Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana


Ndo shida ya kudili na viserengeti, mkubwa sikuzote ni mkubwa tu, inaonekana jamaa alikalia mibangi yake tu hakuna alichopata. Sasa kaachwa ghafla ukute katimliwa na malboro yake sasa anahanya umaskini huoo, nifundisho kwa wavivu kama yeye badala yakutafuta kwa jasho lao wanataka wale tu. Ngonja mzee akaenjoy na wazee wenzie wenye akili zao.
 
Hii mambo naona inataka kuwa kama hadithi ya SAMSONI NA DELILA. Isije kuwa Shy anatumiwa ili kumuangusha jamaa kisiasa. Sugu anatakiwa kuwa makini sana hapa.
 
Mhh! Huyu kaka anatapatapa nini? Kama kidume kweli si atongoze mwingine?
Mara anamkandia kicheche mzee... mara anazunguka TV zote .... ni wazi kuwa he is a looser big tyme!
Alionekana kwenye kivuli cha SHYROSE... ajiachie mwenyewe tuone sasa. Kinachomuuma nini sasa?
 
Jafrai akihojiwa na eatv amelalamika et demu wake alyeish nae 8yrs kachakachuliwa na Sugu anashangaa kwann ss mbunge huyu kaamua kumnyonga mnyonge yy
 

Mi vulana yenye midomo mirefu inaudhi sana, na bora katemwa mtu mwenyewe anamdomo hivo.
 

Shyrose ni mtu mzima sidhani kama atakua na muda wa kuongelea hilo.
 
Jafrai akihojiwa na eatv amelalamika et demu wake alyeish nae 8yrs kachakachuliwa na Sugu anashangaa kwann ss mbunge huyu kaamua kumnyonga mnyonge yy

Teheheheh...kwani..... was it a "personal attack"..?
 
JAFFARAI kinamuuma kwa sababu ana njaa ....album zake haziuzi ..alikuwa anawekwa mjini na demu ..gari full tank ..wallet ina pesa.....kwanza inawezekana SUGU hajapiga lakini ni wazi kuwa SHY ana mwanamume mwingine zaidi ya RAI ....
Kuachwa kwa mwanamume kuna mengi labla pia utendaji wake kazi jaffarai umedorora hadi mwanamke anaamua kumuoneshea..haina maana wanawake hawa cheat..but ukiona mwanamke anacheat wazi ujuwe kuwa mumewe hamtoshelezi .......lakini wanaocheat kwa hamu hujificha....
SASA MDOGO WANGU JAFFARAI UNAKAA NA MWANAMKE MIAKA NANE UNASHINDWA HATA KUACHA USHAHIDI .......UNALALAMIKA NINI.....KAMA UMESEMA HUYO DEMU ANA MIAKA 42 INA MAANA UMEANZA KUTOKA NAYE AKIWA NA MIAKA 34.....HUONI KUWA UMEMUWEKEA DEMU USIKU...UNGEKUWA FAMILY MAN .....UNGE FOCUS KUWA NA FAMILIA NA SHY LEO HII MNGEKUWA NA MTOTO WA STANDARD ONE.....
NI HALALI YA JAFFARAI KUACHWA KWA KUWA HAKUWA NA MALENGO...YET ANA COMPAIN UZEE .....WAKATI YEYE NDIO AMEMUACHA AKAMZEEKEA!
 
Ujue siku zote sikuwa namuelewa SHYROSE BHANJI kuamua kuwa na mahusiano na JAFFARAHI nadhani sasa anapata somo huyu DOGO yupoje, DADA zetu tabia ya kutafuta vijana kuwalea eti nikimpata mwanaume mwenye uwezo au misimamo ataniendesha hivyo heri nimpate serengeti boy nimlee ndio malipo yake hayo.

JAFFARAI aseme ukweli ameachwa au ameacha! Ukiona mtoto wa kiume anakimbilia ktk redio isiyozingatia maadili ya uandishi wa habari(hawajali ku balance story ilimradi wasiyempenda achafuke yaani wamualibie SUGU) kama clouds fm na kutangaza kamuacha mwanamke wake lazima utilie shaka ukweli wa habari yenyewe. HIVI HATA KWA MACHO YA KAWAIDA NANI ANAWEZA KUMUACHA NANI? KATI YA JAFFARIA (MWANAUME KAMA BINTI) NA SHYROSE?
 
Husband always insisted on making love in the dark. After 20 years the wife turns on the light to catch her husband holding a vibrator. She goes ballistic "You impotent b*stard! How could u lie to me all these years?" He looks her straight in the eyes and calmly says " I will explain the toy, if you explain the kids..."
 
Kuna threads kama 2 sasa kule celebrities forum kuhusu hii inshu..Hii kitu haina tija hapa.Ama mods mziunganishe ama muipotezee tu
 
Habari ambazo ninazo karibu mwezi sasa ila sina uthibitisho wa kutosha ni kwamba
Shy rose yupo njiani kujiunga na chama fulani cha upinzani ambacho ni machachari sana.
Makachero wa chama hicho wanamtumia mh.mbunge fulani ili afanikishe kumnasa huyu
dada. Nia na madhumni wanataka huyu SB agombee ubunge jimbo la kinondoni 2015
kupitia chama hicho machachari. ukweli ni kwamba Mr 2 na SB hawana uhusiano wowote
wa kimapenzi. Jafarahi ni wasiwasi na wivu wake tu ndivyo vinamkosti
 
Dah,hili nalo neno.42 years si ni kikongwe huyo,?
 
Ohhhhhhhh!!!!! jamani sugu kweli una bahati maana huyu mama hupenda rasta wazungu, halfcast, waarabu na saaaaaana BANGI duu sasa kaanza mwaka kwa kubadili mapigo kaingia kwa MKINGA!!!!!!! Yetu macho, bibie huwa anaingia mzima mzima huyo na atatangaza ndoa sasa hivi!!!!
 
jamaa alikuwa clouds fm ,leo ktk kipindi cha xxl akajishebedua kusema kuwa (SUGU mbunge wa mbeya ananilambia demu wangu)very weak move for him,publicit nyengine bwana ,jamaa kachemka kwenda ktk media ,nadhani ni mpango wa kumwalibia mr 2.,tusubili tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…