  • Jemedari
  • Njemba
  • Kidume
  • Mbegu
  • Juma
  • Ibrahim
  • Mohammed
  • Jacob
  • Issa
  • Isaac
  • Isaya
  • Abraham
  • Jiwe
  • Mgumu
  • Hatishikiki
  • Bonda
  • Akili
  • Maarifa
  • Bwana
  • Ndomba
  • Simba
  • Chui
  • Fisi
  • Nyati
  • Jua
  • Hasira------
  • Mkwawa
  • Mirambo
  • Majebele
  • Chonjo
  • Shaka Zulu
  • Black Mamba
  • Cha urithi
  • Kokoto
  • ..
  • ..
Endeleeni, hizo ni suggestions tu...wengine endeleeni...---------------------------------
Mkuu mie ni ME.

Halaf umesahau konki,oil chafu[emoji23] [emoji23]
 
Hao mastar wanalipwa na Illuminati waonyeshe dunia mambo ya kishoga ni poa tu..hata hapa kwetu mvaa"vikukuu" atakuwa ana mchongo huo
 
Mtoto mzuri halafu anakuwa mchele mchele......acha kabisa lazima aliwe...m
 
Hollywood kuna mambo ya ajabu sana, kupumuliwa kwa wanaume au usagaji kwa wanawake upande wangu siyo tatizo, tatizo ni kuutangaza na kuushabakia, kuupamba na kuonekana kama ni trendy/usasa kwa jinsia tofauti, tunalazimishwa ionekane ni sawa tu, badala ya kuwa aibu kwa familia, tunalazimishwa hata wakiooana ni poa tu, sasa hapo ndipo wengine tunapopinga kulishwa na kuonyeshwa huu uchafu, kuna tv series/movies nzuri sana mitandaoni, ila nikisha ona kuna huu uchafu huwa nakatisha na kutozishaibikia tena, sijuwi tunaenda wapi, nashukuru dola inalipinga hili swala kwa moyo mmoja..sawa hii tabia ilikuwepo kabla hatujazaliwa, ipo kwenye familia zetu, lakini tusilazimishwe kuikubali, waendelee na uchafu wao kisirisiri na siyo kwa uwazi kutuchefuwa
Ndio maana prison break niliishia njian kuangalia na sitokaa niangalie tena
 
Haya ndio madhara ya kuwapa upendo uliopitiliza watoto wa kiume bila ya kuwawekea wa mbuzi kidogo.

Wanazoea kukumbatiwa, kupetiwa na kufarijiwa. Hii inawajenga vibaya kisaikolojia na kuamini kuwa walimwengu watakuwa soft kwao pia.....kumbe sivyo, kwa mwanaume kila sekunde inayokuja inakuja na tatizo jipya na faraja zetu huwa tunazipata kwa mama wake zetu wanapotupeti hii inakuwa ni muendelezo wa mapenzi na upendo kutoka kwa mama mzazi au mlezi wa kike ambaye alikuwapo nasi tokea utotoni.....

Baba unatakiwa kumpa mtoto bromance na sio romance...... Unakuwa na ukaribu na mtoto kwa namna ya kibabe na sio soft soft as if mwanao ni wa kike.....watoto wa kike ndio wanaostaili kupetiwa na kudekezwa maana ni kitu wanachokuja kukiendeleza kwa wanaume zao.

Jifunzeni hapo katika hili, huyu bwana mdogo hata ukitazama video zake za utotoni akiwa na baba yake ni fulu mabusu ya mashavu, utosi na mdomoni as if ni wa kike....sasa mtoto anaachaje kuyamiss yale mahaba ya baba akishakuwa mkubwa, matokeo ndio hivyo anakuja kuwa soft kwa wanaume wenzake wanampiga mwiko......

Ndio maana hata miaka ya kale katika jamii zetu za kiafrika, mtoto wa kiume akisha fika miaka kuanzia 6 kuendelea, mzee alikuwa anakuwa mkali mtoto wa kiume kuwa around na mama yake muda wote au kuwa na kampani ya kike, hata miaka tunakuwa, umri wa kubalehe ukifika mtoto wa kiume ukiwa unajiweka karibu na wakike ilikuwa ni aibu kama sio fedheha kwa wanaume wenzako.

So turejee misingi vijana wa aina hii wapo wengi sana......

