Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
??But majority...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
??But majority...
Sidhani kwa umri huo...... .....I DON'T KNOW, HONESTLY.
MTOTO WA KIUME ANAONESHA DALILI ZA USHOGA MAPEMA SANA, KUANZIA MIAKA MITATU. YOU CAN CLEARLY SEE IT.
SASA HUMU WATU WANATOKWA MAPOVU TU HOVYO WANAANZA KUSINGIZIA WAZUNGU NA FREEMASON.
Aah wap...kujiendekeza tu...MTU KAMA SALMA JABIR UTASEMA KAHARIBIWA NA WAZUNGU??
YULE NI MSAGAJI CERTIFIED KABISA.
HE IS A MALE IN A FEMALE BODY.
MWILI WAKE UNAONESHA NI MWANAUME KABISA. NO HIPS, NO BUTTOCKS. NI DUME LILE.
Na mbwana anao mmoja WaPo ni kuleee Q fid!Anatmbeka vizuri tu na ana shepu ya kike kujiendekeza tu kule
Dah! Nimepata hasira kama vile ni mwanangu. Maana dogo nilitokea kukubali sana kazi zake
kha...!Kisa hataki udada....halafu ni mzuri balaa
Isiwe taabu dada, mie nina suggest majina haya kwa watoto wa kiume kuepusha haya majanga ya "kisasa"...[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mitihani katika maisha hayeshi ukiangalia tatizo nin kumbe majina. Kuna watoto walibadili majina baada ya kuitwa majina mabaya na wazee wao.
Mkuu mie ni ME.Isiwe taabu dada, mie nina suggest majina haya kwa watoto wa kiume kuepeusha haya majanga ya "kisasa"...
Endeleeni, hizo ni suggestions tu...wengine endeleeni...---------------------------------
- Jemedari
- Njemba
- Kidume
- Mbegu
- Juma
- Ibrahim
- Mohammed
- Jacob
- Issa
- Isaac
- Isaya
- Abraham
- Jiwe
- Mgumu
- Hatishikiki
- Bonda
- Akili
- Maarifa
- Bwana
- Ndomba
- Simba
- Chui
- Fisi
- Nyati
- Jua
- Hasira------
- Mkwawa
- Mirambo
- Majebele
- Chonjo
- Shaka Zulu
- Black Mamba
- Cha urithi
- Kokoto
- ..
- ..
izo ni fununuIla kuna fununu hata baba na mama walikuwa ama wana practice mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja, naona watoto wamefuata nyayo tu tena kwa baraka za wazazi..
umefurahishwa na nini wewe pungaINDEED MY DEAR.
HUYU DOGO KANIFURAHISHA SANA.
Ndio maana prison break niliishia njian kuangalia na sitokaa niangalie tenaHollywood kuna mambo ya ajabu sana, kupumuliwa kwa wanaume au usagaji kwa wanawake upande wangu siyo tatizo, tatizo ni kuutangaza na kuushabakia, kuupamba na kuonekana kama ni trendy/usasa kwa jinsia tofauti, tunalazimishwa ionekane ni sawa tu, badala ya kuwa aibu kwa familia, tunalazimishwa hata wakiooana ni poa tu, sasa hapo ndipo wengine tunapopinga kulishwa na kuonyeshwa huu uchafu, kuna tv series/movies nzuri sana mitandaoni, ila nikisha ona kuna huu uchafu huwa nakatisha na kutozishaibikia tena, sijuwi tunaenda wapi, nashukuru dola inalipinga hili swala kwa moyo mmoja..sawa hii tabia ilikuwepo kabla hatujazaliwa, ipo kwenye familia zetu, lakini tusilazimishwe kuikubali, waendelee na uchafu wao kisirisiri na siyo kwa uwazi kutuchefuwa
Mkuu nahitaji mawazo na msimamo wako kuhusu kilichoandikwa hapo..!! hahahahaRAHA SANA.
WASIOPENDA USHOGA WATAJINYONGA LEO.
Hahahaa
Msimamo wa Trump sio msimamo wa nchi au msimamo wa sheria.Mkuu nahitaji mawazo na msimamo wako kuhusu kilichoandikwa hapo..!! hahahahaView attachment 948730
Well said mkuu....yaan umechambua mpaka rahaHaya ndio madhara ya kuwapa upendo uliopitiliza watoto wa kiume bila ya kuwawekea wa mbuzi kidogo.
Wanazoea kukumbatiwa, kupetiwa na kufarijiwa. Hii inawajenga vibaya kisaikolojia na kuamini kuwa walimwengu watakuwa soft kwao pia.....kumbe sivyo, kwa mwanaume kila sekunde inayokuja inakuja na tatizo jipya na faraja zetu huwa tunazipata kwa mama wake zetu wanapotupeti hii inakuwa ni muendelezo wa mapenzi na upendo kutoka kwa mama mzazi au mlezi wa kike ambaye alikuwapo nasi tokea utotoni.....
Baba unatakiwa kumpa mtoto bromance na sio romance...... Unakuwa na ukaribu na mtoto kwa namna ya kibabe na sio soft soft as if mwanao ni wa kike.....watoto wa kike ndio wanaostaili kupetiwa na kudekezwa maana ni kitu wanachokuja kukiendeleza kwa wanaume zao.
Jifunzeni hapo katika hili, huyu bwana mdogo hata ukitazama video zake za utotoni akiwa na baba yake ni fulu mabusu ya mashavu, utosi na mdomoni as if ni wa kike....sasa mtoto anaachaje kuyamiss yale mahaba ya baba akishakuwa mkubwa, matokeo ndio hivyo anakuja kuwa soft kwa wanaume wenzake wanampiga mwiko......
Ndio maana hata miaka ya kale katika jamii zetu za kiafrika, mtoto wa kiume akisha fika miaka kuanzia 6 kuendelea, mzee alikuwa anakuwa mkali mtoto wa kiume kuwa around na mama yake muda wote au kuwa na kampani ya kike, hata miaka tunakuwa, umri wa kubalehe ukifika mtoto wa kiume ukiwa unajiweka karibu na wakike ilikuwa ni aibu kama sio fedheha kwa wanaume wenzako.
So turejee misingi vijana wa aina hii wapo wengi sana......
Mimi kuna kijana nilizoeana nae sana ni bwana mdogo kwangu, na alikuwa fan wangu hadi nikawa sielewi why ananikubali kivile......hadi siku aliponiomba nimuingilie hapo ndipo nilipoelewa kwann alikuwa na ukaribu sana na mimi kiasi kile....nilijaribu kuzungumza nae na kujaribu kubaini tatizo akanieleza mambo mengi sana juu ya mfumo wa maisha yake hadi kuja kuwa vile......kimsingi mfumo wa maisha unachangia sana kuibuka kwa namna hii ya vijana wa kiume wenye matatizo ya kiakili
kiki tu, hana ushoga wowote, Tyler alitoa nyimbo zinazoonesha yeye ni shoga lakini sio shoga alikua anatafuta mashabiki. Na dogo nae kasema vile kwa ajili ya kiki tu, kapita na madem kibao mpaka mwezi wa 9 huu alikua na demu.