Mimi kuna kijana nilizoeana nae sana ni bwana mdogo kwangu, na alikuwa fan wangu hadi nikawa sielewi why ananikubali kivile......hadi siku aliponiomba nimuingilie hapo ndipo nilipoelewa kwann alikuwa na ukaribu sana na mimi kiasi kile....nilijaribu kuzungumza nae na kujaribu kubaini tatizo akanieleza mambo mengi sana juu ya mfumo wa maisha yake hadi kuja kuwa vile......kimsingi mfumo wa maisha unachangia sana kuibuka kwa namna hii ya vijana wa kiume wenye matatizo ya kiakili
 
RAHA SANA.

WASIOPENDA USHOGA WATAJINYONGA LEO.

Hahahaa
Mkuu nahitaji mawazo na msimamo wako kuhusu kilichoandikwa hapo..!! hahahaha
IMG-20181128-WA0002.jpg
 
Mkuu nahitaji mawazo na msimamo wako kuhusu kilichoandikwa hapo..!! hahahahaView attachment 948730
Msimamo wa Trump sio msimamo wa nchi au msimamo wa sheria.

MAHAKAMA YA JUU ya MAREKANI mwaka 2003 ILIHALALISHA MAPENZI YA JINSIA MOJA, na mwaka 2013 mahakama hiyo hiyo ilihalalisha NDOA ZA JINSIA MOJA. KWAHIYO, MATAMKO ya TRUMP ni maoni tu ambayo yanapeperushwa na UPEPO.

Huo ndio utawala wa sheria nchini marekani ambapo matamko ya Rais hayana nguvu ya kutingisha mihimili mingine ya serikali.

Sio kama huko kwenu TANDAHIMBA ambapo mkuu wa wilaya akijamba tu ushuzi wake unakuwa Sheria.
 
Haya ndio madhara ya kuwapa upendo uliopitiliza watoto wa kiume bila ya kuwawekea wa mbuzi kidogo.

Wanazoea kukumbatiwa, kupetiwa na kufarijiwa. Hii inawajenga vibaya kisaikolojia na kuamini kuwa walimwengu watakuwa soft kwao pia.....kumbe sivyo, kwa mwanaume kila sekunde inayokuja inakuja na tatizo jipya na faraja zetu huwa tunazipata kwa mama wake zetu wanapotupeti hii inakuwa ni muendelezo wa mapenzi na upendo kutoka kwa mama mzazi au mlezi wa kike ambaye alikuwapo nasi tokea utotoni.....

Baba unatakiwa kumpa mtoto bromance na sio romance...... Unakuwa na ukaribu na mtoto kwa namna ya kibabe na sio soft soft as if mwanao ni wa kike.....watoto wa kike ndio wanaostaili kupetiwa na kudekezwa maana ni kitu wanachokuja kukiendeleza kwa wanaume zao.

Jifunzeni hapo katika hili, huyu bwana mdogo hata ukitazama video zake za utotoni akiwa na baba yake ni fulu mabusu ya mashavu, utosi na mdomoni as if ni wa kike....sasa mtoto anaachaje kuyamiss yale mahaba ya baba akishakuwa mkubwa, matokeo ndio hivyo anakuja kuwa soft kwa wanaume wenzake wanampiga mwiko......

Ndio maana hata miaka ya kale katika jamii zetu za kiafrika, mtoto wa kiume akisha fika miaka kuanzia 6 kuendelea, mzee alikuwa anakuwa mkali mtoto wa kiume kuwa around na mama yake muda wote au kuwa na kampani ya kike, hata miaka tunakuwa, umri wa kubalehe ukifika mtoto wa kiume ukiwa unajiweka karibu na wakike ilikuwa ni aibu kama sio fedheha kwa wanaume wenzako.

So turejee misingi vijana wa aina hii wapo wengi sana......

Mimi kuna kijana nilizoeana nae sana ni bwana mdogo kwangu, na alikuwa fan wangu hadi nikawa sielewi why ananikubali kivile......hadi siku aliponiomba nimuingilie hapo ndipo nilipoelewa kwann alikuwa na ukaribu sana na mimi kiasi kile....nilijaribu kuzungumza nae na kujaribu kubaini tatizo akanieleza mambo mengi sana juu ya mfumo wa maisha yake hadi kuja kuwa vile......kimsingi mfumo wa maisha unachangia sana kuibuka kwa namna hii ya vijana wa kiume wenye matatizo ya kiakili
Well said mkuu....yaan umechambua mpaka raha
 
kiki tu, hana ushoga wowote, Tyler alitoa nyimbo zinazoonesha yeye ni shoga lakini sio shoga alikua anatafuta mashabiki. Na dogo nae kasema vile kwa ajili ya kiki tu, kapita na madem kibao mpaka mwezi wa 9 huu alikua na demu.

Wapo mashoga wanaogonga na kugongwa, ndio mfano wa huyu
 
Back
Top Bottom